gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine, sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?

    Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
  2. Doto12

    JamiiForums Tanzania Huyu washawasha anatokana na kitu gani. Wajuzi naomba maelezo

    Huyu nilimkuta kwenye tiles. Nashangaa anatokea wapi Naomba wale waelevu wanipe msaada asitokee tena
  3. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa haraka haraka ng'ombe 400 watakua ni bei gani

    Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote. Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake? Binafsi ningekuwepo nisingekula
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya GSM inapata Faida gani Kubwa kiasi kwamba kila mara inatoa Misaada ya Fedha na Kampuni zingine kama MeTL haziwezi na hazitoi Misaada?

    Je, Wazalendo wa Kweli wa Tanzania wakiongozwa nami GENTAMYCINE tukienda TRA kuona kama wanalipa Kodi tutajua?
  5. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulifanya ukajua kabisa una stress

    Hivi ni baadhi ya vitu vilishawai kufanya nikajua kabisa hizi ni stress zinanisumbua, na wewe utaongeza ya kwako hapo chini kwenye comments: 1. Nilikuwa naongea na simu, mara ghafla nikaanza kujisachi kutafuta simu yangu nimeweka wapi huku nikidhani nishaibiwa. Nikakumbuka nipo nayo na muda huo...
  6. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

    ugonile, Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k Regardless ya hizo sababu napenda kutambua uwepo wa hawa members, you're missed so much Bill Lugano aka...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  8. Doto12

    JamiiForums Tanzania Haya matope usoni hii ni ishara gani.?

    Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso. Waislam wanafunga tu kwa kunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.? Kwa nin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli? Pili, hii tabia...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sekretarieti ya ajira wametoa taarifa kwamba walimu walio kosa maksi tano kufikia ufaulu kupangiwa vituo vya kazi kwa utaratibu maalumu

  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, Ni vitu gani vinatufanya watu weusi tuwe na akili ndogo?

    Hakuna kitu cha maana ambacho tumeisaidia dunia. Kiufupi tupo tupo tu, Tunasubiria watu wa mashariki ya mbali waje watusaidie. Tumejiandaa vipi majanga ya asili kama tsunami, tetemeko etc yakitotea? Je, Kuna siku Waafrika tutakuja kuwa na akili za kuweza kutatua changamoto zetu? Au ndo...
  11. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani huwezi kukifanya kwa namna yoyote?

    Mi kuvaa sare za CCM au kuvaa manguo yenye picha ya Mama Abdul pia kubebeshwa bango lenye picha ya mama Abdul. Pia kushiriki kwenye mbio za mwenge. Bora waniue kuliko kifanya hayo. Wewe je?
  12. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Nikitu gani wazazi wako walikukataza toka utotoni lakin mpaka sasa ujakiacha umeshindwa kuacha kabisa

    Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala...
  13. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Story gani haiwezi kukosa hapa kwenye kijiwe hiki cha bodaboda?

    Twende kazi unahisi wanapiga story gani hapa?
  14. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya .tz na .co.tz domain?

    Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz .tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000! Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz? Nataka sajili domain naomba mawazo..
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ni members gani huwapendi humu JF?

    Kupenda, kuponda, hata kuchukia ni haki za mtu. Je ni members wapi unawakened au kuwaponda hapa jf na kwanini?
  16. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumeite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  17. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumuite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  18. Me1986

    JamiiForums Tanzania Kielimu, wife material aweje na atoke profession Gani!?

    Ova Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa utamkabithi yeye bila malipo anapiga kila siku asubuhi na jioni Wanamaanisha Anatunza nyumba yenu kwa usafi...
  19. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kukutana na Jenerali Mstaafu Salvatory Mabeyo, utamwambia neno gani?

    Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF. Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa alilolikabili na kuhakikisha nchi inabaki salama kipindi cha msiba wa Magufuli. Ukikutana nae...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna 'Upuuzi' gani unaendelea Dar es Salaam leo?

    Mlioko Dar es Salaam hebu tafadhalini hebu mtujuze Sisi tulio mbali. Nasikia kuna Tukio la 'Kipuuzi' sana linaendelea huko.
Back
Top Bottom