Kuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk.
Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika xamia xuluhu (samia suluhu), kuna jamaa mwingine anachukia SMS zenye tarakimu/namba mfano 2taonana...