fursa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa

    Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa. RAIS Samia Suluhu Hassan yuko nchini Senegal kuhudhuria mkutano wa ngazi ya juu wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Kimataifa (IDA20), Mkutano huu utawezesha nchi ya...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu wa Kenya changamkieni fursa kama kawaida, Uganda yarasimisha Kiswahili

    Sasa Kiswahili ni lugha rasmi Uganda, na kitatahiniwa kuanzia shule za msingi hadi sekondari, hii fursa nzuri kwa walimu wetu hususan ale ambao ako vizuri kingereza maana lazima upate pakuanzia kuwafunza Kiswahili..... Kampala. Uganda’s cabinet on Tuesday July 5, approved the implementation of...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wameshaanza kupigana vikumbo wakipigania fursa ya kuijenga upya Ukraine baada ya vita: Wanajua pesa ipo-ile iliyozuiwa ya Urusi na Warusi!

    Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya ukraine baada ya vita. Hao ndio mabeberu!! Poland iliyokuwa inajitia kimbelembele imeanza kulalamika...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara Ngudu, Kwimba

    Kwema wadau poleni na majukumu Nina swali kidogo naomba tusaidiane kuhusu kata ya Ngudu, kwimba. Je Ngudu, Kwimba kuna fursa gani nzuri za biashara zinafaa kuwekeza kule kwa wakati huu?
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote, Juni 27, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam leo tarehe 27 Juni, 2022. Rais Samia ameanza kuzungumza, ameanza kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa BRICS waleta fursa mpya kwa Afrika

    Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama mpya ya maendeleo ya kimataifa”. Likiwa jukwaa la ushirikiano kati ya nchi zinazoendelea, BRICS...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS unafanyika China huku dunia ikipewa fursa mbalimbali za kujikuza kiuchumi

    Pili Mwinyi Mkutano wa 14 wa wakuu wa nchi za BRICS zikiwemo Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini unatazamiwa kuanza tarehe 22 Juni hadi 24 Juni hapa Beijing, na safari hii utafanyika kwa njia ya mtandao wa internet. Mwaka huu, mkutano huu utazingatia jinsi ya kutekeleza ajenda ya...
  8. JamiiForums Tanzania World Bank wadhihirisha Dawa za wazungu ni fursa inayowatajirisha

    Benki ya dunia kupitia moja ya blogi yao wanakiri kabisa kwamba fursa hii imerahisishwa na uwepo wa biashara ya kimataifa. Uwepo wa soko huria pamoja na mambo mengineyo yanayorahisisha biashara ya kimataifa imekuwa chachu kwa wazungu wanaotengeneza magonjwa (wasiwasi ) na kuyasambaza...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha Vituo vya Walimu kwa lengo la kutoa fursa kwa Walimu kupata mafunzo wakiwa kazini

    Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu. Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
  10. JamiiForums Tanzania Fursa ya Ajira ya IT

    Abraar Computer Class. Fursa ya ajira ya kudumu. Kuna nafasi ya ajira ya Mwalimu wa kufundisha "short courses" za Basic Computer Applications. Mwalimu awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo (practical) kwa aslimia 90 na theory asilimia 10, kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima adult...
  11. JamiiForums Tanzania Nasikia vibuyu vinaliwa, ni kweli?

    Na ni fursa gani zingine za kichumi zinatokana na vibuyu? Wapi Tz vinalimwa sana?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ulezi wa wanyama Kenya: Fursa mpya ya ajira Kenya

    Kwa wale wanaopenda wanyama,nchini Kenya kuna fursa kubwa ya kulea wanyama kama paka na mbwa. Malipo ya kazi hii ni shilingi 1000 ya Kenya sawa na shilingi 18000 ya Tanzania kwa saa. Kazi ya mlezi wa mnyama ni kumpa chakula ,kucheza naye, kumsafisha na kumpeleka hospitali mnyama Kabla...
  13. JamiiForums Tanzania Fursa za Ajira na Kazi kwa Vijana ni Muhimu kwa Maendeleo ya Dunia

    Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake. Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wapigaji wamgeuza Sabaya fursa

    Baada ya kuenea taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumchangia Sabaya, nimefuatilia na kugundua kuwa hakuna mchango wa maana zaidi ya kikundi Fulani Cha Wapigaji wanaotaka kumfanya Sabaya fursa. Mkumbuke wakati wa awali wa kesi yake liliibuka kundi kama hili likachangisha Watu na...
  15. JamiiForums Tanzania Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

    Taarifa hiyo kwamba raia wa Zimbabwe wanauza vidole vyao vya miguuni ili kukabiliana na umasikini imesambaa sana nchini Nigeria. Mwanablogu mmoja wa Zimbabwe amedai kwamba biashara hiyo inafanyika katika kituo kimoja cha maduka katika mji mkuu Harare. Inanukuua ujumbe wa WhatsApp ukiwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
  17. JamiiForums Tanzania Fursa usafirishaji wa bidhaa kwenda visiwa vya Comoro

    Biashara ya usafirishaji wa bidhaa Kati ya Tanzania kwenda visiwa vya Comoro umeendelea kuwa changamoto kutokana na uchache wa Vyombo na baadhi ya vyombo kutokidhi uwezo wa speed na uhitaji wa Mzigo kufika haraka. Mizigo inayotoka Tanzania kwenda Comoro ni Vyakula, Vinywaji,vifaa vya...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Sana Kuwajumuisha Watu Wenye Ulemavu Katika Fursa za Ajira

    Watu bilioni moja (takribani asilimia 15 ya idadi ya watu duniani) wana ulemavu na takribani milioni 785 kati yao wana umri wa kufanya kazi. Kote duniani, watu wenye ulemavu wanakumbana na viwango vya juu vya ukosefu wa ajira kuliko watu wasio na ulemavu. Wanapoajiriwa, pia wana uwezekano...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wanaobahatika kuwa Marais wa nchi hii wanapoteza fursa ya kuingia katika historia ya kudumu kwa kushindwa tu kuwapa Watanzania Katiba Mpya

    Huu ndio ukweli mchungu kwa wote waliowahi kuwa Maraisi wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani.Raisi Mstaafu Kikwete alikaribia sana kupata nafasi hii ya kihistoria ila inawezekana alipotoshwa na wenzake ndani ya chama na huenda hili ni jambo analolijutia katika maisha yake na...
  20. JamiiForums Tanzania Fursa Congo: Sasa tuboreshe Tazara kuwa SGR, njia nne Mbeya -Songwe na tujenge Barabara na reli ya Kisasa hadi bandari ya Kalemi, Katavi

    Baada ya DRC kuingia rasmi EAC , mataifa makubwa katika Jumuiya hii Uganda Kenya na Tanzania,yanaendelea kupambana kukamata fursa ili kushika soko la nchi hii yenye watu zaidi ya Milioni 100 Wakati Uganda akijenga Barabara kuingia majimbo ya kaskazini mwa Congo, Kenya anafungua Ofisi Mombasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…