gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni kampuni gani wanaunda seat za magari?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika hapo juu naulizia nani anafahamu kampuni wanaotengeneza seat za magari, sio seat covers, ni seat zenyewe.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi Kinga za Makosa ya kijinai zina Faida gani Kwa Taifa?

    Moja ya vitu vinavyonishangaza katika nchi yangu mama Tanzania, ni ubunifu walionao viongozi wa serikali katika Kuhakikisha yale yanayo wahusu yanafanikiwa, au yanafanyika kadili wao wanavyopenda tena kupitia chombo muhimu kama bunge. Sijawasikia wakipeleka muswada wa kufanyia marekebisho...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wazee huyu ni nyoka aina gani?

    Eti huyu nyoka anaitwaje?
  5. JamiiForums Tanzania Hebu wataalamu tusaidie kusoma picha hii halafu tueleze umegundua changamoto gani?

    How many issues May you observe... Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi huyu rafiki yangu anaweza kuwa mtu wa aina gani?

    Habari zenu wakuu?? Natumaini mpo salama kabisa. Okay mimi siyo muanzisha mada humu mara kwa mara ila mara nyingi nimekuwa napenda sana kusoma tu mada, story hata visa mbalimbali viinavyolweta na baadhi ya wadau wenzetu na kama itatokea nikaguswa sanaa basi mara moja moja huwa natupia comment...
  7. JamiiForums Tanzania Umasikini wa watu wa Bukoba unapimwa kwa kutumia vigezo gani?

    Mimi nimezaliwa Bukoba Nimesoma Uganda Chuo Dsm Niseme tu hii Nchi hakuna Sehemu Unaweza sema Kuna watu wana unafuu wa Maisha Jibu ni Kwamba Bukoba wana umasikini wa Majumba lakini chakula kizuri as the same Dsm watu nyumba Nzuri lakini njaa ya watu kukosa chakula kawaida. Sana hasa ukitazama...
  8. JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

    Signed Out
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake. Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuwa je, kiwango cha mshahara ninachokipata kulingana na majukumu niliyonayo kama kinanitosha, ni baba wa mke mmoja na watoto watatu ambao kati yao wawili wameshaanza shule. Sasa kila nikipokea mshahara let say tar 01 ikifika tar 03 huwa sina kitu mfukoni...
  11. JamiiForums Tanzania Kina shida gani hiki kidole wataalamu na tutibu vipi?

    Hili tatizo linazidi kukua, ilianza kama. Mstari hivi pembeni linakula kucha ya mtoto.
  12. JamiiForums Tanzania Story gani ya uongo uliwahi kusikia kuhusu Baba wa Taifa?

    Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini. Wewe ulisikia ipi?
  13. JamiiForums Tanzania Hii Tanzania una shida gani? Niko mbioni kubadilisha kuwa Raia wa canada

    WASAIDIZI WA RAIS WAJITATHIMINI HARAKA. Na Thadei Ole Mushi. Rais Samia anawezekana anaitakia hii nchi Mema sana ila wanaomzunguka na washauri wake haswa wa Uchumi wakamwangusha. BOT wameweka limit na masharti kibao kuhusu watu kutoa fedha za Kugeni kwenye Account zao. Tafsiri yake ni kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria. Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la. Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli. 1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema. 2. Sms za...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

    Habari. Nina mwezi wa tatu sàsa natumia tecno yaani hadi nakoma.Yaani ni stress tupu nashindwa kuizoea mara inepeleke kule mara huko nikirudi huku inanitoa nje mara iminimize yenyewe nikibonyeza huku inarudi juu..mara casa ikwame inanitizama tu kama bundi sàsa sijui tatizo ni mimi au simu yaani...
  16. JamiiForums Tanzania Ni mazingira gani ya hatari ambayo umewahi kufanya mapenzi?

    Wasalaam.. Nimekaa zangu gheto sielewi, mikeka inachanika nikakumbuka siku moja nlikula mbususu kwenye mazingira ya hatari sana. Ilikua nimetoka club mida ya SAA nane hivi kuna manzi akaniomba lift nimpeleke kwao kidume nikachangamkia fursa. Basi kwnye gari mtoto namuimbisha haelewi..kuja...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimebadilika katika elimu Tanzania? Tukiendelea kuwaacha wajinga watuongoze watu wenye akili ni hatari

    Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika? Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo ya ziada tuition lakini kulikuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kipaza sauti ni kitu gani?

    Eti wakuu kipaza sauti ni nini? Hivi vinaitwaje kwa kiswahili? Kipi ni kipaza sauti?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye?

    Habari ndugu zangu, naombeni mnisaidie ni biashara gani naweza kufanya hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa laki tano?
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya kifo cha Albert Mangwair, unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu?

    Leo Mei 28, 2023 imetimia miaka 10 tangu kutokea kifo cha ghafla cha Nyota wa Hip Hop, Bongo Flava na Mkali wa "Freestyle" kutoka East Zoo Dom, Mangwair au Ngwair au Cowbama Wakati wa uhai wake, alijizolea sifa ikiwemo kuwa na uwezo kuingia studio na kurekodi 'Ngoma' bila kuandika (Freestyle)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…