gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Ili kuku wa mayai watage vizuri wanatakiwa wapewe dawa gani na dawa zipi haziwafai nipo najifunza wakuu

    Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta na mwisho kuwafanya kuku wasitage Nakaribisha Elimu zenu tujifunze
  2. Tufanye Kitu gani kuepukana na hizi story?

    Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao. Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao. Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a...
  3. Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira?

    Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira ambayo ni financial security Na kwenda kwenye mifumo mingine ya kusaka fedha yenye uhuru Zaidi wa kifedha yaani financial freedom Unashauri kijana akifika kiwango gani Cha fedha anaweza ku escape game ya mshahara wa kila mwezi kama yupo...
  4. Ni Hoteli gani nzuri Dar yenye vitanda virefu?

    Wakuu kama unajua hotel au Lodge nzuri sana yenye vitanda virefu kuelekea juu tafadhali nijuze. Na jambo langu makini sana na mrembo mmoja hivi toka Rock city. Kiwe na urefu angalau wa futi 3.7 mpaka 4 kutokea chini hadi godoro lilipo.
  5. Katuni hii ya CCM inakupa picha gani?

  6. Katuni hii ya Samia na Polepole inakupa picha gani ?

  7. Military bus zilinunuliwa kwa lengo gani? Nazipenda Sana zikipita 🤣

    Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada ni nimeanzisha Tu baada ya kuziona zinasafiri empty nazipenda Sana hizi bus 🥰
  8. NItakua na shida gani? Naboreka Sana na mazingira nnayoishi kila nikihamia

    Nilikua naishi mazingira ambayo niliona kama hayana mambo mengi mazuri, Yani ikawa kama nmeyaishi Kwa Miaka mi3 nikayachoka nikatamani niishi sehemu nyingine yenye mazingira Fulani tofauti. Nikajenga mahali pengine na hivi nimehamia hapa Nina kama week 3, lakini hapa Napo ñaona kama...
  9. Yanayoendelea Tanzania ni matokeo ya kitu gani?

    Tafakari tu bila kukaza fuvu.....tusome comment
  10. Ni somo gani umejifunza katika maisha

    Hell Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
  11. KERO Maliasili mfumo wa maombi ya Vyuo una shida gani?

    Nimeregister nikapewa username, password na control number ya malipo. Baada ya kufanya malipo yakapokelewa na meseji nimepata kabisa lakini nikienda kulog in naletewa notification pale juu kwamba nifanye malipo! Nikilog in mfumo hauendelei mbele wala haufunguki niweze kuingia kwenye akaunti...
  12. X

    Kuna huu upuuzi wa kuvaa miwani meusi siku ya maziko au misibani. Hivi wenzetu mnaotinga sunglasses misibani mna shida gani?

    Hivi wenzetu tunaokutana misibani mkiwa mmevaa sunglasses siku za maziko mnaweza kutuambia sababu ya kuvaa ni nini? Wengi ukiwauliza hawana sababu yoyote yenye mashiko ni kuiga iga tu mna ushamba mwingi sana. Hata mkienda kugoogle bado sababu mtakazoleta hazina maana yoyote wapuuzi tu...
  13. Hivi Serikali ina mpango gani kwenye mikopo ya elimu?

    Hivi Serikali ina mpango gani na hawa vijana kwenye mikopo ya elimu? Kuna utaratibu mpya wa kupata barua za utambulisho kwenye mfumo maalumu wa serikali unaitwa NAPA Lakini watendaji wa vijiji hawajapewa mafunzo yoyote kuhusu huo mfumo Matokeo yake vijana wanashindwa kufanya lolote kwenye...
  14. Unakubali zaidi channel gani kwe azam other channels?

    Kwenye azam other channel kuna channel zaidi 40 ambazo zinapatikana free na wingine wanalipia izi channel zinapatikana ata zuku decoder na CONTINENTAL DECODER Sibuka Abood tv Rabbi tv Tz Gospel Tv Top tv Africa swahil tv nk Je ni channel gani unaifatilia zaidi ?
  15. Aina gani ya gari inafaa kuanzia maisha?

    Enheeeh wajomba naombeni msaada ni aina gani ya gari nafaa kuanzia maisha kama kijana mwenye mshahara wa 2M? Nilijichanga nikafikisha kiasi fulani nataman kupata gari ila nawaza aina ipi ya gari itafaa na yenye less service n maintenance. Kuna fundi aliniambia Nissan Dualis nilipozifuatilia...
  16. Huduma gani unahitaji ya IT? website, computer,blog,social media,n.k

    Huduma gani unahitaji ya IT? Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  17. M

    Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

    Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
  18. Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka. Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze...
  19. MANANASI na MACHUNGWA yanauzwa bei gani ya jumla huko kiwangwa?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Kwa anayefahamu bei ya jumla ya MANANASI na MACHUNGWA kutoka kwa wakulima wa KIWANGWA- CHALINZE naomba anijuze. Natanguliza shukrani 🙏🏽🙏🏽
  20. Kuoga kuna faida gani?

    Wakuu tangu niko mdogo nimezoeshwa kuoga kila siku ila sijawahi kuona faida yake Vipi kama nisipooga nitanuka halafu baada ya miezi harufu itakata na sitanuka tena. Si itakuwa niko huru maishani mwangu. Nakuwa sihitaji kuoga tena. Kwani uchafu ukizidi kwenye ngozi kuna madhara gani ya kiafya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…