Naomba ufafanuzi wa tatizo la figo

Kiume3000

Senior Member
May 17, 2021
180
218
Ni mateso makubwa sana inapokukuta hii msaada wa anayejua nini cha kufanya au kunywa kulinda figo zisifeli
 
Kula sana kinywaji figo zichuje safari bariidi kila siku pia usisahau juisi ya miwa matango
 
Una sh ngapi nikupe zangu??!!
Mi nikiziuza naweka oil filter ya IST maisha yanaendelea
 
Ni mateso makubwa sana inapokukuta hii msaada wa anayejua nini cha kufanya au kunywa kulinda figo zisifeli
Pendelea kunywa juice ya nyanya glass moja kutwa mara tatu.niliona sehemu akielezea jinsi nyanya ilivyo tiba.kula nyanya kama matunda mara kwa mara.punguza matumizi ya chumvi nyingi na mafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom