gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nitumie njia gani kumsaidia Mtoto wangu ambaye ni mzito kidogo kuelewa Shuleni (Slow learner)?

    Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
  2. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania Dada poa ni wahalifu? Na wanakamatwa kwa kosa gani ambalo linajulikana kisheria?

    Habari Wana JamiiForums Napenda kujua hili suala la dada poa al maarufu Malaya hapa kwetu kumekuwa wakikamatwa nakupelekwa police ila sijawahi sikia hukumu zao zikitolewa mahakamani sasa nataka kujua hili swala kisheria likoje
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kila unapoiona defender ya polisi inakuja usawa wako unaanza kujiwazia hivi kuna issue gani labda umezingua😂

    Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
  5. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ni sharti gani ambalo mganga alikupatia na ukashindwa au kukataa kuendelea nalo

    Karibu vijana wa jadi
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukifiwa na mkeo unatakiwa ukae muda gani kabla ya kuoa tena?

    Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta. Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete...
  7. blogger

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe Taifa linaweza fika hapa..huu ni Utajiri gani. Sembe!?

    Kwa hali hii.. 5 more years ahead.. Damn . We are Dead. Ana nini cha kulindwa hivi. Watanzania Amkeni .. Wake Upp!!
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

    Uzi maalumu kwa wanywa cocktail na mocktail, karibuni tujumuike kujua nini unapenda zaidi na kwanini unakipenda hicho kinywaji!. Kwa ambao hawajaelewa Mocktail ni vinywa vinavyoandaliwa ila vinakuwa havina kilevi, cocktail ni inakilevi huo ndo utofauti kati ya cocktail na mocktail!. Binafsi...
  9. Nguruka

    JamiiForums Tanzania Jimbo gani ligawanywe, kwanini?

    Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi. Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na...
  10. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi hutumika ili mtu agombee ubunge hili nikawatumikie wananchi wangu katika jimbo langu??

    Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho?? Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania ikitokea ukapata nafasi ya kurudisha nyuma muda ukiwa na miaka 20, ni vitu gani usingerudia kuvifanya

    Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa shida kama ningepata mkopo ila nikizifikiria milioni 12 za wazazi naumiaga, nimejipata nje kabisa...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?

    Mwanadada akionyesha ,Ulimi wake Ulivyo kuwa Mrefu Sana tofauti na Wana damu wengine Wanaume Wengi Wana Penda nyash Ila kuna ulimi pia Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?
  13. Mapenzi ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Katika harakati za kujenga nyumba ulikutana na changamoto gani!?

    Ukiachilia uwepo wa Mafundi, na matilio kama mchanga, kokoto, sumeti na uwepo wa fedha!?
  14. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

    Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao. Je, hii ni sawa?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Fadlu David kabakisha muda gani Simba?

    Huyu anafaa kuwa kocha wa viungo. Hana mbinu za maana uwanjani haswa timu ikielekea mechi ngumu na za kimataifa. Sioni akimaliza siku 30 kuanzia Leo pale Msimbazi.
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tuseme Elon Musk na D.O.G.E yake amepata nafasi ku-analyze mamlaka zetu hapa Bongo, ni mambo gani ungependa aanze nayo kwanza?

  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wakali wa location, hapa ni mkoa gani?

    Twende kazi, hapa ni mkoa gani? Taja sifa moja unayoijua kuhusu hapa…
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  19. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kitu gani hujawahi kuona tangu kuzaliwa?

    Ni vingi lakini hivi ni baadhi, -Mmasai albino -Mwanajeshi albino -Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta) Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito :D -Kwa upande wako wewe hujawahi kuona kitu gani?
  20. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Vitu gani ambavyo hupelekea matumizi ya mafuta kuwa mkubwa kuliko kiwango cha kilomita ?

    Ni sababu zipi zinazopelekea kupanda kwa ulikaji wa mafuta?
Back
Top Bottom