Natafuta Mwanamke wa kuoa ambaye ana hizi sifa

CELLULAIRE

Member
Mar 16, 2016
78
125
1. si mpenda pesa
2. si mwenye dharau
3. si mwana wa shetani
4. si muongo na mbabaishaji
5. si malaya / muhuni
6. si mwizi na mchawi
7. si mpumbavu na mnafiki

wasifu wangu kiufupi

majina: cellulaire mjukuu chirama
dini: mkristo wa dhehebu la katoliki
kabila: myao kutoka mkoani lindi
umri: miaka 38
elimu: shahada ya kwanza ya mawasiliano
niishipo: mwenge mlalakuwa
kazi: kilimo biashara japo sasa nimesimama kwa muda kutokana na Mafuriko Mikoani
mahusiano: sasa sina
familia: nina mtoto mmoja ila hayuko tanzania

kwa mwanamke yoyote yule ambaye atavutiwa na haya maelezo yangu ya ukweli na moyo wake utamsukuma kufahamiana zaidi nami ili basi tukiridhiana tuwe pamoja kiurafiki, kiuchumba na kindoa awasiliane nami kupitia email hii ya chiramamjukuu@gmail.com na aache na namba yake ya simu pia.

mwisho kabisa nitaomba kama unaona huna huhitaji wa dhumuni langu kuu hapa basi nakuomba usinitafute kwa nia ya kunipotezea muda au kunisumbua akili bali wapishe wale wenye nia ya kweli ili mwisho wa siku tuje kuushukuru huu mtandao kwa kutufungulia dunia kimahusiano zaidi.

nawakaribisha zaidi wanawake kutokea mkoa wa dar es salaam na ile ya jirani ya Pwani, Morogoro na Tanga wenye umri wa kuanzia miaka 35 hadi 45 tu. kama kuna muislamu lakini aliye tayari kubadili dini kama akiridhika nami nae pia namkaribisha bila hiyana.

asanteni.
 
CELLULAIRE

Member
Mar 16, 2016
78
125
Utatafuta dunia nzima hutomuona huyo mwanamke.

Wanawake hawajaumbiwa shida kupenda pesa sawa na uchafu na nzi.
naamini na nina uhakika kuwa nitampata tu mkuu kwani hakuna kinachoshindikana duniani na sidhani kama ni vyema kuhalalisha mapungufu ya wanawake wachache ambao pengine wewe umeshakutana nao basi ukayahalalisha kwa wanawake wote.
 
Nzuguni one

JF-Expert Member
Dec 23, 2019
645
250
1. si mpenda pesa
2. si mwenye dharau
3. si mwana wa shetani
4. si muongo na mbabaishaji
5. si malaya / muhuni
6. si mwizi na mchawi
7. si mpumbavu na mnafiki

wasifu wangu kiufupi

majina: cellulaire mjukuu chirama
dini: mkristo wa dhehebu la katoliki
kabila: myao kutoka mkoani lindi
umri: miaka 38
elimu: shahada ya kwanza ya mawasiliano
niishipo: mwenge mlalakuwa
kazi: kilimo biashara japo sasa nimesimama kwa muda kutokana na Mafuriko Mikoani
mahusiano: sasa sina
familia: nina mtoto mmoja ila hayuko tanzania

kwa mwanamke yoyote yule ambaye atavutiwa na haya maelezo yangu ya ukweli na moyo wake utamsukuma kufahamiana zaidi nami ili basi tukiridhiana tuwe pamoja kiurafiki, kiuchumba na kindoa awasiliane nami kupitia email hii ya chiramamjukuu@gmail.com na aache na namba yake ya simu pia.

mwisho kabisa nitaomba kama unaona huna huhitaji wa dhumuni langu kuu hapa basi nakuomba usinitafute kwa nia ya kunipotezea muda au kunisumbua akili bali wapishe wale wenye nia ya kweli ili mwisho wa siku tuje kuushukuru huu mtandao kwa kutufungulia dunia kimahusiano zaidi.

nawakaribisha zaidi wanawake kutokea mkoa wa dar es salaam na ile ya jirani ya Pwani, Morogoro na Tanga wenye umri wa kuanzia miaka 35 hadi 45 tu. kama kuna muislamu lakini aliye tayari kubadili dini kama akiridhika nami nae pia namkaribisha bila hiyana.

asanteni.
Tangazo lako limesomeka bro
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom