gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni kigogo au fisadi gani papa amewahi kuburuzwa mahakamani tangu Rais Samia ashike usukani?

    Vigogo wako juu ya serikali awamu hii, wanatamba na kufanya wapendavyo. Na hakuna wa kufanya fyoko. Hakuna kigogo yeyote wa serikali, hata waliotajwa na CAG kuwa wamefuja mali za umma ambaye ameburuzwa mahakamani hadi leo. Mama anabakia kusema tu "stupid" lkn hayagusi haya majitu mazito kuliko...
  2. JamiiForums Tanzania Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

    Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
  3. JamiiForums Tanzania Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

    Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo, Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi shisha ni kilevi cha aina gani na mchanganyo wake ukoje?

    Wakuu mm ni wa mikoani huku hebu nitoeni ushamba kidogoHivi inavutwaje hasa,na inawekwa kwenye kifaa kipi?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kesho ndiyo siku ya mwisho ku-confirm chuo gani utajiunga kama una multiple allocations. Wanafunzi watarajiwa Do the needful. Msaada please

    Kesho ndio mwsho wa ku confirm chuo gani unajiunga, short of that unakosa vyoye. Msaada: Je nikiconfirm kwenda chuo fulani, lkn bado my preference sikuchaguliwa nataka kujaribu second window/round. Je inawezekana nikafanya application?
  6. JamiiForums Tanzania Nawaza sana Uzee wangu utakuwa wa namna gani

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,sasa hivi utaula wa chuya! Nawaza sana endapo Mungu akinipa Umri mkubwa wa Kuishi,sijui uzee wangu utakuwa wa namna gani!😩 Je, nitadharaulika kama baadhi ya wazee leo wanavyodhaurika? Je, nitakosa thamani kama wazee wengine wanavyokosa thamani miongoni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesomea bachelor of library information studies anaweza fanya kazi gani mbali na ukutubi

    Kaka yangu ananilazimisha nikasome hiyo kozi lakini mimi nahisi siielewi.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

    Natanguliza shukrani kwenu. 🙏
  9. D

    JamiiForums Tanzania Dunia ina Umri gani?

    Wanajamvi Salam. Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million kadhaa huko nyuma. Pia watu walioishi miaka hiyo ya nyuma sana inasimuliwa na kuaminika kwamba walikua...
  10. JamiiForums Tanzania Unapata faida gani kuanika mambo yako ya msingi mbele za watu

    Siriiiiii, kuna kundi kubwa sana la watu hawajui madhara ya kuanika mambo yao ya msingi mbele za watu. Yaani yeye akipata dili lolote hata kabla halijatiki tayari kashawatangazia watu zaidi ya kumi, ndugu zangu hivi mnajua kuwa kwenye hii dunia tuaishi kwa kuviziana sana? Utasikia ooooh...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani viongozi wetu wanakaa na kutulia kufikiria uelekeo wa Taifa

    Ukiwa Kiongozi wa Nchi pamoja na mambo mengine ni kuwa mtulivu , kuwa na muda mrefu wa kutafakari kwa fikra tunduivu uelekeo wa Taifa. Kwa kufanya hivyo unatoa uongozi na majawabu pale vyombo na taasisi zilizopo kisheria zinapokushauri. Meditation inahitaji muda na utulivu . Nachoshangaa ni...
  12. JamiiForums Tanzania Hadhi ya kuitwa ‘Balozi’ huwa ina faida gani kwa mtu asiyetumikia tena ubalozini?

    Huenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani? Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa...
  13. JamiiForums Tanzania Habari Picha: Hii picha imebeba ujumbe gani?

    the THE BIG SHOW, FaizaFoxy na Lucas mwashambwa njooni mtueleze
  14. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria. Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo. Kanda ya Ziwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Wizara ya Katiba na Sheria mpaka Mawaziri hawakai?

    Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni. Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani? Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015 2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019 2019 - 2020 2020 -...
  16. JamiiForums Tanzania Tamasha la Kizimkazi lina manufaa gani kwa taifa?

    Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula. Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo. HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu...
  17. JamiiForums Tanzania Tukio gani lilikufundisha kuheshimu kila mtu bila kujali hali yao?

    Na hasa kwa wale ambao wamewahi au wapo juu kimaisha aidha kiuchumi, vyeo, akili, kiafya, umaarufu, mvuto, n.k. Kuna siku nilikuwa naitafuta sehemu fulan mtaa fulani ila nikamuona kijana fulani mtumiaji wa dawa za kulevya nikamfuata kumjulia hali na kumwambia shida yangu, bahati nzuri alikuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Course gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa hapa Tanzania

    Course Gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa apa bongo. Naomba ushauri
  19. JamiiForums Tanzania Kwani Suzuki Escudo ina shida gani wakuu?!

    Wakuu hamjambo?! Hivi nikivuta Suzuki Escudo nitakumbana na vipengele gani? Kama kuna wakuu wanapinga Suzuki Escudo basi watoe maelekezo nichukue gari gani yenye size hiyo
  20. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani ni positive au negative?

    nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie njiani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…