gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Ijumaa kuu, unafahamu vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?

    Waislamu tukae pembeni kidogo Leo ni siku ya Ijumaa kuu, tukumbushane vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?
  2. JamiiForums Tanzania hii ndoto inamaana gani? kitu ambacho ni sahihi naambiwa sio sahihi

    kwanza kabisa mtanisamehe kwa kuwasumbua kila wakati kwa kuja hapa kuhitaji msaada wenu lakini nashukuru kwa majibu yenu mazuri ambayo wakati mwingine yananifanya kuwa makini na mambo yajayo, ipo hivi kwanza kabisa mazingira ya hii ndoto na watu wote waliokuwepo nawafahamu ni huko kijijini...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi hii alama ya kijani kwenye Instagram akaunti yangu (video call icon) kina maana gani?

    Nahisi pengine nimedukuliwa akaunti yangu ya Instagram
  4. JamiiForums Tanzania Maana ya ndoto ya kutembea uchi mbele za watu, mrejesho

    Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama...
  5. JamiiForums Tanzania TUKUMBUSHANE: Tukio gani la hatari uliwahi kufanya utotoni?

    Hope ni wazima wana JF, Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua? Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa wa kike Jesca, tulienda porini sio mbali sana na maeneo tunayoishi. Baada ya kutembea tembea kidogo...
  6. JamiiForums Tanzania Kazi gani inadharaulika lakini ukiifanya inakuingizia pesa ndefu?

    Leo tupeane A, B, C za kujiinua kiuchumi, unadhani ni kazi ipi inadharaulika mtaani kwako lakini ndo inayokuweka mjini?
  7. JamiiForums Tanzania Ina maana gani kuota unatembea uchi mbele ya watu?

    Kwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye mfungo vyakula vinapanda bei, biashara ya pombe, kitimoto na gesti ngumu. Hii ina tafsiri gani?

    Ebu tuelimishane, Kwanini kwenye mfungo wa Ramadhan vyakula vinapanda bei? Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo? Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu maana si watu hawali chakula. Na kwa biashara za bar na kitimoto ziendelee kama kawaida maana...
  9. JamiiForums Tanzania Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

    Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ... 1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili? 2. Biblia ni nini? 3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia. 4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani Biblia haijasema ni dhambi lakini sisi tunaichukulia kama dhambi?

    Kwa uchache wa ujuzi wangu kwenye Biblia sijawahi sikia mahala ikisema kwamba Punyeto ni dhambi. Lakini viongozi wa kidini wanasema ni dhambi. Kipi ni kitu kinaonekana au kusemwa ni dhambi lakini hakipo kwenye Biblia?
  11. JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

    Kama una urafiki na mwanaume au mwanamke tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni sehemu gani unaweza kupata Chemicals mbalimbali

    Mfano labda nahitaji calcium carbonate, silicone ,Polyol Nk ni sehemu gani naweza kupata vitu kama hivyo labda TDI please Nisaidieni wana jamvi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mngependa kukutana na timu gani kati ya hizi tatu kwenye robo fainali ya kombe la losers? Rivers United, USM Alger au Pyramids

    Chei chei! Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo. Yanga amemaliza kama kinara wa kundi Dada....ila anakwenda kukumbana na hatari kubwa mbele yake kwani alitegemea labda atapata vibonde ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kukabiliana na Stress za kazi?

    Stress kwasababu ya Kazi inapokuwa kubwa kupita kiasi, inaweza kukuathiri kimwili na kihisia Kwa watu wengi, sio rahisi kuepuka 'Stress' hata kama unapenda kile unachofanya Unarudi vipi kwenye mstari mambo "yanapokuwa mengi" kazini? ===== Work-related stress can get the best of us all...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Course gani ya kuchagua kwa mwanafunzi aliyesoma tahasusi ya CBG?

    Kwema wajameni? Hivi Kwa mwanafuz WA f6 CBG course Gani nzuri za ku-apply chuo Kama anasifa mfano Ana division two
  16. U

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani nzuri ninayoweza kujifunza masuala ya crypto, kununua na kuuza kwa uhakika?

    Basi usijali ilinichukua mda sana kujifunza na nkafanya uchunguzi ni sehemu gani sahihi ambayo mtu anaweza kununua na kuuza cryptocurrency. Basi jawabu lenyewe ni coinsmart. Hili ni kampuni linalijihusisha na masuala ya kuuza na kununua crypto lakini pia utaweza kujifunza mengi zaidi. Ukiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu ni kazi gani naweza fanya kwa Smart Phone yangu

    Wana jf habar zenu,,, jaman mi muda mwingi sina kazi na Nina smartphone kutwa nashinda online lakini ni jobless ni kuunga bando tyu na kuslide duniani . Nisaidieni jinsi bando langu kupitia smartphone yangu unaweza nizalishia pesa. Jobless tupitie comments za high IQ hapo 👇👇👇
  18. JamiiForums Tanzania Elimu bure ambayo haimpi mtu Maarifa ina umuhimu gani?

    Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya...
  19. JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia story gani ya Iddi Amini Dada, ikakupa hasira?

    Namuitaga Sheikh Iddi Amini Dada mwamba aliyewatumikisha mpaka wazungu,tulisikia story nyingi mbaya kuhusu yeye za kutunga ili tumchukie. Je, uliwahi kusikia story gani ya Iddy Amini Dada ikakupa hasira?
  20. JamiiForums Tanzania Superblack gani inafaa kupaka kwenye ndevu?

    Wakuu ndevu zangu naona haziko na color nzuri, so nahitaji nipate superblack nzuri ambayo ni special kwa ndevu au any black material ili ndevu zangu ziwe na muonekano mzuri zaidi. Ipi ushawahi kutumia? Nijuze hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…