Nimeshindwa nicheze game lipi

Dcxkobe

Member
Mar 5, 2023
57
136
Mimi napenda magemu ya story hasa ya kivita Ila kila mtu anataja Aya pugb.call of dirty.modern combat nimeshindwa nicheze lipi Sasa nzur Zaid ya yote naomba mpendekeze moja tu ambalo mnahc n Bora kuzd yote
 
Mkuu ukitaka kuinjoy game cheza online tu.
Na kama uko vizuri kwenye game za vita cheza Call of duty warzone ni tamu sana ila linaboa kama hujui game za kivita maana huko watu ni wanashona hawana huruma.
 
Back
Top Bottom