gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania KWA ALIYEFANIKIWA KULIPIA GOOGLE PLAY CONSOLE ULITUMIA BANK GANI NA IMEWEZESHWAJE?

    Naomba kujua hilo kadi ZOTE za virtual prepaid hadi bank ya nmb zimeshindwa Kwa kadi za virtual aka prepaid zimeinyesha wazi kukataliwa Sasa nilivyokuja Kwa bank nmb imegoma hii hapa chini ni acnap ya nmb Kwa google apesa ipo kama 150k na nataka kulia USD 25 tatizo nini? Nmb imewezeshwa ila...
  2. JamiiForums Tanzania Pasi hii umedumu nayo kwa muda gani?

    Kuna pasi alafu kuna hii pasi Ya kwako imedumu kwa muda gani?
  3. JamiiForums Tanzania Posho ya mafuta ya wabunge ipo namna gani?

    Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
  4. JamiiForums Tanzania Hivi uume mkubwa unaanzia size gani?

    Kuna bibie nilikua namtafuna hapa,sasa usiku kucha alikua analalamika eti uume wangu ni mkubwa sana. Sasa naomba kuuliza ,uume mkubwa huwa unaanzia size gani
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa gani hapa Tanzania unaweza kumshauri kijana anayejitafuta akaishi na akipambana uwezekano wa kutoboa upo?

    Wakuu kama kijana tunapitia hali ngumu katika kuchagua jambo litakalotusaidia hapo baadae. je ni mkoa gani unaweza kumshauli kijana anayejitafuta kimaisha akaishi, ambapo akienda mkoa huo akipambana uwezekano wa kutoboa kimaisha upo?.ukitaja mkoa naomba utoe na sababu
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je una huruma kiasi gani ?

    Huyu panya ungemuua au ungemuhurumia kwaajili ya watoto wake ? Mimi binafsi ninamuacha ila tutakuja kupambana hapo baadae watoto wakishakua wakubwa, na watoto wakiwa wakubwa na kuanza usumbufu hapo ndipo nitaanza kudeal nao kwasababu sasa hivi hawajui chochote bado sababu nyingine ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Galilaya kwa Sasa ndio mji Gani?

    Wana theology,wataalam wa biblia na wale Wana historia napenda kuwasilisha swali kwenu nikitaka kujua mji wa galilaya ambao umetajwa kwenye biblia kwa Sasa uko katika nchi Gani na huo mji kwa sasa unaitwaje? Miji kama ya nazalete,sodoma na gomora n.k iko katika nchi Gani na kwa Sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuomba ruhusa kazini?

    wakuu mbinu gani unaweza tumia kuomba ruhusa kazini ukiwa unaenda kufanya usahili sehemu nyingine?
  10. JamiiForums Tanzania Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

    Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya...
  11. JamiiForums Tanzania Occupational therapy jobs

    Hivi course ya occupational therapy Ina marketability kiasi gani kitaa
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri gani UNAIPA nafsi yako, wakati huu?

    Binafsi Nashukuru 🙏🏿, sasa USIHOFU, kaza!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tuzingatie kitu gani tunapokwenda kununua simu ili tupate simu bora?

    Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni. Sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  17. JamiiForums Tanzania Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza?

    Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza? 🧠🧠🧠
  18. JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata ili kuanzisha nchi?

    Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria Nawasilisha
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  20. JamiiForums Tanzania Vodacom kuna tatizo gani?

    Wakuu kwa ambae kanunua umeme,luku jana na leo kwa kutumia voda simshauri kuna tatizo kubwa sana huko voda watu tulionunua umeme jana leo tunalia na kusaga meno pesa zetu hazijarudishwa kampuni ishaanza wizi hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…