Kila alichofanya au anachofanya mwamba Karia kina baraka za Fifa,
Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya wenye mpira wao.
Mpira ni mali ya nani?
Wa kumtoa Karia ni Fifa only guys wake up
Habari....
1. Sakata la Derby
Mechi ya watani wa jadi (Yanga na Simba) imekuwa na mvutano mkubwa.
Yanga wamepinga maamuzi ya Bodi ya Ligi (TPLB) na TFF, wakidai kuna upendeleo na hujuma.
Waligoma kucheza baadhi ya mechi, na waliwasilisha malalamiko yao hadi kwa viongozi wa serikali.
Hii...
Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe.
Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa.
Ndio maana tuliona vita kule Angola...
Wakuu
=====
Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa?
FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi.
FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF...
I salute kinsmen
Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga .
Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu.
Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi?
Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
Katika kitu ambacho tunatakiwa kukifanya mwaka huu ni kuishitaki tanzania kuingiza siasa kwenye simba na yanga Ili nchi ifungiwe kwama Kenya ilivyofungiwa sasa twendeni Kwa wingi wetu tukacoment Ili nchi ifungiwe kujihusisha na soka nafikiri itaondoa uzombi wa watanzania sababu picha za mkuu wa...
Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA
Si
https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
Habari wakuu…
Michuano ya Kombe la Vilabu la Dunia imewadia, ambapo vilabu 32 kutoka mabara tofauti vitapambana kumsaka bingwa kuanzia Juni 14 mpaka Julai 13 nchini Marekani.
Hii ni format mpya ambapo itaanza kutumika mwaka huu na michuano hii itakuwa inafanyika kila baada ya miaka minne...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema kuwa Serikali haiwezi kuingilia mzozo wa klabu za Simba na Yanga kutokana na kanuni za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), ambazo zinakataza serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu
Prof. Kabudi ametoa kauli...
Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni.
FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi zilizotolewa dhidi yake.
FIFA imelitaka Shirikisho hilo kufanya kazi kwa karibu na kutoa ushahidi wote...
Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka.
Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi.
Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo ni kucheza kwa nidhamu dhidi ya adui Yako ndani ya penati boxi,lakini ukicheza vibaya adhabu...
Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 ni mashindano mapya ya kimataifa yanayotarajiwa kufanyika Juni hadi Julai 2025 huko Marekani. Mashindano haya yanajumuisha vilabu bora kutoka mabara sita, yakiwa ni hafla ya kipekee ya kukutanisha vilabu vinavyowakilisha ubora wa soka duniani. Bara la Afrika...
Tarehe 15, Juni 2025 inatarajiwa kuanza michuano hii itakayo fanyika nchini Marekani.
Awamu hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa michuano hii kutumia mfumo wa mpya wa klabu 32 kama lilivyo kombe la Dunia kwa upande wa timu za taifa.
TIMU ZILIZOFUZU...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu.
Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.