figo

Luís Filipe Madeira Caeiro Figo OIH (Portuguese pronunciation: [luˈiʃ ˈfiɣu]; born 4 November 1972) is a Portuguese retired professional footballer who played as a midfielder for Sporting CP, Barcelona, Real Madrid and Inter Milan before retiring on 31 May 2009. He won 127 caps for the Portugal national team, a record at the time but later broken by Cristiano Ronaldo.
Renowned for his creativity and ability to get past defenders as a winger, Figo is regarded as one of the greatest players of his generation. His 106 assists are the second-most in La Liga history, behind Lionel Messi. He won the 2000 Ballon d'Or, 2001 FIFA World Player of the Year, and in 2004 Pelé named him in the FIFA 100 list of the world's greatest living players. Figo is one of the few football players to have played for both Spanish rival clubs Barcelona and Real Madrid. His controversial transfer in 2000 from Barcelona to bitter rivals Real Madrid set a world record fee of €62 million.Figo had a successful career highlighted by several trophy wins, including the Portuguese Cup, four La Liga titles, two Spanish Cups, three Spanish Super Cups, one UEFA Champions League title, one UEFA Cup Winners' Cup, two UEFA Super Cups, one Intercontinental Cup, four Serie A titles, one Italian Cup and three Italian Super Cups. On the international level, he scored 32 goals for Portugal, representing the nation at three European Championships and two World Cups, helping them reach the final but finish as runners-up at Euro 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya figo yanakua kwa kasi Nchini Tanzania, sasa ni 6%

    Imeeleza kuwa matatizo ya magonjwa ya figo ni tatizo la Kidunia kwa kuwa takwimu za magonjw aya figo ni 10% wakati ndani ya Tanzania takwimu za nchi ni 6% Serikali inajipanga katika mambo mengi, kwanza ni kutoa elimu ya afya mfano kula na mazoezi, pili kuna usalama wa chakula na usalama wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nadharia Potofu na Ukweli Juu ya Magonjwa ya Figo

    Wazo Potofu: Magonjwa yote ya figo ni hatari. Ukweli: La, magonjwa yote ya figo si hatari. Yakitambuliwa na kutibiwa mapema, magonjwa mengi ya figo yanaweza kuponywa. Kwa mengi, utambuzi na matibabu hupunguza au kusimamisha kuendelea kwa magonjwa hayo. Wazo Potofu: Hitilafu ya figo huweza...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Daktari: Muhimu kupima figo angalau mara moja kwa mwaka

    Wananchi wanashauriwa kufanya vipimo vya magonjwa ya figo angalau mara moja kwa mwaka, ili kupunguza hatari ya utambuzi wa magonjwa hayo katika hatua za hatari. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo wa Hospitali ya Saifee Tanzania iliyopo Kinondoni, Dk Mercy Mwamunyi amesema hayo alipokuwa...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imekaaje Watanzania wengi kuwasilisha kuuza figo zao Muhimbili kisa umaskini?

    Mbona kama jamii watu wamefika huku, nini kimefeli, kwa nchi yenye madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri kote, vivutio bora Afrika vya kitalii na mazuri mengine mengi. Tatizo nini haswa?
  5. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania 36 wajitokeza kuuza figo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa ripoti ya takwimu zinazoonesha kupokea maombi ya wananchi 36 walioomba utaratibu wa kuuza figo zao ili kukabiliana na ugumu wa maisha. Takwimu hiyo imetolewa jana wakati wa maadhimisho ya siku ya kukabiliana na ugonjwa wa Figo duniani. Awali, Ofisa Ustawi wa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Machi 10: Maadhimisho ya Siku ya Figo Duniani (World Kidney Day)

    Leo Machi 10, 2022 ni Maadhimisho ya Siku ya Figo Duniani, inayolenga kuongeza ufahamu kuhusu Afya ya Figo ili kuziba pengo la uelewa wa Ugonjwa wa Figo. Mwaka huu, Kaulimbiu ni "Afya ya Figo kwa Wote" Zipo njia mbalimbali za kupunguza hatari ya kupata Ugonjwa wa Figo. Miongoni mwao ni kufanya...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asalitiwa baada ya kumpa mama mkwe figo

    Mwalimu Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa uchungu baada ya kuchangia figo kwa mama wa mpenzi wake na kuishia kusalitiwa baada ya mpenzi wake kuolewa na mwanaume mwingine baada ya mwezi mmoja tangu atoe figo. My Take Mwanamke sio...
  8. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Bugando wanaleta mzaha kwenye afya za wa Wagonjwa wa Figo. Dr. Gwajima fuatilia hili

    Imekuwa mazoea sasa ambapo watu wanaopata huduma ya Dialysis pale Bugando kushindwa kufanyiwa huduma kwa kuambiwa kuwa vifaa havipo au havijafika. Wagonjwa wa Dialysis idadi yao inajulikana na forecast inafanywa kwa kujua mahitaji lakini inafikia sehemu wagonjwa mpaka wanalala kwenye chumba cha...
  9. Gily Gru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali fikirishi kwa waliooa au kuolewa

    Habari za kazi waungwana Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa basi mwenza wako akataka kutoa hiyo figo kwa mzazi wake, utamruhusu? Picha haihusiani ila uzi bila...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania IRAN: Ni nchi pekee duniani watu wanaruhusiwa kuuza figo zao kihalali

    Unaambiwa! Ikiwa biashara ya viungo vya ndani vya binadamu bado ni haramu katika nchi karibia zote duniani, Iran ndio nchi pekee duniani inayotoa vibali na ruhusa kwa watu kuuza figo zao kihalali. Serikali huandikisha wanunuzi na wauzaji, kuwalinganisha na kuweka kiwango cha bei elekezi kwa...
  11. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

    Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe, Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu, Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe? ===== Figo ya nguruwe iliyopandikizwa...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maambukizi ya COVID-19 yanasababisha matatizo ya nguvu za kiume na figo

    Imeelezwa kuwa mtu akipata maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 viungo mbalimbali vya mwili vinapata madhara ikiwemo kupungua kwa nguvu za kiume, kuathirika mifupa na mimba kutoka. Pia maambukizi ya Uviko-19 husababisha binadamu kupata kiharusi, mapafu hayawezi kurejea kwenye hali yake ya kawaida...
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

    Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis === Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kifungua kinywa cha asili ya mbantu ilikua maini figo na matunda

    Kabla ya ujio wa wakoloni wahenga walikua wawindaji. Wenye nguvu waliwinda wanyama na wengine wakitembea kutafuta mizizi na matunda. Matunda ya asili yalikua ni pamoja na matango. Wawindaji waliacha mitego usiku na waliamka alfajiri kuangalia mawindo. Mnyama aliyepatikana alichinjwa na...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga haina hela ya kumsajili Luis,labda wauze figo za viongozi

    Yanga wamezoea kuishi kwa propaganda kudanganya mashabiki. Kibaya zaidi nao hawana hata akili ya kushtuka. Walidanganywa sana kuhusu Chama, wakadanganywa kuhusu ubingwa VPL na FA. Leo hii bado wananogewa kudanganywa. Japo Simba haijaweka wazi, lakini ni kwamba, Miquissone ameuzwa kwa Al Ahly...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuchunguzwa kansa na magonjwa ya figo?

    Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini na Koo na pia nifanye kipimo Cha magonjwa ya Figo. Je, hiyo check-up ya mwili hufanywa kwa vipimo...
  17. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa tatizo la figo

    Ni mateso makubwa sana inapokukuta hii msaada wa anayejua nini cha kufanya au kunywa kulinda figo zisifeli
  18. The Genius

    JamiiForums Tanzania Mungu alivyomjibu mtesi wa Oliver N'Goma, dikteka Omary Bongo

    Mwaka 2008 nguli wa Zouk barani Afrika, Oliver Ngoma aliugua figo na alihitaji matibabu nje ya nchi. Lakini aliwekewa zuio la kusafiri nje. Serikali ya Rais Omary Bongo ilimtuhumu Oliver kwamba anaandaliwa na mataifa ya Ulaya kuwa Rais wa Gabon. Japo Oliver alikanusha madai hayo lakini...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia figo zako kuwa na mawe

    Kunywa maji mengi ni jambo muhimu sana katika kuzuia mawe kwenye figo. Kunywa kati ya glasi 12-14 (zaidi ya lita tatu) kila siku Usile chumvi nyingi, chumvi nyingi katika chakula inaweza kufanya kalsiumu zaidi itoke mwilini kwa njia ya mkojo na hivyo kuongeza hatari ya mawe kutokea Punguza...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dalili za ugonjwa wa figo kwa mtu kwenye shinikizo la damu

    Iwapo shinikizo la damu liko juu sana(zaidi ya 200/120mm /Hg) Shinikizo la damu la juu sana hata baada ya matibabu kuzingatiwa Kushindwa kuona kwa sababu ya shinikizo la damu Kuwepo kwa protini kwenye mkojo Mgonjwa wa shinikizo la damu kuonesha dalili kama vile kuvimba, kukosa hamu ya...
Back
Top Bottom