Furaha yatoweka CCM, ushindi kama msiba, wapinzani washangilia. Rais ageuka kauli zake za awali kanisani Dodoma

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Katika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa wamuombee.

Alipopewa kinasa sauti, alisema ... watanzania wakachague viongozi wao wanaowataka ili wawaletee maendeleo bila KUJALI CHAMA WALA DINI! huu ni unafiki wa Phd ya UDOM, juzi tu hapa alisema wapinzani wanachelewesha maendeleo na wasichaguliwe na yule mama kule Sumbawanga alikuwa anamlilia akamwambie aende kwa huyo mbunge wa upinzani akamwombe maji!

KATOLIKI MNACHEZEA MADHABAHU YA BWANA, kumbuka mfalme mmoja alifia madhabahuni baada ya kuuza kipande cha ardhi na kudanganya.

Endeleeni tu kumdhihaki Mungu, msifikiri watanzania ni wajinga kama ninyi, tunawaheshimu tu,
NIMEIKUTA KWENYE PAGE YA BABA ASKOFU DR BENSON BAGONZA ALFAJIRI HII

FURAHA KAENDA WAPI?

Waliopiga kura hawana furaha

Waliosusa/suswa hawana furaha

Waliopita bila kupingwa hawana furaha

Waliosimamia kura hawana furaha

Walioshinda hawana furaha

Walioshindwa hawana furaha

Waliopanga yaliyotokea hawana furaha

Waliopangiwa yaliyotokea hawana furaha

Walioshauri hekima hawana furaha

Waliokaa kimya hawana furaha

Wanaounga mkono nilichoandika hapa, hawana furaha

Wanaopinga nilichoandika hapa, hawana furaha

Wanaodhani wana furaha hawana furaha

Wapinzani hawana furaha
Wapinzani wa wapinzani, hawana furaha.

ILA wanaodhani hawana furaha, ni KWELI hawana furaha.

Ni bora kujiuliza huyu furaha yuko wapi?
cleardot.gif
 
huyo Mama Sumbawanga alisema nini mpaka akaambiwa aende kwa mbunge wa upinzani akamtatulie kero?

alipigia kura mbunge wa upinzani ???
 
Tangu lini katoliki ikawa na madhabahu ya bwana?hapo ndipo mnachanganya kati dola ya kirumi iliyonajisi kanisa na kanisa takatifu la mungu!!!
Sasabosi mimi nimeona nikiweka maneno makali serikali ya rumi itafuta huu uzi, nashukuru umenipata.
ingekuwa kwenye madhabuhu iliyo na Mungu jamaa angeanguka pale pale na ule uongo na ndio maana huwa
 
Hongereni Ccm kwa kuwabwaga Wapinzani wenu

Hawataki kuamini kama Wananchi wamewapuuza, wamejificha kwenye kivuli cha kulaumu Rais
 
watu hatuna furaha, aliyeshinda ana hofu , aliyejitoa anaogopa kutekwa na kuuwawa na "walinzi wa kijani" , walio kaa kimya wanahofu hata kuonyehs uchama wao, nchi hii kwa sasa ili uwe na amani kuwa mshabiki wa KWAYA tu
 
Hahaha Mkuu unaandika vitu visivyokwepo

Watanzania wanaendelea na shughuli zao wala hawana mawazo mgando km yako

watu hatuna furaha, aliyeshinda ana hofu , aliyejitoa anaogopa kutekwa na kuuwawa na "walinzi wa kijani" , walio kaa kimya wanahofu hata kuonyehs uchama wao, nchi hii kwa sasa ili uwe na amani kuwa mshabiki wa KWAYA tu
 
Tangu lini katoliki ikawa na madhabahu ya bwana?hapo ndipo mnachanganya kati dola ya kirumi iliyonajisi kanisa na kanisa takatifu la mungu!!!
Kanisa takatifu la Mungu ndiyo dola ya warumi wewe unaamini nini?
 
Katika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa wamuombee.

Alipopewa kinasa sauti, alisema ... watanzania wakachague viongozi wao wanaowataka ili wawaletee maendeleo bila KUJALI CHAMA WALA DINI! huu ni unafiki wa Phd ya UDOM, juzi tu hapa alisema wapinzani wanachelewesha maendeleo na wasichaguliwe na yule mama kule Sumbawanga alikuwa anamlilia akamwambie aende kwa huyo mbunge wa upinzani akamwombe!

KATOLIKI MNACHEZEA MADHABAHU YA BWANA, kumbuka mfalme mmoja alifia madhabahuni baada ya kuuza kipande cha ardhi na kudanganya.

Endeleeni tu kumdhihaki Mungu, msifikiri watanzania ni wajinga kama ninyi, tunawaheshimu tu,
NIMEIKUTA KWENYE PAGE YA BABA ASKOFU DR BENSON BAGONZA ALFAJIRI HII

FURAHA KAENDA WAPI?

Waliopiga kura hawana furaha

Waliosusa/suswa hawana furaha

Waliopita bila kupingwa hawana furaha

Waliosimamia kura hawana furaha

Walioshinda hawana furaha

Walioshindwa hawana furaha

Waliopanga yaliyotokea hawana furaha

Waliopangiwa yaliyotokea hawana furaha

Walioshauri hekima hawana furaha

Waliokaa kimya hawana furaha

Wanaounga mkono nilichoandika hapa, hawana furaha

Wanaopinga nilichoandika hapa, hawana furaha

Wanaodhani wana furaha hawana furaha

Wapinzani hawana furaha
Wapinzani wa wapinzani, hawana furaha.

ILA wanaodhani hawana furaha, ni KWELI hawana furaha.

Ni bora kujiuliza huyu furaha yuko wapi?
cleardot.gif
Achana na story hizo , za kwenye biblia huku Duniani utagundua mambo ni tofauti
 
Na comment lakin cna furaha
 
Kama ukatoliki siyo madhabahu ya Mungu basi hata Biblia inapoteza sifa za neno la Mungu,
Panua akili usipanue mdomo

Kuna tofauti kati ya kumtumikia Mungu na kuitumikia dini.
 
Ulichoeleza ndio ushetani wenyewe tulioambiwa tutauishi. Hakuna furaha ni fedheha tu!
 
Wanaendelea na shughuli zao, nadhiri na nafasi zao zikiwasuta, wanajiuliza nini hiki kinachoendelea? Hakuna jibun hakuna la kufanya!

Back
Top Bottom