gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

    Wakuu Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa. Nyie wenzangu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania RITA hutumia muda gani kujibu baada ya ku-apply

    RITA HUTUMIA MUDA GANI KUJIBU BAADA YA KUAPPLY VERIFICATION YA BIRTH CERTIFICATE?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Foreign Service Officer ni nani na ana majukumu gani katika nchi!?

    Wananzengo Napenda kujua kwa kina Foreign Service Officer ana majukumu gani na kazi hii fursa gani na changamoto zipi!?
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
  5. JamiiForums Tanzania Neno gani ambalo ulishawahi kuambiwa dhahiri likakukatisha tamaa?

    Ukweli ni kwamba kuna maneno mengi sana ambayo yanatumika na watu mbalimbali hususani pale wanapotaka kumkatisha tamaa mtu mwingine. Binafsi, kuna neno "Sio kirahisi hivyo kama unavyodhani" Hili ni neno ambalo limeachisha mawazo ya watu wengi kuhusiana na kujihusisha na jambo fulani. Mfano...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Muhimbili, kulikuwa na haja gani ya upasuaji kutenganisha watoto mapacha?

    Kwamba pacha wa pili naye hatunaye? Inasikitisha. Kwani kulikuwa na haja gani ya operation hii? Kama uwezo wetu ungali hautoshi, kwa nini kujimwambafy bure juu ya maisha ya wengine? Kwanini tusingeomba usaidizi wa beberu kwenye masuala nyeti kama haya ya maisha ya watu? Kwa hakika Muhimbili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania AJABU: Vyombo vya Habari Tanzania na Watanzania tunavyofuatilia uchaguzi Kenya, tuna maslahi gani haswa?

    Wana JF nisaidieni. Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la kutufanya tushabikie na kushobokea uchaguzi wa wenzetu kwa kiasi hicho? Ingelikuwa Marekani ama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndege zinazonunuliwa na Serikali zina faida gani wakati Human development iko very poor?

    Midege mingine mitano ya nini? 👇 -- Serikali inakusudia kununua ndege mpya tano katika mwaka wa fedha 2022/23 ikiwemo ndege moja ya mizigo, idadi ambayo itaifanya serikali kuwa na jumla ya ndege 16. Tayari serikali imetenga Sh353 bilioni katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya kugharamia...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu cheo cha Field Marshall, ni aina Gani ya mtu anaitwa cheo hicho?

    Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi . Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ? Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

    Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu kila mtu ale hamsini zake. Em marijali tushare mbinu hapa za jinsi ya kuomba showtime kwa pisi kama...
  11. JamiiForums Tanzania Gold Metal Detector gani ni bora kwako na inakupa Matokeo...?

    Habari Wakuu! Naomba kupata Uzoefu wenu, aina gani ya Gold Detector ambayo imekupa matokeo Mazuri....!? Iwe ni Detector ya Coil au high range detector...! NB. Binafsi nahitaji Detector kwa ajiri ya kutafuta Gold Nuggets kijijini kwetu....! Pia kama inaweza ku detect Hidden treasures itakua...
  12. JamiiForums Tanzania Mchanganyiko uliosagwa wa Tangawizi, Kitunguu Saumu, Mdalasini, Limao na Asali vinaweza kutumika kwa muda gani bila kuharibika?

    Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu. Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake 7 kumtaka mwanaume mmoja. Unyenyekevu na utiifu vyahusishwa katika ndoa

    Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika. Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani kwa serekali yetu kulitwaa eneo la vingunguti na kujenga makazi ya kisasa

    Ipo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanafaidika kitu Gani wanapovunja ndoa za Watoto wao?

    Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika. 1. Je sababu zinaweza kuwa Nini? 2. Je kama mnapendana kwa dhati 3.Wazazi wanaweza kuwa na nafasi? 4. Nini nafasi ya maandiko matakatifu kuhusu Ndoa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

    Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kununua wifi router ya kusambaza intaneti nyumbani lakini itakaa masaa 6 tu. Je, nikiiwekea power bank itakuwa inakaa muda gani?

    Habari zenu wakuu, Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet. Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na umeme, network imejaa 4g huwa inashika vizuri sana, nataka niweke portable wifi router ndogo hizi...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania itapata faida gani kama TAZARA itajengwa kwa kiwango cha SGR?

    Katika ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Mh Hakainde Hichilema July 2, 2022, yeye na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania walikubaliana kufufua ujenzi wa reli ya kihistoria ya TAZARA kwa kiwango cha ‘Standard Gauge Railway’ (SGR). Reli ya TAZARA ina urefu wa kilomita 1,860...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Je, viongozi vijana wanatumia madaraka vizuri? Wanastahili nafasi zao?

    Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi. Swali: je, vijana wachapakazi lakini wenye utoto mwingi wapewe kazi au wasipewe? Je, hawa vijana watatumia madaraka...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani semina ya sensa kufanyika wiki 3. Huu ni urasimu, siku 1-3 zingetosha kabisa

    Habari! Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu. Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo kwenye hizo simu /tablets, kwanini isiwe siku moja ya kuelekezana masomo ya utaifa na uadilifu na siku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…