football

  1. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Electronic football substitutions board: Hivi inauzwa kiasi gani mpaka timu za Tanzania zinashindwa kununua?

    Hivi haka kadude kanauzwa pesa ngapi hadi TFF na Azam FC, Simba SC, Yanga FC wameshindwa kuvinunua. Hadi leo wanatumia kidude kama cha sheli za kienyeji. Nchi inamiliki Uwanja mkubwa kama wa Mkapa tunafelije hii kitu?
  2. Little brain

    JamiiForums Tanzania Football (facts file)

    FACT :D:D Je, wajua beki wa Yanga SC. Lamine Moro ana magoli mengi (3) kuzidi jumla ya magoli ya Bwalya, Mkude, Ajibu, Morrison, Kahata, Ilanfya? FACT :D:D Je, wajua Bernard Morrison tangu ajiunge na simba hajawahi maliza dakika tisini VPL? FACT :D:D Je, wajua bei ya jezi moja ya Yanga sh...
  3. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Ombi: Dewji ungana na Diamond Platnumz muanzishe Wasafi Football Club

    Namshauri Mo Dewji ashirikiane na Diamond Platnumz kuunda timu ya Wasafi Football Club. WASAFI ni blrnd yenye nguvu sana nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Wasafi media imepata mashabiki lukuki katika kipindi kifupi tangu kuanzishwa kwake ikizipita media kongwe katika mitandao ya...
  4. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Football fans only - unatazama mechi kutoka wapi

    From which regional capital will you be watching the Bayern Vs Chelsea Match ...
  5. Irenga

    JamiiForums Tanzania Gwambina Football Club yapanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21

    Gwambina Football Club yenye Maskani yake Misungwi, Mwanza hapo awali ilifahamika kama JKT Oljoro kabla haijabailishwa jina kuitwa Arusha United hatimae kuuzwa mwaka 2018 Tajiri wa Misungwi Ndg. Alexander Mnyeti hatimae imepanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara musimu wa mwaka 2020/21 baada...
  6. Kabelwa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

    Wadau kwa wale wanaotumia hii App j football tv naomba kujua kama channels zinazonekana kwenye hii app zinafunguka zote maana app yenyewe ni ya malipo kidogo tsh2000 kwa mwaka isiye ikawa ndio wapigaji.
  7. The Boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyans love gossiping than football...

    Mpaka wanaume wanapenda gossiping than football. Sijasema mimi, Mkenya huyu anasema..
  8. Kapepo

    JamiiForums Tanzania SRL football (Simulated Reality League)

    Habari wadau naomba kufahamu kiundani juu ya huu mchezo nani ambaye anakuwa anachezesha binadamu wa kawaida au ni computer ndio inakuwa inacheza tu yenyewe?
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ile Football Match ya Bush Stars na Born Towns

    Lord Lofa: Nijichane na mamisosi ili nivimbe ki roho mbaya uwanjani na watemi wao wa Bush lazima waipate. Ndumilakuwili: Alafu wabebe mzigo wa magoli. Lord Lofa: Usikete ujinga na mzigo wa kushangilia nani ataubeba?
  10. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Drogba slams racist COVID-19 comments.

    Drogba slams racist COVID-19 comments Apr 3, 2020 - 01:32 pm By Lorenz Kohler INTERNATIONAL Football legends Didier Drogba and Samuel Eto'o have slammed comments made by two French doctors that COVID-19 vaccines should be tested on Africans first. Drogba labelled the suggestion as taking...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Heri ya kuzaliwa Cristiano Ronaldo, hakika ulimwengu wa soka unajivunia uwepo wako

    Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Mshambuliaji wa club ya Juventus Cristiano Ronaldo ambaye ametimiza miaka 35. Mshambuliaji huyu ni miongoni wa wanasoka mahiri walio na wafuasi wengi zaidi ambao wengine wanadai kuwa ndio mchezaji bora wa muda wote kwao. Katika miaka 18 ya uchezaji wake...
  12. kasulavenance

    JamiiForums Tanzania NATAKA KUSAJIRI FOOTBALL ACADEMY ANAYEJUA UTARATIBU UPOJE?

    Naomba msaada kwa anayejua utaratibu gani unatumika kusajiri football academy.
  13. Pierre2017

    JamiiForums Tanzania Wenye Uzoefu na kubet football tushauriane hapa

    Habari!Nimekutana na jamaa mtandaoni anasema anauza matokeo ya mechi zilizonunuliwa,yani kuna mechi matokeo yake yanafamahika kabla hazijaingia uwanjani naskiaga hii kitu ipo kwa wenzetu wa nchi za njee kwasbb wao wanawekeza pesa nyingi kwenye huu mchezo..swali langu ni je haya ni ya kweli!?kuna...
  14. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

    Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya...
  15. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Liverpool wampa jina jipya mchezaji Kun Aguero

    Habari wadau wa michezo? Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC. Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
  16. lembu

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane: My parents told me pursuing football was a waste of time

    Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to Red Bull Salzburg and Southampton prior to his Liverpool switch. Mane, 26yrs old, has developed...
Back
Top Bottom