Natumai mko vyema wanatech na mnaendelea kuchukua hatua stahiki kujikinga na COVID-19.
Iko hivi, kuna file mara nyingi nalikuta kwenye storage ya simu yangu chini kabisa, huwa linakuwa na mb mpaka 300+.
Kila nikilifuta baada ya siku kadhaa nalikuta tena. File lenyewe linaandikwa...
kwa wale watumiaji wa computer ikitokea umefuta kitu kwa bahati mbaya iwe kwenye simu memory card au flash je kuna uwezekano wa kuviludisha vitu ulivyo vifuta.
jibu ni ndio inawezekana hapo unahitaji kua na proglamu moja inaitwa RECUVA kwa bahati mzuri hiyo prog ni bure kabisa kwa matumizi ya...
Wasalaam,
Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo.
Nimejaribu kuprint kwa Word document yenyewe haina tatizo. Je, kuna shida ipi inayopelekea PDF na Excel file...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.