fifa

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF yatoa orodha ya mawakala wa Tanzania wanaotambulika na FIFA

    Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA). Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: FIFA yadaiwa kuitaka Yanga kujieleza kwa tuhuma za kuichangia pesa za Uchaguzi CCM

    Kwa mujibu wa chanzo, Shirikisho la soka duniani FIFA limeitaka klabu ya Yanga inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara kujieleza juu ya tuhuma za kushiriki Siasa kwa kukichangia pesa za uchaguzi chama cha mapinduzi CCM mwaka huu 2025. Tamko hili la FIFA kwenda kwa Yanga ni matokeo ya...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

    Baada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo. Binafsi najiuliza, hivi...
  4. Official jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GAMING PC FOR SALE

    GAMING PC MOTHERBOARD: CVN B460 GAMING FROZEN CORE i5 -10500 12 CPUs (10th GENERATION ) RTX 2060 6GB 16GB RAM (DDR4) 4 Slots 120GB SSD 500GB HDD 520Watt Antec PSU NZXT CASE ORIGINAL LENOVO CONTROLLER GAMES: FC 25 COD MODERN WARFARE II UNCHARTED COLLECTION GTA COLLECTION PRICE: 1.3m...
  5. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, FIFA inakataza chama cha siasa kuwa na timu ya mpira wa miguu?

    Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football: Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu? Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu? je, FIFA na TFF katiba...
  6. cerengeti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwasilisha malalamiko FIFA

    Jinsi ya kuwasilisha malalamiko kwa FIFA --- 📝 Jinsi ya Kuwasilisha Malalamiko kwa FIFA 1. Tambua Aina ya Malalamiko Yako FIFA inashughulikia malalamiko ya aina mbalimbali, kama vile: Rushwa au upangaji wa matokeo Migogoro ya mkataba au uhamisho wa wachezaji Utovu wa nidhamu wa mawakala...
  7. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaishitaki YANGA kwa barua kwenda FIFA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa na Yanga kwa chama cha siasa (CCM) katika hafla ya Gala Dinner iliyofanyika Mlimani...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    15 Agosti 2025 Kamati ya Maadili ya FIFA Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) FIFA-Strasse 20 S.L.P. 8044 Zurich, Uswisi KUMBUKUMBU YA MALALAMIKO RASMI DHIDI YA KLABU YA YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB KWA KUJIHUSISHA NA SIASA ZA VYAMA – TANZANIA Waheshimiwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya FIFA...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Complaint Regarding Breach of FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club

    Dear FIFA Ethics Committee, I am writing to report a potential breach of the FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club, the current premium football champion in Tanzania. On Monday, 11 August, at Mlimani City Hall in Dar es Salaam City , the club's president contributed 39,000 to the...
  10. Ileje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF iadhibiwe na FIFA endapo haitaiadhibu Yanga kwa kushiriki kampeni za CCM!

    Ni wazi Yanga imekiuka kanuni za FIFA kwa kushiriki kampeni za CCM katika uchaguzi mkuu wa kisiasa kupata viongozi wa serikali. Kwa hiyo ili kuepuka rungu la FIFA na kulinda heshima ya nchi kimichezo lazima TFF ichukue hatua za kuiadhibu Yanga ikiwa na pamoja na kuifungia kushiriki mashindano yo...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga kushitakiwa FIFA na wanaharakati kwa kuvunja Sheria za FIFA zinazikataza vilabu kushiriki siasa za vyama vya siasa

    Hiki ndio kinachoendelea hiko kwenye kurasa za wanaharakati Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Kanuni za FIFA na hata CAF zinakataza kabisa kujihusisha na siasa za vyama! Itume kwa barua pepe ethics@fifa.org Anwani andika: FIFA Ethics Committee...
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barua Kwa FIFA

    Ngurumbizi Dudumizi P.O. Box 1920 Iringa, Tanzania 13 August 2025 Head of Integrity & Compliance Fédération Internationale de Football Association (FIFA) FIFA-Strasse 20 8044 Zürich, Switzerland Subject: Grievance regarding Young Africans SC pledge of TZS 100 million to a political party...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga hatarini kuadhibiwa na FIFA kwa kuichangia CCM Tsh. 100 Milioni

    Wakuu! Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea. Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa Kitaifa hivi karibuni. Yanga imejikuta ikijadiliwa sana na kukosolewa vikali baada ya kuchangia kiasi cha...
  14. Ileje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa kwa kuchangia CCM!

    Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa! Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa! Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninataka kuiandikia FIFA kuhusu mapendano ya Yanga na CCM. Niongeze nini?

    Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika...
  16. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faroe Islands na Gibraltar ni nchi zenye hadhi moja na Zanzibar, lakini wao wamekubaliwa kuwa Wanachama halali wa FIFA, Zanzibar imefeli wapi?

    Visiwa vya Faroe na Gibraltar ni nchi zilizopo barani ulaya... Hizi ni nchi ambazo hazina mamlaka kamili kuitwa mataifa huru kama ilivyo Zanzibar tu. Gibraltar ni ki-nchi fulani chenye watu 40,000 tu..kinamilikiwa na Uingereza. Wakati Faroe ipo under Danish realm.. Chakushangaza zaidi hawa ni...
  17. kiwatengu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

    Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey. Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea yafuzu kombe la FIFA dunia kwa ngazi ya vilabu mwaka 2025

    Chelsea imefuzu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fluminense ya Brazil. The Blues sasa wanasubiri mshindi kati ya PSG na Real Madrid kwa ajili ya fainali hiyo inayotarajiwa kufanyika Marekani. Chelsea walionyesha ubora...
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA - CAF World Cup Ranking, Top 10 clubs

    Source; FIFA Rankings
  20. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania point mpya za fifa club world cup 2029, simba aipo top 10

    I will be short. club world cup updated points ni points za caf champions league tu. in short team za caf confederation cup hazipo. hii ndo list za point accumulated for fifa 2029 club World Cup. EVIDENCE LINK HII HAPA : https://en.wikipedia.org/wiki/2029_FIFA_Club_World_Cup
Back
Top Bottom