fursa

  1. JamiiForums Tanzania Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuanza Digital Marketing 2023, Anza Leo Fursa Hii Ya Mtandaoni

    Digital Marketing - moja ya mada zinazotajwa sana haswa katika fursa za mtandaoni. Wafanyabiashara wengi wanasifu kuwa ni njia muhimu sana katika ukuzaji wa biashara. Kitu ambacho vyuo vingi vimeanza mafunzo ya kozi za digital marketing, lakini hii haimaanisha ni lazima uwe na college degree...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa ya balozi wa Tanzania nchini Japan na fursa katika zao la kahawa kutoka Tanzania

    "Jina langu ni Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, nikiwa na dhamana ya kuiwakilisha pia nchi yetu katika nchi za Australia, New Zealand na Papua New Guinea. Leo tumekusanyika hapa katika mojawapo ya makampuni makubwa nchini Japan yanayojishughulisha na biashara ya chakula Japan na...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

    Nimeona niwafunulie kwa uchache fursa nyingi sana kwa kila kada ambazo zitakuwepo kwa ujio wa DP World. Tafadhali kwanza someni wanayoyafanya sasa hivi DP World kwa nchi zingine za Afrika: DP World inashirikiana na CDC Group kuunda jukwaa la uwekezaji la Afrika Dubai, Falme za Kiarabu, 12...
  5. JamiiForums Tanzania Ibara ya nne ya mkataba inayolazimisha Tanzania kuitaarifu DP-World kuhusu fursa za uwekezaji irekebishwe

    Ibara ya 4 - Wigo wa Ushirikiano na Taasisi za Utekelezaji (2) "Tanzania itawajulisha Dubai kuhusu fursa zingine zinazohusiana na bandari na maeneo huru..." Mapendekezo: Ondoa neno "itawajulisha"/"will"na badala yake weka neno "inaweza"/"May" ili Tanzania iweze kuwajulisha Dubai. Ukizingatia...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Ajiralink.com - kuunganisha vijana na fursa za ajira na ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo

    Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo. Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu wazo la Ajiralink.com, jukwaa litakalolenga kuondoa changamoto ya upatikanaji wa ajira, nafasi za...
  7. JamiiForums Tanzania IT kwa Tanzania ni kituko. Inakuwaje ni nadra kuwakuta waliotajirika? Hawazioni Fursa au ni watupu?

    Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering, IT, Software engineering, Cyber nini nini huko na kozi nyingine Ni IT wachache mnooooo wameweza...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa ya Mafunzo na EACOP

    Vijana wangu, nasikitika kwamba Sina sifa za kuhudhuria hii fursa, jitahidi saana kama una umri huo na vigezo tajwa hudhuria hii training. Narudia, usiharibu bando yako kwinginee, tumia just hizo week kadhaa kufanya hizo training. Ningeruhusiwa ningehudhuria bahati mbaya umri umenitupa sana...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Inaendelea Kuangalia Fursa kwa ajili ya Kuwawezesha Wanawake Kuanzisha Vituo Mahususi vya Uwekezaji na Masoko kwa Wanawake katika Kata

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI INAANGALIA FURSA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA KATA Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali inaendelea kuangalia fursa mbalimbali kwa ajili ya kuwawezesha wanawake kuanzisha vituo mahususi vya uwekezaji na...
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa Wakala wetu katika eneo ulilopo, tunauza simu na tablets

    Habar za wakati huu wakuu? Nashkuru kwa wote ambao mmeendelea kutuamini na kufanya kazi na sisi nimeuza simu na tablet nyingi sana humu Asanteni kwa sapoti yenu kubwa Fursa nilizo nazo kwenu wakuu 1. Unaweza kutengeneza kipato cha ziada kwa kufanya kazi na sisi yaani ukituunganisha na mteja...
  11. JamiiForums Tanzania Huwezi Futiwa Deni Facebook Ads (Sponsor ads) Usitapeliwe Kizembe!

    Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram). Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta madeni ya Facebook na instagram, na wengine kucharge hadi sh. 50,000 kwa account moja. Nataka...
  12. J

    JamiiForums Tanzania TANTRADE na Ubalozi wa Hispania wakutana kuangalia fursa mbalimbali za biashara

    TANTRADE NA UBALOZI WA HISPANIA WAKUTANA KUANGALIA FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA _________ 24 Mei, 2023 Dar es Salaam Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Ukuzaji Biashara - Bw. Fortunatus Mhambe, Kaimu Mkurugenzi Maendeleo ya Biashara - Bw...
  13. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Fursa katika kutunza mazingira na kupunguza matumizi ya kuni na mkaa

    Mazingira ni jumla vitu vyote vinavyotuzunguka vikiwemo viumbe hai na visivyo hai.mfano wa viumbe hai ni pamoja na binadamu ,mimea na wanyama visivyo hai ni pamoja na mawe magari nyumba n.k Mazingira hayo pia yamegawanyika tena katika sehemu mbili; (1)mazingira ya vijijini (2)mazingira ya mijini...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

    Zitto amechanganyikiwa? Aliyoyaongea kwenye msiba wa mpendwa wetu mh Membe, yanasidifu hiki ninachosema! Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho, wakazikwe pembeni yake Sasa leo tunamkumbusha tuu Haya ni marudio tu ya kile Zitto alisema pale ambapo...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi Fursa nchini Burundi zinazoweza kubadili maisha na kuongeza kipato chako

    UTANGULIZI Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha. Mwaka 2019 wakati dunia imekumbwa na mlipuko wa uviko 19,Na kupelekea kazi,Masomo na Shughuli mbalimbali kusimama.Nilipata...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali inafahamu kuwa kwa kuwapatia watu wake passport kunaweza kuwahamasisha kutafuta fursa nchi zingine?

    Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi ni Nyezo muhimu katika kuibua Mipango mbalimbali ikiwemo fursa za Fedha

    SEKTA BINAFSI NI NYENZO KATIKA KUIBUA MIPANGO NA FURSA ZA KIFEDHA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema ushiriki wa sekta binafsi chini ya ubia kati ya serikali ni nyezo muhimu katika kuibua mipango mbalimbali ikiwemo fursa za fedha za kugharamia...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa gani ipo kwenye Halmashauri uliyopo?

    Aisee maisha yalinipiga wadau miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa Dar kwa kipindi kirefu hela nilikuwa nashika lakini ni Kama nawatafutia watu. Kodi ya nyumba, nauli za daladala kila siku, kifungua kinywa, chamcha na chajio, kubet (sababu ya msongo), kodi ya taka, hela ya ulinzi shirikishi Ankara...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Michikichi fursa inayoweza kuwatoa kimaisha wakulima wengi

    Licha ya Tanzania kuwa na hali ya hewa inayoruhusu uzalishaji wa zao la michikichi, uzalishaji wake uko chini ukilinganishwa na nchi zianzozalisha kwa wingi kama vile Malaysia na Indonesia. Ni kwa sababu hii Tanzania hujikuta ikiagiza karibu tani 400,000 za mafuta ya mawese ili kukidhi mahitaji...
  20. JamiiForums Tanzania Kichaa haachiwi fursa ya kufanya maangamizi-Ndugu Bernard Membe ziba masikioni, Mahakama iheshimiwe stay firm.

    Hello JF readers and family. Wazandiki na wanafiki ni wauaji, wakati hao wahuni na wadhenzi wakiandika mengi sana kuhusu senior na historical figure na more specifically a gallant and long serving stateman B. Membe, we didn't hear and see them trying hard and wisely to advise Magufuli and his...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…