Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesema tatizo la ugonjwa wa figo nchini linaongezeka na takwimu zinaonesha Tanzania ina wagonjwa 600,000.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo, Dk Linda Ezekiel, aliyasema jana wakati akizungumza na HabariLEO kuhusu maadhimisho ya wiki...