fikra

  1. JamiiForums Tanzania Maadili kufanyika kipaumbele na kiunganishi cha raia ni ufinyu wa fikra na kukosa maono

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na kelele na harakati nyingi sana kutoka kwa wenye mamlaka na raia wengi kuhusu suala la maadili katika nchi hii. Kujali huku madili kumefikia kiwango cha ajabu na sasa tunaona hata midoli inayowekwa kwenye maduka ya nguo kuonyesha fashion (mannequin) ikipigwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Serikali iboreshe mazingira ya shule zake iache kubadili gia hewani, fikra za Ushindani ni muhimu

    Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu. Sera ya Elimu yetu Mfumo wa Elimu yetu Mitaala Ubora Ila Kwa Leo nimeshangazwa na Serikali kupitia Necta chini wizara ya Elimu kutoa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana awataka Marais wa Afrika kuacha kuwa 'omba omba'

    Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo. Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ujamaa mamboleo ni fikra mpya inayotakiwa kuungwa mkono

    Tuliosikiliza mistari ya Mwenyekiti na kumuelewa tumepata ujumbe wa kishujaa kwa miaka zaidi ya 100 ijayo. Tumepata fikra mpya yaani kuuendeleza Msingi na muhimili wa Taifa hili ambao ni Ujamaa na Kujitegemea. Kazi iliyobaki ni kuhuisha ujamaa na kuuboresha kulingana na hali ya dunia ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Fikra za kimasikini kutumia pesa hivi kwa magari!

    Yaani pamoja na kuwa na magari ya bei rahisi kuna sababu gani ya serikali kutumia pesa yote hii kwenye magari?
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TRA kukamata mizogo kwa ajili ya Efd machine ni kuonesha udumavu wa fikra zetu

    Ukifika TRA unakuta na mizigo mingi sana kwa mfano TRA pale Longroom pamekua kama godwn la kuhifadhia mizigo,ukiangalia pale Kuna mizigo ya Congo,Rwanda,Burundi,Zimbabwe,Malawi,Zambia nk..ukiuliza wanakwambia hii ni mizigo tumeikamata haikua na Efd machine. Nikamuuliza mmoja wao je hii mizigo...
  8. JamiiForums Tanzania Funga macho, vita picha katika fikra kwamba umeweza kuishi mpaka 2100, ni kitu gani unakiona ?

    Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100 1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani. 2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao 3.Smartphone zitakuwa kama...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Fikra duni ndio chanzo cha kupoteza ndoto za kijana?

    Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto. Lakini kwa upande mwingine wazazi wengi wa Kiafrika hasa waliyokulia kwenye nyakati za ukimaliza shule utapata kazi, hawaamini...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Fikra na elimu kwa wahenga

    Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike tusichukue ya wahenga yote kwani mengi yameharibiwa na teknolojia pamoja na usasa elimu tunayopata mashuleni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wazee wetu waliotangilia lakini tuwekeze fikra kwa hali ya sasa na ijayo

    Tanzania kumekuwa na utamaduni wa kupenda kufikiria vitu kwa kindoto zaidi kuliko hali halisi Hata kwenye groups zingine kuna wanaofikiria wakati wa Nyerere na Mwinyi maisha yalikuwa rahisi kuliko sasa kitu ambacho sio kweli. Au uchumi ulikuwa mkubwa zaidi kitu ambacho sio kweli. Hata wengine...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Tawala Fikra zako Ili uweze kuboresha maisha yako

    Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Hakuna sumu yenye kuidhuru akili yenye mawazo chanya na hakuna dawa yenye kutibu akili yenye mawazo hasi” bahati mbaya sana akili za watu wengi zimetawaliwa sana na mawazo hasi kuliko mawazo chanya pia nakubaliana na msemo wa Brian Tracy “Badili namna unavyofikiri...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Fikra sahihi na tamaduni hii mpya itainua uchumi wa familia na taifa letu kwa ujumla

    Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi yetu, kwani takwimu zinasema kampeni hizi zimepunguza umaskini Tanzania kutoka 34.4% kwenda 26.4%...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Tujenge mtazamo chanya na kubadilisha fikra juu ya ushabiki wa soka la Simba na Yanga kwa maendeleo ya Taifa

    Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
  15. JamiiForums Tanzania JamiiForums, Mkombozi wangu wa Fikra!

    Leo nimeamua kutoa ya moyoni kuhusu, Manufaa niliyoyapata JamiiForums. Kiukweli, nilibahatika kujiunga na JamiiForums mwezi wa saba~ mwaka huu mara baada ya kutumiwa tangazo linalohuso shindano la "STORIES OF CHANGE 2022" kutoka kwa rafiki yangu ambaye anadai aliliona kutoka kwenye mtandao wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Fikra huru kaa la moto kwa jamii?

    Fikra huru, kuwa na mawazo yako kuhusu mambo mbalimbali hasa kwenye mambo ya dini na siasa na sio kukubali tu kama vilivyowekwa, kuzoeleka au kufundishwa. Kuwa na fikra huru kumewaletea matatizo watu hawa kwasababu tu wamekuwa tofauti na vilivyokuwa na mizizi na kuzoeleka. Baruch De Spinoza...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kuachana na fikra kongwe licha ya kutoa mkakati mpya kuhusu Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Antony Blinken alifanya ziara nchini Afrika Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rwanda wiki iliyopita, ambapo alitangaza "mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika Kusini mwa Sahara." Hata hivyo, mkakati huo hauna jipya na umeonyesha kuwa serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Fikra zangu juu ya mpira wa Tanzania

    MIMI SIYO “MZALENDO” Napenda kumshukuru Mungu wangu kwa kunikirimu afya njema bila ya kumfanyia chochote cha maana. Hiyo ndiyo maana kubwa ya neema kwa jinsi ninavyoelewa mimi. Ahsante sana Mungu wangu kwa neema hii. Naweka msisitizo katika neno “wangu” kwa maana kila mtu ana imani yake juu ya...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Tunahitaji majukwaa ya kukuza fasihi ya Kiswahili

    Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022) UTANGULIZI Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye mustakabali muhimu kwa Taifa letu? Je, mtoto mdogo wa Shule ya Msingi au Sekondari hawezi kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Visingizio 20 vinavyorudisha nyuma maendeleo ya Watanzania - Sehemu ya Pili

    UTANGULIZI Hali ya kuwa watu wa visingizio siyo ya kubeza. Ina athari na inarudisha maendeleo yetu nyuma. Visingizio hivi sio mtindo bora wa maisha. Ni mtindo wa kurudi nyuma. Katika Sehemu hii ya Pili, visingizio hivi vimepewa namba 11 hadi 20, lakini sio lazima usome kuanzia 11 hadi 20 kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…