football

  1. N

    JamiiForums Tanzania Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

    Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments. Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!
  2. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wana-Simba wanaoijua football

    Naona maneno ni mengi kila mtu anajaribu kuongea anachokijua, hila kwa wanasimba wanaoijua football vizuri sidhani kama watakua wanaumia na matokeo haya Wanasimba wanajua kua wapo kwenye kipindi cha mpito bado wanatengeneza timu, na wanasimba wote wanajua hichi kitu, tatizo naona lilikuja mara...
  3. Jackson News

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: The Iconic Rivalry That Defines Tanzanian Football

    The fierce rivalry between Simba Sports Club and Young Africans (Yanga), often referred to as the Kariakoo Derby, is the most celebrated football match in Tanzania and one of the most iconic in East Africa. It transcends the boundaries of sports, deeply embedding itself in the cultural and...
  4. wasakatonge forever

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya African Football League (AFL) hatihati kutokuwepo msimu huu

    Kama mnayakumbuka yale mashindano ya AFL ,yaliofanyika msimu uliopita apa na yalizinduliwa hapa hapa Tanzania kwa mechi kati ya Simba sc dhidi ya Al ahly sc na mchezo kutamatika kwa sare ya goli 2 kwa 2 .Na bingwa wa mashindano hayo hadi mwisho walikua ni Mamelodi Sundows ya Afrika kusini. Sasa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Gor Mahia FC Vs Al Ahly FC : CAFCL | Football Torturing.

    Nimepitia highlight ya game ya Gor Mahia vs El merreik ya South Sudan. Wakenya walishinda 5-1, wakafuzu kwa hatua ya pili ya mtoano ili waweze kuingia makundi. Wanakutana na bingwa mtetezi na Bingwa mara nyingi zaidi katika CAFCL Al Ahly. Ukiwatazama namna hawa wakenya wanavyocheza unaona...
  6. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Libya 1 Football Club

    Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wapare hatujui football?

    Toka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini? Naomba serikali ifanye utafiti.
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Football Wallpapers Thread

    Habari Mwana Michezo. Mpira kama tujuavyo ni Mchezo wenye Matukio mbalimbali ambayo huacha kumbukumbu katika Akili zetu. Kwa kulitambua hilo Leo hii nimeonelea nianzishe huu Uzi, hapa utakutana na kila aina ya Picha uipendayo na itakayo kukumbusha Tukio/Matukio ya kimchezo ambayo uliwahi...
  9. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Football: Hapa ni Goal au Sio Goal?

    Tumalize utata wadau
  10. D

    JamiiForums Tanzania Yusuph dabo sio kocha atafikisha azam any where? my football review on azam match

    short clear 1. azam awawezi kutengeneza build up. in short ni through ball ndefu then inshallah. foward wapo one on one na 3 defenders every time. ni kama kichekesho. i still believe they got luck to win that yanga match. 2. wachezaji wa azam awajawa couched. honestly amna mipango ni...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Watu katili katika football Simba vs Yanga

    Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali. Ikitokea mchezaji mzuri simba wanataka kumsaini na wao hizo taarifa wakazipata basi watafanya kila njia wao ndio wampate, kwa...
  12. Mngoni asiyepiga gambe

    JamiiForums Tanzania Players who never realised their full potential

    Binafsi ushawah kumtabiria makubwa mchezaj halafu ghafla ukashangaa anapotea kwenye raman ya soka ama kwa kushuka kiwango, majeraha ,au kuhama timu moja kwenda nyingine? Kwa mtazamo wangu wafuatao ni miongon mwa wachezaj wanaoangukia kwenye kundi hilo. 1.JACK WILSHERE Changamoto za majeraha ya...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Siku mbu akitua kwenye korodani zako ndiyo utajua kuna njia bora ya kutatua shida au matatizo bila kutumia vurugu

    Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza. Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa. Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
  14. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania My take on improving Tanzanian football: Let's stop the time-wasting!

    What's up, fellow footballers! Today, I want to talk about something that's been bugging me for a while: time-wasting in our Tanzanian league. We all know it happens – players faking injuries, slow substitutions, endless ball retrievals – and it's killing the flow of the game. Here's my...
  15. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii tunaitaje?

    Hii tunaitaje kitaalamu zaidi?
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Gamondi: Football is a show game (An Art) bado kuna Mtu ana swali?

    Na Nukuu "I am very happy and proud of (Yanga style of play). If you remember at the beginning I said for me football is a show game, we play for the fans, not only Wananchi but for all the people who love football. Yanga is a team to watch even if you are not a Yanga fan"..~GAMONDI Kwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania UBUYU: Sababu ya ugomvi wa kocha wa CB Belouzidad na mchezaji wake. Hii ni skendo kubwa kwa mpira wa Algeria

    short story : kocha alimpiga Na chupa ya maji mchezaji. for more details here
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ina kitu nasema ukweli kama mwana football bila kujali Mimi mwana Simba SC

    Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata. Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC football ni raha sana. Mungu ibariki Tanzania Ni hayo tu 🙏🙏🙏 Wadiz
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi hii inashindwa kuwakaribisha Spain/Brazil/ England/ France kujenga academy hapa nchini ili kuvumbua, kulea na kukuza vipaji vya football?

    Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele. Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao. Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na...
  20. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread.

    MOROCCO NATIONAL FOOTBALL TEAM 🇲🇦 HONORS: Tafadhali, wenye elements za ubaguzi wapite pembeni, uzi huu hauwahusu!
Back
Top Bottom