gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wadau Maumivu ya korodani yasiomaali ni ugonjwa gani?

    Korodani zangu nikiziminya kwa juu zote mbili napata maumivu japo siyo makubwa sana,je kuna dawa?
  2. JamiiForums Tanzania Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  3. JamiiForums Tanzania Vitu gani vilikufanya ubadilishe mtazamo wako juu ya kitu ama jambo fulani..?

    Sisi kama binadamu kuna vitu vingi tunapitia nakuwa na uzoefu katika vitu hivyo!, Navyo hutupelekea kubadilisha njia ama mtazamo juu ya kitu fulani je, wewe ni vitu gani hivyo vilikufanya ubadili mtazamo juu ya kitu fulani..? Binafsi ni kazi. Nina hulka ya introvert, ila kazi niifanyayo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania JOH mREMA KAPATA CHEO/NAFASI GANI CHAUMA?

    MWEYE TAARIFA ATUJUZE PLEASE
  5. JamiiForums Tanzania UDSM Best Student: Je, ni GPA gani inatumika kumpata Best Student, Commulative au Aggregate GPA?

    Habari za wakati huu, Ninapenda kujuzwa kuhusiana na ili suala . Nimeona cheti cha best student mmoja katika college fulani ya UDSM ana aggreagate GPA of 4.3 meaning First year 4.0, second year 4.5 and third year 4.6 aggregateya zote tatu ni 4.3 lakini commulative GPA yake kwenye cheti inasoma...
  6. JamiiForums Tanzania Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?

    Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
  7. JamiiForums Tanzania Ni timu gani ilipindua meza baada ya mechi ya kwanza kufungwa bila hata on target?

    Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa Timu limepigwa goli 2 bila kelele Ball possession RS Berkane iliongoza 78% Simba walicheza kama wapo pungufu Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya...
  8. JamiiForums Tanzania Hard Disk Terabyte 4 bei gani? naomba kujifunza

    naomba kujua bei ya had disk telabite 4 wakuu, samahani kwa usumbufu asubui hii na vip risk ya kununua hizi disk ubovu sijui expire time
  9. JamiiForums Tanzania Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

    Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuni
  10. R

    JamiiForums Tanzania Katika kujitafuta uliwahi kufulia hadi kukosa jero ya chapati ? haya ni mafunzo niliyowahi kuyapata na jinsi nilivyojipata upya

    Kuna watu wanaweza kuyaona maisha haya ni sinema ila kuna wengi huyapitia. Kwenye kujitafuta safari huwa ina mabonde na makorongo, kuna muda hadi mtaji unaisha ama umeibiwa unarudi zero kabisa. Kwenye hustle zangu niliwahi kupatwa na hii hali, yaani nilikuwa mtupu kujumlisha na madeni...
  11. JamiiForums Tanzania Hiki ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?

    Wakuu Nimetoka kwetu simiyu ndani ndani huko kabisa nimeingia mjini leo na Lori lililobeba ng'ombe. Nimekutana na hiki kinywaji hapa mjini,nikawa nakishangaa.nikataka kukifahamu ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?
  12. JamiiForums Tanzania Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

    Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie, Wiki...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya funzo adhabu na laana?.

    Kuna wakati kwenye maisha Mtu unakutana na mitihani mpaka unajaribu kujiuliza kama hiyo ni adhabu ya makosa uliyowahi kufanya, au ni funzo tu unapitia baada ya kutoka kwenye mstari au la ni laana ya Mtu au Watu uliowakosea kwenye harakati zako za maisha. Sasa mtihani unabaki namna ya kutambua...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ulisikia maisha ni nafuu ila ulipofika ulikuta hali tofauti

    Mfano kusikia gharama za maisha ya mkoa flani zipo chini kumbe kuingiza hata pesa kidogo ni shida, Kusikia mkoa flani una mzunguko wa pesa kumbe kumbe maisha yapo juu mno
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani, kwanini ulie wakati umetangaza mwenyewe kujivua uanachama

    NI kwamba ametapeliwa na wajanja. Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende. Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa. Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni. Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuvuta umeme nguzo Moja Bei gani

    Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ulimpa jibu gani alivyokuambia muachane?

    "Naona tunapotezeana muda tuachane tu. Mimi nimepata mtu mwingine nakutakia kila la kheri" Jibu kama mtu ambae ameshamove on.........................
  18. JamiiForums Tanzania Majina na a.k.a za wachezaji soka wa bongo yalliyonivutia zaidi

    Baadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa *MNENGE SURUJA ,Afc Arusha *QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc *NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc *GAUDENSI MWAIKIMBA ak.a MWAI NNYA, Yanga sc *KAPUMBU MTEGO, reli kigoma * IDDY MBUZI , toto Africa...
  19. JamiiForums Tanzania Sema ukweli, ni kitu gani ukipewa hata sasa hivi huwezi kukataa

    Moja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue . ------------------------------ Binafsi nikipewa chai ya maziwa mahali popote pale lazima niinywe.
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna haja gani ya Nchi kuwa na wabunge? Je, Haiwezekani nchi kuendelea bila wabunge?

    Nashindwa kuelewa kwani lazima kila kitu tuige nje, binafsi mimi kama mimi sioni tija yoyote ya kuwa na wabunge kwenye hii nchi zaidi naona ni mzigo tu wabunge 400 nchi hii wa kazi gani? Inabidi tupungize matumizi yasiyo na lazima ili tuelekeze kwenye maendeleo mengine Kama kuna faida za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…