gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni siku gani ndugu zetu wana Mbeya nao watajua kujisimamia wenyewe?

    Habari zenu wana JF wenzangu, Ndugu zangu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe wana Mbeya wameonesha hamasa kubwa ya kutaka mageuzi nje ya CCM, lakini wanaonesha kuwa hawana uwezo wa kujisimamia wenyewe katika kuyataka mageuzi hayo, mpaka kupitia kwa watu wengine kama vile wana Kilimanjaro na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania World Bank Vice President for E& S Africa anatumia vigezo gani kusema Tanzania imefanya "miracles" uchumi wake ni imara despite Ukraine

    Nimeona akisema kuwa Tanzania imefanya vizuri katika uchumi wake, eti tanzania imeshinda mfumko wa bei. Nimepigwa na butwaa. Mwigulu alikuwa anachekela as if ameuweza uchumi wa Tanzania kuwa first class wakati anawaibia watu , wizi kabisa wa fedha za watu kwa tozo! Ujambazi wa Tozo, eti ameweza...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mshabiki wa Simba ni timu gani ungependa Simba ikutane nazo katika makundi ya klabu bingwa Afrika?

    Binafsi napenda tupangiwe kundi moja na Wydad Ac Al hilal Coton sport de Garoua Je wewe ungependa tukutane na timu gani?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

    Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana ==== Aliyoandika Kabendera Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

    Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
  6. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani hujawahi kusahau wala kusamehe?

    1. Mwanamke nliyezaa naye tuliuguliwa mtoto akalazwa na tatzo lilikuwa linajulikana maana iyo ilikuwa n mara ya pili, mtoto alifariki nliumia mpk leo sjawai msahau mwanangu, aisee yule mdada akaanza sambaza mi ndo nimemuua mtoto wng. 2. Nilipigiwa cm na ndugu yng kwmb kuna kaz kaniunganishia...
  7. JamiiForums Tanzania Funga macho, vita picha katika fikra kwamba umeweza kuishi mpaka 2100, ni kitu gani unakiona ?

    Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100 1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani. 2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao 3.Smartphone zitakuwa kama...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

    Baadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati. Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa vyuoni kwa sababu gani? Ni fani ambayo haina umuhimu wowote kwa karne hii ya 21. Mtoto akisoma...
  9. JamiiForums Tanzania Umewahi kumkopesha pesa mpenzi wako na akakulipa bila shida? ulitumia mbinu gani kumdai? Share hapa

    Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu Atakulipa? Atakulipa kwa wakati? Asipolipa unafanyaje? Uko tayari kudhulumiwa?
  10. JamiiForums Tanzania WanaChadema mbona mnapenda malalamiko yasiyo na mashiko. Kuna ubaya gani kiti cha rais kupelekwa kanisan? Mmekosa hoja.

    Mnabwatuka hovyo. Mbona hata wananchi wa kawaida huwa wanaenda viti vyao makanisani. Hapa kuna shida gani? Hii ni non sense. 👇🏿
  11. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani wa sisi Yanga kuiga kila wanachofanya mkia?

    1. Simba Day Tuwaze mambo mapya.
  12. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupata kero gani COSTECH ukifuatilia kibali cha tafiti?

    Ndugu watafiti, recently yamewasilishwa mapendekezo mapya ya sheria ya COSTECH ambayo yanweza kuongeza ugumu wa kupata kibali cha kufanya tafiti. Mapendekezo yanawapa COSTECH uwezo wa kuja na kuvikamata vifaa vyako, kuwauliza staff kuhusu utafiti unaoendelea pia kuchukua documents zenu. Kabla...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, TADB wanakopesha wakulima gani?

    Habari ndugu wanajamii.Kuna benki inajiita ya kilimo tanzania hawa jamaa sijuhi wanakopesha wakulima wa nchiiii gani??Au ipo kisiasa na kimtego kuadaa wananchii. Ukienda pale watakwambia uende kwenye benki za biashara kwamba wanamakubaliano nao kukopesha wakulima na Wafugaji.Lakini kule benki...
  14. JamiiForums Tanzania Kialama hiki kina maana gani?

    Wakuu, naomba mnisaidie kwa wenye ujuzi na hizi simu .. Hicho kialama hapo juu pembeni ya kialama cha alarm kina maanisha nini?
  15. JamiiForums Tanzania Haya madini yanafanya kazi gani kubwa, mpaka kupewa thamani kubwa?

    Huwa najiuliza, haya madini kama: almasi, dhahabu, Tanzanite n.k ni kitu gani kinayapa thamani au yanafanya kazi gani kubwa yanayoendana na thamani ya mauzo? Kwa ufahamu wangu mdogo, najua yanatumika kwa mapambo, kukatia vioo na miamba (almasi); lakini, kwa nini yanathaminishwa kwa gharama...
  16. JamiiForums Tanzania Japan alipigwa kwa nyuklia lakini ni rafiki mkubwa wa Marekani. Ni kwa sababu gani?

    Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri. Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki. Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado...
  17. JamiiForums Tanzania Kazi iendelee na safari iendelee, tutafika tu. Ni wapi na kwa namna gani, tutakomaa tu!

    Katika pita pita yangu humu JF nimekutana na huu mjadala kati ya ninaoamini ni watetezi wakubwa wa kazi iendelee na wana CCM kindaki ndaki. A: Kazi iendelee, Shaka apewe Urais tu! B: Bado hajakomaa vizuri... C: Atakomaa huko huko! Nakiri sikushangaa hata kidogo. Huwezi ukapanda mchicha...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Dagaa na Maharage wanyonge watakula mboga gani?

    Tanzania hii ukitoa Maharage na dagaa unaweza kusababisha sintofahamu.
  19. JamiiForums Tanzania Mfugaji huyu wa Kuku wa Mayai 120,000 anapatikana mkoa gani ili tukajifunze kwake?

    Ndugu zanguni wazima? Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda). Tafadhali mwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Kubemenda mtoto kuna madhara gani? Mbona kunaogopwa sana?

    Katika tafakari yangu nimegundua kuwa kubemenda mtoto hakuna madhara yoyote. Kubemenda ikiwa ni kuzaa watoto karibukaribu kupita kiasi, huyu hajamaliza kunyonya tayari mwingine kazaliwa. Zamani jambo hili liliweza kusababisha kwashiarkor kwa watoto. Hata Kwashiarkor maana yake ugonjwa unaompata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…