gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani tumevifanya kuwa vya kawaida kwenye misiba na mazishi ambacho sio sawa?

    Hii mambo ya kupiga picha makaburi na kujirekodi tukiwa misibani naona haijakaa sawa. Siku hizi ni kama watu wanaenda kwenye fashion show sio kuzika tena
  2. JamiiForums Tanzania Huu Uzi wangu wa kuhusu hiki alichosema Profesa Janabi umefutwa kwa sababu gani labda?

    Profesa Janabi: Kama hutoi haja kubwa (hunyi / huukweki) mililita 800 au lita 2 za Nnya (Kinyesi) kwa Siku una tatizo kubwa la Kiafya. Na chanzo cha Taarifa hiyo niliitoa GlobatvOnline.
  3. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kwenye mahusiano?

    Salam wadau, Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!! Lengo langu nilipanga mwezi wa kumi nikajitambulishe na ikiwezekana nimalize kila kitu hasa mahali awe mke rasmi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?

    Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?" Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka" Wewe je?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hili neno freemanbase lina siri gani ndani yake

    Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube 👈Kijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ukisika Neno CHATO huwa unapata picha gani au unajua ikoje?

    Je CHATO imeendelea saba. Je CHATO ni mji wa kibiashara au wewe mwenzangu unapata picha gani?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Never say never, kitu gani uliwahi kukiona sio hadhi yako ukajiapiza hutokifanya ila ukaja kukifanya

    Katika haya maisha kuna vitu huwa tunajiapiza hatuwezi kuvifanya kwasababu tunahisi sio hadhi zetu au vinatutia kinyaa lakini baadae tunabadili msimamo. Baada ya kumaliza degree nilijiapiza sitakuja kufanya kazi zisizo za ofisini, msoto ulinisugua bila mafuta, njaa inauma, nilianza kusaka...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Vitu gani unazingatia unapoanzisha mahusiano na mtu mtandaoni ili kuepuka kutapeliwa?

    Redflags zangu nikijaribu kuwa karibu na mtu ninakutana nae Online: -Akiwa mtu wa kukwepa mkutane au hataki kabisa videocall -Hata hamjazoeana anaanza kukuomba au anataka umkopeshe hela -Mtu anaeniuliza taarifa zangu binafsi, nablock -Naangalia kama taarifa zake ziko kwenye mitandao mingine ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

  10. JamiiForums Tanzania Nikapige kozi gani ya afya nimechoka kula chaki

    Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 . Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa ofisi inayohusika na jambo hili

    Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana, Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
  12. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

    Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni. Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?
  13. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

    Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi.. Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa miamba eneo lenye mafuta ni dalili gani zinaonyesha chini kuna mafuta

    Habari wa wataalamu wa miamba kuna eneo lina dalili ambazo hazieleweki, naomba kwa mjuzi anae jua, sehemu inayoonyesha kuna dalili za kuchimbwa mafuta kunakuwaga na ishara gani?
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Mamba wanafugwa au wameachwa ndani ya Bwawa la Mwalimu Nyerere? Kiufundi wana Kazi gani labda ya Kimkakati?

    Tafadhali wale mliosoma mambo ya Civil Engineering si vibaya mkaja kutupa Elimu ya uwepo wa Mamba wengi JNHPP.
  16. JamiiForums Tanzania Ni aina gani nzuri ya Baiskeli kwa Ajili ya Mazoezi ili kuimarisha Afya

    Salamu Wakuu, Habari za weekend. Nina plan ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kuimarisha Afya, huu mwili naona siuelewi, nahitaji kuuweka sawa hasa kuimarisha misuli ya viungo. Nataka niwe na ka bike cha kimtindo cha kufanyia mazoezi kwa kurid huko barabarani badala ya kufuata bike za gym ambazo...
  17. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto...
  18. JamiiForums Tanzania Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha au anakosea?

    Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha ama anakosea? Tazama Video👇
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

    Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…