fursa

  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Live zinazofuata tuweke watu wa kututafutia fursa za masoko nje, na sisi watz tuungane kwenye kilimo, wasikae tu nje bila umuhimu wowote

    Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote kwenye izo live, kama ni masoko ya vyakula uku mashamba yapo ya kutosha mpaka yanamwagika, kama ni ajira...
  2. JamiiForums Tanzania Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano ya D9 tarehe 9/12, tumieni hiyo fursa watanzania

    Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ajira ya kazi ya kibarua kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja malipo 12000 kwa siku

    Habari JF Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29 na fursa ya utajiri wa nje nje

    Tengeneza jezi zako, andika , TANGANYIKA, ingiza mtaani Fanya BIASHARA ziuze bei chee TU achana na Simba na yanga we uza bei che vi faida kidogo TU ndani ya mwaka mmoja Yani 2026 TU, piga hesabu yako vizuri. Masoko Vyuo vikuu, mtandaoni ndo baba lao, Haya tajirika na wewe, hakikisha Kuna chapa...
  5. JamiiForums Tanzania Tupeane fursa zilizopo katika sekta ya uvuvi/baharini kwa wafanyabiashara

    Kichwa Cha habari chajitosheleza Sekta ya uvuvi kwa ujumla kwa mfanyabiashara Mdogo anaweza kufaidika kwa kufanya michongo ipi Seamen karibuni...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kitila: Serikali yatangaza mikakati 8 ya kupanua ajira kwa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini. Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Anzeni michakato ya kuwatengenezea Gen Z fursa. Labda hasira yao itapungua

    Millenials tulipoingia kwenye uwanja wa ajira tulikuta fursa zipo zipo kidogo. Fursa za serikalini, biashara na hata zikajitokeza za boda boda na bajaji. Leo hii fursa hizo zimejaa na wala hakuna mpya zinazoonekana. Gen Z wanaingia uwanja wa ajira na hawaoni fursa zozote. Biashara kuna frame...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa meli mpya 4 kufungua fursa Katavi na Kigoma

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema mkoani Katavi. Waziri Mbarawa yupo mkoani Katavi kwa ziara yake ya siku mbili amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo pamoja na utoaji huduma katika Bandari ya Karema. Meli hizo...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Heche: Vijana wizara mmepewa sasa ni kujipanga katika kukamatia fursa

    Wakuu, Ni kweli kauli hii imetolewa na makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche?.
  10. JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi kwa kijana anayeweza kutunza mifugo

    FURSA FURSA Natatafuta vijana wanaoweza kufanya kazi za kutunza mifugo kama ng'ombe, mbuzi Nk Majukumu Kuandaa malisho ya wanyama Kulisha wanyama Mshahara: 100,000 Kula na kulala buree Vigezo: usiwe na umri wa zaidi ya miaka 22 Piga:0765 049 904
  11. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa-fursa inayoibuka kwa kasi

    Kwa sasa, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ni moja ya miradi inayoshika kasi zaidi Tanzania. Kila siku tubapokea simu kutoka kwa watu binafsi, taasisi, makanisa, wastaafu na vijana wanaotaka kuanza — na hii si bahati nasibu, ni mwelekeo mpya wa kiuchumi unaojenga ajira na uhakika wa kipato. 💡 Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  14. A

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  15. JamiiForums Tanzania Fursa za kuwekeza wilayani biharamulo, ardhi sio tatizo ,karibu

    BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT Biharamulo ndio Eneo lenye mvua za kutosha zaidi katika mkoa wa kagera ,ardhi yenye rutuba, miundombinu imara, idadi kubwa ya watu kwa sensa ya kitaifa 2022, na muunganiko wa nchi za burundi Rwanda, Uganda na Mkoa wa Kigoma hadi DRC 📞 +255 763 773 192...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi ya private hayaoni fursa ya kusafirisha abiria wanaosumbuka na mwendokasi?

    Kutokana na hizi changamoto ambazo zinazidi kuwa kubwa za usafirishaji wa abiria kwa njia ya mwendokasi, nimewaza ni kwa nini wenye mabasi ya coaster ya private (yale yasiyo na rangi maalumu za ruti), yasichukue hizi fursa za kusafirisha abiria hawa? Maana yangu ni kwamba, chukulia wewe una...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni huzuni kuona watu wazima waliozaliwa kwenye familia zenye uwezo na zilizowajali wakipitia shida kwa sababu walipuuza fursa zilizokuwepo

    Kuna watu ambao wamezaliwa katika familia zinazojiweza, na walikuwa na nafasi nyingi mbele yao, lakini waliamua kuzichezea. Walikuwa na uwezo wa kusoma shule na vyuo bora, hata kuletewa walimu majumbani lakini walikataa elimu kwa kuona kupiga msuli ni mateso. connection zilikuwepo za kazi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TADB yanufaisha Vijana Mwanza kwa fursa ya ufugaji wa kisasa wa samaki kwa vizimba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
  19. JamiiForums Tanzania Sekta ya Teknolojia Tanzania: Tech Zinazodominate na Fursa za Kazi kwa Job Seekers

    Habari wadau wa Jamiiforum! Mimi ni tech enthusiast hapa Dar, na leo nataka kushare thoughts zangu kuhusu technologies zinazotawala Tanzania na how they can help you kufind job au improve in your current one. Kama unajua, global tech na local one ni different sana, especially in developing...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza fursa za kusoma Post Graduate, Je wagombea urais mtairudisha AIMS?

    Ili kuboresha elimu Africa washirika mbalimbali wanatoa hela zao kufadhili masomo ya wanafunzi wa post graduate wa hesabu kwa taasisi inayojulikana kama African Institute of Mathematical Sciences (AIMS). Chuo hiki kiko nchi mbalimbali kikichukua wanafunzi wa hesabu na engineering na kuwasomesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…