Fanya Hivi Kama Umechelewa Ku file Annual Returns

Fanya Hivi Kama Umechelewa Ku file Annual Returns

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Habari mjasiriamali,

Siku mbili zilizopita niliandika thread kuhusu documents zinazohitajika wakati wa Ku file annual returns, nikapata maswali kutoka kwa watu kadhaa "habari siku file annual returns mwaka uliopita nifanyaje"

Fuata hatua hizi kama huku file annual returns;

1. Andaa application ya ku file annual returns
Login kwenye akaunti yako ya Brela, na uanze ku file annual returns jaza taarifa husika kama utakavyotakiwa na system

2. Jaza documents zinazohitajika ambapo hapa utajaza form no
128 na consolidated form ambayo utaipata baada ya kujaza taarifa.

3. Andaa waiver letter
Hapa Sasa inategemea kama ulifanya biashara na ukichelewa tuu ku file andika waiver letter kuomba kuondolewa fines

Kwahiyo wewe utaweka documents nne, form no 128, consolidated form, financial statements na waiver letter.

Kama wewe hukufanya kabisa biashara mwaka ulioisha usiweke financial statements sababu kimsingi hauna.

Andika tuu waiver letter kuonesha kua hukufanya biashara last year na kuomba kuondolewa penalties.

I hope this helps you.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer.

Kama unapata changamoto kuandaa waiver letter au ku file annual returns unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi

0678131068

Your Favorite lawyer.
 
Back
Top Bottom