fifa

  1. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa siasa katika taasisi za soka: Wakati umewadia sasa kwa FIFA kushusha rungu lake kwa vilabu vya Yanga na Simba

    Wewe ni mwekezaji tuu, na unahisa sizizozidi 49% hivyo Simba haiwezi kuwa Mali yako completely na kufanya utakalo bila ridhaa ya wengine. Nani kakutuma umpigie kampeni Magufuli katika shughuli rasmi za club bila ridhaa ya wanachama? Club yetu haina itikadi ya kisiasa wala kidini hivyo ukome na...
  2. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania MO Dewji akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa FIFA Gianni Infantino, amkabidhi jezi ya Simba SC

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu hususan barani Afrika. Baada ya mazungumzo hayo MO Dewji amemkabidhi jezi ya Simba SC ambayo...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania NEC ndiye FIFA, TFF na refarii wa mchezo wa ligi ya uchaguzi tumwache afanye kazi yake

    Wakuu bila kumumunya maneno kuna baadhi ya wana JamiiForums hasa wa vyama vya upinzani wana uelewa mdogo sana. Uwezo wao wa ku reason mambo ni mdogo sana. Wametyuni akili zao kwenye kushabikia siasa bila kukielewa kile wanacho kishabikia. Wamekariri katiba na baadhi ya vifungu vya sheria ili...
  4. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA amewakingia kifua

    Wachezaji wanaovua jezi zao kwenye nia ya kupinga ubaguzi wanastahili pongezi na sio adhabu, kwa mujibu wa Rais wa shirikisho la soka Duniani , Gianni Infantino. Kumbuka kwenye kanuni za soka mchezaji akivua jezi ni kosa na anadhibiwa kwa kadi ya njano.
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu sheria namba tatu ya FIFA inayohusu idadi ya Wachezaji Uwanjani

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inachezwa na timu mbili, kila moja ikiwa na Wachezaji wasiozidi 11, mmoja wao ni Kipa. Mechi haiwezi kuanza ikiwa timu yoyote ina Wachezaji chini ya 7 Kiwango cha juu cha kubadili Wachezaji wakati wa mechi kwenye...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Mbili ya FIFA inayohusu Mpira wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mpira unatakiwa uwe wa Mviringo wenye Mzingo/Mzunguko wa Sentimita 68 hadi 70 (Mpira Namba 5), ukitengenezwa kwa ngozi au malighafi yoyote inayofaa Mwanzo wa mechi, mpira unatakiwa uwe na uzito usiopungua Gram 410 na...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Moja ya FIFA inayohusu Uwanja wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria hizo za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inaweza kuchezwa kwenye Uwanja wenye nyasi asilia au za kutengeneza ila nyasi za kutengenza lazima ziwe za rangi ya Kijani Uwanja wa kuchezea lazima uwe wa umbo la Msatili ukiwa umewekewa alama za mipaka kwa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Diamond apewa zawadi na FIFA

    Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania alipata nafasi kutembelea Museum ya FIFA pale Zurich. Msanii Diamond ametua Uswizi mahususi kwa ajili ya show yake ambayo ameipa jina European Tour. Baada ya kuingia Museum ya FIFA amepewa zawadi ya kikombe kidogo pamoja na jezi yenye jina lake Platnumz no 9...
  9. hiram

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe, hivi unaijua FIFA Solidarity Rule kweli?

    Solidarity Rule ni sheria ya Fifa inayosema kwamba kama mchezaji atauzwa kwenda klabu ya ligi kubwa duniani basi asilimia 5 ya mauzo ya mchezaji huyo itagawanyishwa kwa timu zote alizochezea akiwa na miaka 12 hadi 23. Hata klabu ya Simba itanufaika na sheria hiyo ambapo African Lyon, TP Mazembe...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania FIFA kujenga uwanja wa michezo kwa kila nchi mwanachama barani Afrika. Je unapendekeza mkoa/bei gani?

    Katika kukuza michezo barani Afrika,Rais wa FIFA ameanzisha kampeni ya kuhakikisha kwamba kila nchi mwanachama wa wake wa bara la Afrika inajengewa uwanja mpya wa kisasa ambao utakuwa mali ya shirikisho Kwa mujibu wa Rais wa TFF yeye amependekeza uwanja kujengwa mkoani yaani nje ya Dar na...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FIFA yamfungia Jamali Malinzi kujihusiha na soka kwa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemfungia aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kujihusisha na soka kwa Muda wa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha. hukumu hiyo inamtaka Malinzi kutojihusisha na shughuli zote za kimichezo kuanzia kwenye...
  12. lucky lefty

    JamiiForums Tanzania Lenovo laptop for sale (gaming laptop)

    Model: LENOVO IDEA PAD Z585 Processor: AMD RADEON A10-4600M (pic attached) Harddisk: 500Gb Ram: 4Gb Screen size: 15.6inch Dvd slot: Available Battery: 5hrs Display 15'' Runs on Windows 7 Professional ACTIVATED PRICE : Tsh 550,000 Negotiable Call or Text 0713 985936
Back
Top Bottom