gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani. Ni Mkoa gani ulikushangaza kwa kuwa na Baiskeli nyingi?

    Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kutambua na kuhamasisha matumizi ya baiskeli kama njia ya usafiri, burudani, na michezo. Lengo la Siku ya Baiskeli Duniani ni kuongeza uelewa kuhusu faida za kutumia baiskeli kwa mtu...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufagia ardhi ya udongo, mchanga au vumbi ni usafi gani?

    Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
  4. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Dawa gani inaweza kundoa kipilipili sugu?

    Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
  5. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Tuelezwe Rais Samia ametumia kiasi gani kwenda Korea kusini

    Wakuu bila kipotwza Muda Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi Basi huku kwetu nako Tanganyika rais wetu amekwenda ziara ya siku sita mjini Seul pmj Na wajumbe wake wako...
  6. chamng'asi

    JamiiForums Tanzania Asome Fani gani VETA Kati ya hizi zifuatazo?

    Salaam! Kijana wangu kahitimu kidato cha nne, Ana division FOUR ya point 26, Nimeazimia kumpeleka VETA asome fani yoyote ambayo kwa sasa ni marketable, Naomba Ushauri wenu kati ya hizi zifuatazo ipi aisome? 1. Truck Mechanics 2. Heavy Duty Mechanics 3. Electronics 4. Machine Tool Maintenance 5...
  7. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  8. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uache biashara uliyonoyo hadi na madeni utapoteza kiasi gani?

    kwa hiyo kazi yako unayoifanya ukaambiwa kesho uachane nayo na kila kitu ni kiasi gani cha pesa chaweza kuwa nje kwenye madeni? mm haivuki laki mbili.
  9. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Hivi baadhi ya wake za watu wana shida gani?

    Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu anaanza kunilaumu nina roho mbaya toka amerudi sijaenda kumuona mara nimnunulie soda wakati mim ni...
  10. FK21

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani nzuri ya kufanya ili watu fulani waondoke maishani mwako?

    Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya muda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia mbinu gani ili aondoke kwenye maisha yako?
  11. Tim VancanPRO

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mboga za majani aina ya Chainizi husababisha upungufu wa Nguvu za kiume

    Kumekuwa na Madai ya kwamba matumizi ya mboga za majani aina ya chainizi yamekua na madhara katika ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume. Kuna ukweli gani katika hilo suala? Naomba nijibiwe kitaalam niweze kuelewa.
  12. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana tatizo gani?

    Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya! Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Harry Mwijage anafanya biashara gani?

    Habari zenu. Kuna jamaa anaitwa Harry Mwijage huwa anaonekana sana kwenye mitandao ya kijamii akihamasisha vijana wapambane katika biashara na shughuli nyingine Kwa anayemjua atusaidie huyu jamaa yeye Anafanya biashara gani au na yeye anahamasisha tu watu wapambanie Kombe.
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata fundisho gani Kwa Trump, Rais wa zamani wa America, kukutwa na hatia Kwa makosa ya jinai?

    Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo. Hiyo inamfanya Donald Trump, kuwa Rais wa kwanza mstaafu wa America, kukutwa na hatia, Kwa makosa ya jinai tokea Taifa Hilo...
  16. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Kiasi Gani Cha fedha uliwahi kuokota? Ilikuwaje?

    Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani. Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini Nilitaka kuignore, lakini nilipofocus nikagundua ni pochi ya hela. Nikaiokota haraka na kurudi kwenye sherehe...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa

    Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ado Shaibu akiwa kwenue mjadala wa X (Twitter ya JamiiForums) ametoa mchango wake kuhusu rushwa. Akitoa hoja hiyo anasema: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa, mfano huko nyuma Rais wa Awamu ya Tano aliwahi kutaka kurasimisha...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Timu gani atashindwa kufunga hapa?

  20. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Najiuliza ni kitu gani hiki vodacom wanafanya?

    Nimeweka pesa kwa wakala, Meseji ikaenda kwa wakala kwamba muamala umefanikiwa lakini kwangu meseji haijafika. Nimeangalia salio hakuna pesa, wakala akawapigia simu wakasema pesa imekuja kwangu wakati pesa kwangu haijaja. Najiuliza ni kitu gani hiki Vodacom wanafanya?
Back
Top Bottom