gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Ni kitabu gani ambacho ulishakisoma na unatamani watu wengine wangekisoma pia, (recommend hapo chini).

    Wasalaam... Ni marufuku kuongea juu ya jambo lolote kabla ya kufikiri ila pia fikra haziji kwenye kichwa kisicho na maarifa juu ya jambo au mambo yazungumzwayo. Kwahiyo ili mtu apate uwezo mzuri wa kufikiri zaidi ni lazima ajiongezee maarifa ya hapa na pale ndani ya kichwa chake na njia moja...
  2. Hammer11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni laana gani huyu mwanamke analeta hapa nyumbani?

    Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu yupo kijijin kwa bibi yake huko kitambo sasa wife jana akaniambiaa yeye anatoka na shoga yake tumuite...
  3. Mkongwe03

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa msanii Dizasta vina mje hapa mtuambie wimbo wa mwanajua unamaanisha nini?

    Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema ."walimwita mwanajua maana alijua yvote,, hakwenda shule ila aliheshimika ka mwalimu,, hata watoto walimpenda walifanya sherehe tuiobalehe alipopita...
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania PICHA: Naombeni kujua huu ni ugonjwa gani unaotutesa hivi mimi na familia yangu

    Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua. Kama Kuna mtu anisaidie maana...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Aliye na sababu ya kuishi yupo tayari kuvumilia hali yoyote kuendelea kuishi, ni kitu gani kinakupa sababu ya kutaka kuendelea kuishi?

    kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k. Sababu ya kuishi kwa kuogopa kifo ni kwa kila kiumbe, hata panya akibanwa kwenye kona hupata ujasiri wa ajabu wa...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Jiji la Kampala linaweza kufananishwa na mji gani wa Tanzania kwa uzuri na maendeleo?

    Kwa siku chache ambazo nimekuwepo hapa Kampala, nimeweza kujionea, japo ni kwa sehemu ndogo tu, jinsi lilivyo. Ni jiji kwenye hadhi ya kuitwa jiji. Lina mandhari nzuri na pia hali ya hewa nzuri. Pamoja na kwamba ni jiji, lakini ukililinganisha na jiji la Dar Es Salaam ni kulionea, na ukisema...
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania Tumuimbie Nyimbo Gani Huyo Kijana hapo

    Tumuimbie Nyimbo Gani Huyo Kijana hapo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Chaneli gani ya DSTV inaonesha Championship ya England?

    Uzi tayari
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mlenda wa unga unatokana na majani gani na yanapatikana wapi?

    Kuna ule mlenda huwa unapikwa kutokana na majani fulani yanayosagwa kama unga, unaitwa mlenda wa unga. Haya majani yanayotengeneza huu mlenda wa unga yanapatikana wapi? Yanauzwa sokoni kama mboga ? Unaweza kuyapikia mlenda yakiwa mabichi(hayajakauka) kama mboga nyingine za majani?
  10. D

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi TANESCO mna shida gani yani siku hizi umeme unakatika na kuwaka kwa siku hata mara 10

    Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa. Unakatika haipiti hata dakika wanawasha. Sijui wanalenga kutuunguzia vitu. Nina desktop hadi imeanza kuwa na wenge toka juzi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni experience gani? umepitia kwenye nyumba za wapangaji wengi unakumbuka nini?

    👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama 👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni 👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima 👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo 👉Kuazima Pasi kwa...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi Tundu Lissu ni mtu wa aina gani?

    Huyu mtu bwana hana shukrani, Yeye mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kukiri kuwa yeye na Magufuli waliwahi kuwa marafiki wazuri tu siku za huko nyuma na kuna majina yao ya utani nimeyasahau walikua wanaitana. Mara ghafla Magufuli alivyokua Rais Lissu akaanza uchokozi wa kumtukana Magufuli...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

    Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume. Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uduvi ndio kitu gani huko nyie watu wa Dar es Salaam?

    Watu wa Daslamu mna mambo mengi sana. Huu uduvi anaoubeza MKuu wa Mkoa ni kitu gani? Kuna mwanaJF humu anauza uduvi?
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Matukio gani yaliyogusa hisia za watu 2024 ambayo hutayasahau?

    Leo ni 31, Desemba ni siku ya mwisho ya Mwaka 2024, Kwa kudra za Mungu baada ya masaa kadhaa tutakuwa tumeingia mwaka 2025, Naomba Mungu atie rehema zake tufike wote salama. Mwaka 2024 ulikuwa na matukio mengi sana sana, yapo yaliyoibua na kuvuta hisia na usikivu wa watu huku yakiacha maswali...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

    Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji.
  17. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

    Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
  18. Transistor

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani au Mtambo gani, uliwahi fikiria kama ukitengenezwa, utatatua changamoto za kilimo au Ufugaji hapo ulipo

    Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali. Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo. Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi. Wazo lako ni...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kati ya hivi vinaongoza kwa kuleta msongo wa mawazo (Depression)?

    Mapenzi - Ndoa chungu, Usaliti, nguvu za kiume, n.k. Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k. Kesi mahakamani Marejesho ya Mkopo Magonjwa (Kisukari, Presha, Uti Sugu, n.k.) kukosa ajira - Mhitimu wa chuo hana connection Visasi - kila unapotembea lazima uangalie mazingira
  20. Wazolee

    JamiiForums Tanzania BOT wameacha Kutoa sarafu mpya Ili ziingie katika mzunguko hili linamaana gani kiuchumi?

    Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
Back
Top Bottom