gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Naomba msaada hii dawa naweza ipata wapi? Kwa hapa Dar na inauzwa bei gani?

  2. Mr Mjs

    Kuna haja gani kwa Watumishi kuomba uhamisho kutumia mfumo ikiwa...

    Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu. Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
  3. KikulachoChako

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi...
  4. BARD AI

    Umewahi kupata Madhara gani kwa kutumia Dawa ulizopewa Hospitali

    Wadau, hebu tuelezane hapa kuhusu matumizi ya Dawa tunazopewa Hospitali. Kuna watu wamewahi pata madhara hasi baada ya kuanza kutumia dawa fulani wakitegemea kupata Tiba lakini badala yake zinapelekea Ugonjwa kuongezeka au kupata tatizo lingine zaidi
  5. R

    Ni sahihi Serikali kutumia viwanja na kumbi za CCM kufanya mikutano ya kiserikali? Hii siyo kinyume na sheria za manunuzi?

    Viwanja vya mpira vilivyojengwa na wananchi miaka mingi vilibadilika na kuwa mali ya chama cha mapinduzi. Baadhi ya viwanja hivyo ni Karume stadium Arusha na CCM kirumba Mwanza. Serikali imekuwa na kawaida ya kutumia viwanja hivi kwa shughuli za serikali ikiwemo Mei Mosi. Lakini katika maeneo...
  6. Jumanne Mwita

    Ilikuchukua muda gani mpaka kuunganishiwa Umeme na Tanesco?

    Mtaa ninamoishi una makazi mengi sana, tena watu hujenga kama vile wamavamia, ila ukweli ni kwamba watu wamejenga, siyo siri. Nikifikiria siku ninunua hapa, miji haikuwepo kabisa. Ilikuwa ni wazi, unaweza sema kwamba uwezekano wa watu kuja eneo lile haukuwepo, au isingechukua muda mfupi wawe...
  7. Sonko Bibo

    Msaada: Chuo gani naweza soma online?

    Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa. Sonko...
  8. AmKATRINA

    Huu ugonjwa gani? Nagusa kama kipele kigumu - kinachoteleza na kinachouma ndani ya uke

    Habarini za wakati huu memberz wenzangu. Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua. Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke (nikilala chali nakishika kabisa). Awali nilidhani huenda ni mchubuko tu nikajua nitapona hvo sikutilia...
  9. Uhakika Bro

    Utafiti: Bajaji ya mizigo inaporudi nyuma husema maneno gani?

    Utafiti wangu ulochukua miaka mingi hadi sasa umekuja na mkataa wa kudumu wa maneno ya hizi bajaji. Unaweza hisi inasema sijui nini " Gochionale kikachukattchu ka" 🤨🤨 Mwingine naye atasikia anavyojua yeye 😄😄 Ila ukweli ni kanasemaga "BE CAREFUL THE TRUCK IS BACKING UP" X2
  10. Miss Zomboko

    Unadhani ni jambo gani ambalo Watu wengi hawalifahamu kuhusu kupata Mtoto/Watoto?

    Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
  11. FK21

    Mbinu gani ya kudai pesa bila kuonekana msumbufu kwa boss?

    Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
  12. thegreat1510

    Kama ilivyo Alibaba China ni app gani naweza kuitumia kununua vitu Dubai

    Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai. Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to 35k Bongo lakini kilichonivutia zaidi ni ina AUED 1 , sawa na Tsh.700 yaani 0.7k Dubai. Facebook...
  13. W

    Ungetamani kusikia collabo ya wasanii gani?

    Muziki wa Tanzania una wanamuziki wenye uwezo mkubwa lakini muziki wetu hauendelei mbele kwenye mataifa mengine kwa sabau hakuna ushirikiano baina ya wasanii. Naamini wasanii wa kishirikiana wanweza kusaidiana kuupeleka muziki wa Tanzania level za kimataifa. Je, Wasanii gani wa Tanzania ambao...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Kama pesa zinaibwa na mashirika yanaingia hasara kuna haja gani ya kuendelea kuangalia rundo la uzoefu?

    Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa. Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika? Ndugu wanajamii forum hao watu wenye uzoefu tunaowatafuta uzoefu wao unafanya kazi gani?
  15. H

    Ni kitu gani kinasababisha usiku mitandao ya internet inakuwa na spidi ya konokono?

    Habari wataalam. Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui. Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic inafanyaje sijui inagoma ndio inasababisha hiyo mitandao inakuwa bize..Hilo mi sijui wanajua wenyewe...
  16. R

    Ni Waziri gani anaona amefeli na kwanini?

    Kwenye Baraza la Mawaziri la sasa ni yupi kati yao unaona kabisa hana tija? Kwanini unaona kwamba amefeli kutimiza wajibu aliopewa? Je, amefeli kwa sababu amekabidhiwa sekta asiyo na uzoefu nayo au hana sifa kabisa yakuwa Waziri? Nani ungetamani achukue nafasi yake?
  17. P

    Hivi inawezekana wananchi tukajulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi gani tunapata kwa mwezi?

    Tumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka. Usikute tunaenda kuomba misaada au kuingia madeni na wakati tunajitosheleza. Hizi taarifa zinapatikana wapi...
  18. HaMachiach

    Ukikosa pesa unakuwa na hali gani au mood ipi?

    Mimi nikikosa pesa Huwa najishangaa nakuwa mkali mkali sio kwa watoto hata kwa watu wengine wanao nizunguka huwa sielewi hii hali
  19. Planet Data bundles

    Ni dawa gani ya fangas ya kunywa yakuondoa mautango utango mwilini?

    Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
  20. Genius Man

    Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

    Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
Back
Top Bottom