gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vitu gani vinaamua idadi ya njia za Main Switch kwenye nyumba yako?

    Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways). Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka naye akaleta fundi wake akaandika vifaa vyake na Main Switch (3 phase 18...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kazi gani zitamfaa?

    Habarini! Hivi mtu akisoma shahada ya uchumi anaweza kufanya kazi wapi au kampuni zipi na je atajikita zaidi kwenye maeneo yapi?
  3. JamiiForums Tanzania Je, mila hizi zina maana gani?

    Kuna vitu mpaka kufkia utu uzima wangu huu nimeshaviona ila sijawai kujua maana yake. Bila kupoteza muda; Cha kwanza ni hii ya wauza maduka kutokuuza sindano majira ya usiku. Hii niliithibitisha mimi kwenyewe siku moja. Nilitoka usiku kwenda dukani kununua sindano, nikaenda duka la kwanza(kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi mishahara kwenye NGO za kimataifa huwa ni kiasi gani?

    Mfano NGO kama DANIDA, SIDA na nyingine za aina hiyo huwa wanalipa mishahara kiasi gani kwa nafasi let's say kama ya Finance officer?
  5. JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

    Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je, Biden anasuka mpango gani anapofanya mkutano mwingine wa viongozi kati ya Marekani na Afrika baada ya miaka minane?

    Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa mkutano wa pili wa viongozi kati ya nchi yake na Afrika utakafanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Disemba mwaka huu. Alisema mkutano huo utaonyesha “ahadi ya kudumu” ya Marekani kwa Afrika, kusisitiza umuhimu wa uhusiano kati ya pande hizo mbili na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi gani nzuri lakini ina vyoo vibovu?

    Poleni na Tozo mbali mbali ma bibi na mabwana. Katika harakati za kila siku, unaweza jikuta upo katika ofisi, Eneo la Kazi ,au Eneo la biashara fulani. Basi ukajikuta umebanwa na haja either ndogo au kubwa na ukaomba uende maliwatoni. Ghafla baada ya kufika OFISI KUU hio ukakuta hadhi ya jina...
  8. JamiiForums Tanzania Dalili gani utaziona kwa msichana ambaye hajavutiwa kuwa nawe kimahusiano ( kiurafiki + kimapenzi ) pale unapoanzisha mitongozo?

    Kujua kutasababisha kuokoa mda utakaosaidia katika kulijenga taifa. Utakuta umewekeza zaidi ya miezi miwili kwa mtoto wa mtu, mwisho wa siku ni kutokujibiwa text, kublokiwa, na kadhalika. Unakuwa umepoteza mda wako bure. Utajuaje hapa napoteza mda na huyu msichana ajavutiwa nami. Ukute men ni...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani kinatumika kuwaita waliopigana vita kuu ya dunia mashujaa?

    Hatuwezi kuwaita waliotumika chini ya mkoloni mashujaa bila kuwaita wakoloni wenyewe mashujaa. Mnatuchanganya? Yapo mambo mengi mmeyaficha katika historia, hamuwaambii wananchi kuwa wapo ndugu zetu walihusika katika biashara ya watumwa kwa kuwakata ndugu zao na kuwauza kwa wageni. Wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Kero: RITA mna matatizo gani?

    Habari wana JF, Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi. Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022 1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU. Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hawa Mipango Miji wana kazi gani?

    Hawa jamaa bana ni miyeyusho yani sijui hata wanafanya vipi kazi. Ukiangalia kwa sasa kasi ya watu kujenga maeneo ya pembezoni mwa mji imekua kubwa lakini hawa jamaa siwaoni kabisa wakitimiza majukumu yao ya kupima viwanja kwa kasi ili watu wanapojenga, haya maeneo mapya angalau yawe na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania BRELA kuna shida gani?

    Customer care number haikupi option ya kuongea na mhudumu, wanakueleza tu kuhusu huduma zao na namba hii si ya BURE.
  13. JamiiForums Tanzania KWA WAHENGA TU: Mara ya kwanza kuona TV/ Video/ Sinema ilikuwa mwaka gani na ulijisikiaje?

    Binafsi nakumbuka mara ya kwanza kuona video ilikuwa ni Late 1980"s na ilikuwa ni Sinema. Walikuja uwanjani kijijini kwetu wakihamasisha maendeleo. Waliwasha Sinema na Waliweka wimbo wa "Remmy Ongala" sikumbuki Jina ila Binafsi sikuwa najua tofauti ya Sinema na Muziki. Nikawa nacheza nikiamini...
  14. JamiiForums Tanzania Kwani Walimu wamewakosea kitu gani Watanzania?

    Ndugu wana jukwaa hili habari za Jumapili! Ndugu zangu nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wamekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi? Kwa mfano kila anayeandika habari ya maisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kunyimwa unyumba kama hujatoa hela ya huduma kwa mwanamke?

    Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza. Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kasoma pcb kwa matokeo haya a Hague kozi gani

    Physics C Chemistry C Biology D BAM D USHAURI tu Mana naona kozi za afya ni ngumu kutoboa
  17. JamiiForums Tanzania Ni kitu Gani kinasababisha magari kuwa na milio tofauti?

    Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin. Je ni kitu Gani kinachopelekea tofauti hizi?
  18. JamiiForums Tanzania Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

    Habari wadau, Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB inahitaji mtaji wa Tsh ngapi Ili kuifanya biashara hii bila kutetereka? Na pia ni vitu gani muhimu vya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

    Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima. Ametibua nini? Mpaka akag'olewa? Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
  20. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kumpata mshauri wa mambo unayopitia?

    Watu wengi huwa tunaomba ushauri kwa watu mbalimbali ili watusaidie pale tunapohitaji, lakini ikitokea tumegombana na wale waliotupa ushauri, tunazikuta siri zetu nje ya hapo. Sasa wewe unatumia njia gani kumpata mshauri anayefaa? Kuna baadhi huwa tunawachukua marafiki kama washauri ila kibaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…