gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Changu Changu chako chetu Muungano Gani huu

    Mmetutenga tena watu wa Bara haya mambo haya Nafasi zakwanza zili tangazwa Kwa wa Tanzania wote iweje Leo mtuweke Bench Nawakizingua huko lawama ni Kwa Tanzania nzima nachoka mimi
  2. JamiiForums Tanzania Dhahabu yetu iko chini ya CCM ama Benki kuu?

    Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu? Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  4. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hutamani mtoto wako apitie kwenye maisha ?

    Ni kitu gani hutamani mtoto wako apitie kwenye maisha ?
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

    Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka? Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi! Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF? Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani. Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa nao wamelipwa na mabeberu gani?

    Hali ya mambo siyo shwari ila CCM wakiambiwa ukweli wanachachamaa na kusema wanaowakosoa wamelipwa na mabeberu. Picha hiyo hapo chini inaonesha wananchi wa eneo la Ngongowele Wilayani Liwale Mkoani Lindi wakiwa na mabango yanaoonesha wanataka mabadiliko kwenye eneo lao. CCM wanadhani tatizo ni...
  7. JamiiForums Tanzania Gari gani linapaswa kuanza kuondoka?

  8. JamiiForums Tanzania Msiba wa dada mkwe unaibua maswali mengi yanayohitaji majibu

    Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu. Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake? Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...
  9. JamiiForums Tanzania Ni adhabu Gani uliyowahi kupewa ukiwa shuleni mpaka ukatamani upigwe yaishe

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza Naomba leo tujikumbushe kidogo adhabu tulizowahi kupewa mpaka ukatamani Bora akuchape tu yaishe 1) Binafsi nakumbuka kipindi tukiwa shuleni siku Moja tulichelewa kufika Basi siku hiyo ilikuwa zamu ya mwalimu mmoja hivi Yule mwalimu akatuambia Mimi sitoweza...
  10. JamiiForums Tanzania Basi ya Kampuni Gani Lipo Vizuri Dar es Salaam to Musoma Kupitia Kiabakari?

    Naomba kujulisha nataka kukata tiketi, kampuni gani ipo vizuri kwa ruti hiyo ambayo hawana ubabaishaji?
  11. JamiiForums Tanzania Ulikuwa na umri gani ulivyojua kuwa kirefu cha MOM ni My Own Mother

    Nasoma comment na kama ndio umejua leo basi comment ''JF shule''
  12. JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastiki (Rambo) inarudi Kwa Kasi sana; hii Ina maana Gani?

    Baada ya kuzuiwa zile rambo watu wakaanza kuleta vimifuko vidogo vyeupe vya plastic tukahoji sana uhalali wake lakini sikuona ufuatiliaji Hali ikaenda mara tukazoea vifuko hivyo lakini kukawa na mifuko mingine ikaitwa ya magufuli na hapa kati kukashamiri mifuko mingine mingine tuliyozoeaga...
  13. JamiiForums Tanzania Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa

    Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa. Mpo mpo tu kama machizi kulikuwa na haja gani ya kutoa rushwa, kukodi majambazi kuuwa watanzania ili mpate madaraka sasa nini cha maana mlicho ambulia ? mpo kama makichaa...
  14. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani kumfuata Muwekezaji na makamera maiki wakati kuna wataalamu waliopaswa kuhojiwa?

    Lack of sense. Yaani kukosa akili ya kuweza kug'amua mambo ya msingi kama mtu makini. Ni upumbavu na upuuzi. Wataalamu waliochini ya halmsahauri wote wanalipoti kwa baraza la madiwani. Msukuma na kamati yake walishindwa vipi kuwahoji hawa wataalamu kwanza? Kwa nini mwekezaji ajenge bila...
  15. JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwa Tanzania ni mtu wa aina gani?

    Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi? Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka! Kiluwa anayefanya udalali wa...
  16. JamiiForums Tanzania Chakula gani unatamani mtoto wako akipende lakini hakipendi?

    Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.
  17. JamiiForums Tanzania Kijiji gani kipo usawa huu?

    Ukifika mjini/mkoani nauli ya kwenda huko ni eldu 20 au 30 mkoa huo hio wapi huko pako hivyo kuna kitu nataka nikaangalie
  18. JamiiForums Tanzania Beer ina madhara gani??

    Andika hapo kwenye comment
  19. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  20. JamiiForums Tanzania Ni online platforms gani zinaweza kutusaidia kupata wawekezaji kutoka nje ?

    Ndugu zangu heri ya mwaka, Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa. Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani ambayo nikiwekeza muda na hata pesa (kama ni ya kulipia) naweza kupata wawekezaji katika sekta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…