Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone mjinga au hauna ufahamu na football.
Kwenye uzi huu hakuna mjinga wala mjuaji. Uliza chochote na...
Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million USD. Tetesi kutoka vyanzo vya kuaminika vinadai Bwana Kanji ameapa kurejesha pesa zake kwa namna...
Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake,
Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy
Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys)
Ni tabia ya kipumbavu...
Hatimaye kwa mara ya kwanza hii leo klabu ya Crystal Palace imefanikiwa kushinda taji lake kubwa la kwanza baada ya miaka 119 ya msoto kupita tangu klabu hiyo ianzishwe.
Crystal Palace imetwaa taji hilo la FA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Manchester City.
Ushindi huu...
Nakuwaga tu curious na kujifunza vitu randomly. Hivi karibuni nimekuwa nikijiulaza nani anahusika na kuwavalisha marefa wa mpira wa miguu?
Nimefanya quick search lakini naona tu habari za brand zinazozalisha hizi nguo zao, but nani analipia?, zinakuwa wapi? Nani anahakikisha kila mmoja ana nguo...
Yaani mazee, hii ishu ya FIC FOOTBALL INVESTMENT ni kama sinema ya ki-HOLLYWOOD lakini ya kibongo – ile ya kina scammers wakivaa suti, wanakuja na maneno matamu, wanakuchanganya hadi unawekeza mkwanja wako, alafu wanakimbia bila hata kusema good bye. Damn!
Tulikumbuka LBL (Local Business Links)...
Habar za humu ndani,natumai ni wazima wa afya.
Mimi ni kijana wa miaka 22 nimebahatika kufika chuo,saiz nipo mwaka wa pili.
Nilikua ninawazo la kuwa mbunifu wa jezi za mpira wa miguu katika sekta ya michezo hapa Tanzania.
Naomba mchango wenu nianzie wapi wakubwa.
Ana mataji kadhaa ya champion league Africa CAF
TUZO YA MCHEZAJI BORA WA NDANI AFRICA
Mfungaji Bora wa CAF
Kucheza team kadhaa ulaya
Best in scoring,dribling skill , shooting nk
Hakika uyu mtu tumsifie kabla hajafariki
Kipaji haswa
GOAT for a reason 🐐
1: If you did 140 successful dribbles every season in all tournaments for 22 seasons, you will have 3080 dribbles.
Messi has 3368 dribbles👑
2: If you scored 5 goals from outside the penalty area every season for 18 seasons, you will have 90 goals.
Messi has 96 goals👑...
KAGERA SUGAR KUMALIZA NAFASI YA TATU 2017, MSTARI WA KUSHUKA DARAJA SASA NA ANGUKO LA MISIMU SITA NYUMA
KAGERA SUGAR FOOTBALL CLUB kuanzia msimu wa mwaka 2018/19 hadi sasa wanashuka, hapa nitakupa Tathmini yao ya MISIMU SITA kuanzia alama zao kisha idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa pamoja...
Chukua hii Pele na diogo hawakuwahi kushinda izo tuzo wakicheza Wala hawakuwahi kushindanishwa
But PELLE honored a ballondor 2013 na alipewa tuzo 7 kwa pamoja za heshima tu
MARADONA alipewa tuzo mwaka 1995 kama sikosei iliitwa the GOLDEN BALLONDOR
Pele alipewa 7 na zikawekewa miaka tofauti...
Katika dunia ya soka, hakuna mechi inayosikika sana, kuvutia mashabiki wengi, na kuwa na mvuto mkubwa kama El Clásico, mechi kati ya FC Barcelona na Real Madrid. El Clásico ni moja ya michezo inayohusisha siyo tu timu mbili kubwa za Hispania, bali pia ni tukio la kihistoria, lenye mvuto mkubwa...
Habari za wakati huu ndugu wana jf na wadau wa sports naomba kujuzwa namna ya kufanikisha kujiunga na course za ukocha na uamuzi wa mchezo wa soka kwa hapa kwetu Tanzania.
Kwa sasa ambao tunataka kuitumikia football katika nyanja hizo mbili.
Kwa mwenye atakuwa na connection ya kufanikisha hayo...
Sikumbuki mara ya mwisho kuona mashindano yoyote makubwa ya riadha au matumizi yoyote ya zile running tracks zilizopo katika dimba la Mkapa.
Sanasana imekuwa sehemu ya viongozi kuzunguka kupungia mkono wananchi pindi wanapoapishwa.
Ukiingia uwanja wa Mkapa kutazama mechi kama haukai walau...
From Football Pitch to YouTube Peak: Cristiano Ronaldo and MrBeast Discuss Fame, Football, and the Future of Content
Introduction
What happens when a football legend sits down with the king of YouTube? A fascinating exchange of insights, strategies, and perspectives on fame, success, and the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.