fidia

  1. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO yakalia fidia ya wananchi miaka mitano

    Fedha za fidia ya wananchi wanaopisha ujenzi wa njia ya mradi wa umeme kutoka bwawa la Mwl Nyerere za kwama Tanesco fedha hizi zilidhinishwa na bunge la bajeti la 2015/2016 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa kusimamiwa na Tanesco mpaka leo 2021hakuna taarifa yoyote rasimi kwamba fedha hizi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania DED monduli na tanesco wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katika kijiji cha Makuyuni mkoani Arusha tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DED Monduli na TANESCO wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katia kijiji cha Makuyuni tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni kijiji lakini ili...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Petra Diamonds kulipa faini ya tsh. Bilioni 14.02 kwa kukiuka haki za binadamu Tanzania

    Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia! Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo. Mbaya...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri TUDARCo ashtaki na Kudai fidia kwa kutengenezewa mazingira magumu ili aache kazi

    Mmoja wa waanzilishi wa kitivo cha Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini, Dar Es Salaam (Tudarco), Dk Lucas Kamanija anakidai chuo hicho fidia ya Sh130milioni, akidai kutengenezewa mazingira magumu yaliyomsababishia aachishwe kazi chuoni hapo. Dk Kamanija amedai fidia hiyo, baada ya kufungua...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Bulaya: Fidia ya wanaoharibiwa mali na wanyamapori ni ndogo, kuna double standard

    Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya amesema kumekuwa na 'Double Standard' ambapo mifugo inapoingia hifadhini fidia kubwa hotozwa lakini wanyamapori kama Tembo wanapoenda kuharibu mali za wananchi fidia yake ni kidogo. Akimjibu, Naibu Waziri wa Maliasili, Mary Masanja amesema ni kweli kumekuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

    DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha. Mwaka...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Baba Levo kudai fidia kuhusu kesi yake aliyoshitakiwa na Harmonize

    Msanii Baba levo anefunguka leo akiwa kwenye press conference yakutangazwa kuwa balozi mpya wa Soka bet amesema baada ya kushinda hii kesi aliyoshitakiwa na Harmonize atamfungulia mashitaka harmonize ya kuchafua brand yake. Akafunguka zaidi kuwa Harmonize amekurupuka kumshitaki bila kutumia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kudai Fidia hii imekaaje wana JF?

    Poleni na majukumu ya kila siku wana JF! Iko hivi kuna Mwanaume mmoja alikuwa na ndoa yake ya Kikristo, ikatokea Mama Mkwe akawa anaumwa Kijijini ikabidi Mke wake akamuugeze Mama yake huko Kijijini. Baada ya Mke kuondoka kwenda kijijini Mwanaume alianzisha mahusiano mengine na Mwanamke...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yawasilisha hoja ya fidia

    Kamati ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama imewasilisha hoja maalum katika Kamati ya Bunge ya Uongozi kuhusu migogoro ya fidia kati ya wananchi na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). Akizungumza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Jumatatu Aprili 12 2021 Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

    Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
  12. COMOTANG

    JamiiForums Tanzania Fidia kwa waliopisha upanuzi wa uwanja ndege Msalato

    Habari za jioni. Kwa wanaohusika na malipo ya fidia ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato -Dodoma mtatulipa lini fidia hiyo miaka inakwenda ardhi na vilivyomo havituzalishii toka mlipohakiki mara ya kwanza mwaka 2018 ni miaka mitatu, Sasa je, mtaongeza kiwango cha fidia au ndo mtatulipa...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamuamuru Rais wa Brazil kumlipa fidia Mwandishi baada ya kumdhalilisha

    Mahakama nchini Brazil imemuamuru Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro kumlipa fidia mwandishi wa habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha. Uamuzi huo wa Mahakama umekuja kufuatia kauli aliyoitoa Rais Bolsonaro dhidi ya Patricia Campos Mello ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuwadai Halotel fidia kwa usumbufu walionipatia

    Wakuu kwema? Nina shida hapa imenitokea, mnamo tarehe 23 nilituma pesa kama Tshs 500k kwenda namba ya voda tokea halotel, ila nikajagundua nimekosea namba, Nikawapigia halopesa, wakaniambia nisubiri masaa 72 pesa itarudi, Nikawa mpole nikasubiri, masaa yamefika 100,pesa haijarudi...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Ahukumiwa kifungo cha nje na fidia ya 20,000 baada ya kumpiga mkewe kwa mwiko

    Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imemhukumu kifungo cha nje cha miezi minne mkazi wa Tabata Segerea, Baraka Athuman (33) baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga mke wake Kuluthum Khamis kwa kutumia mwiko wa ugali kutokana na wivu wa mapenzi. Pia, mahakama hiyo imemwamuru mshtakiwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkiwasaidia Wasafi TV kwa 'Unafiki' wenu basi upesi sana muwaombe radhi itakayoambatana na 'Fidia' akina Kwanza TV na wengineo mliowafungia nyuma

    Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Innocent Lugha Bashungwa ameeleza kuhusu kufungiwa kwa Vyombo vya Habari na Wasanii na kuzungumzia kuhusu Wasafi Tv. Akiongea katika kipindi cha Clouds Fm Waziri ameeleza haya. “Kama Wizara jukumu letu la kwanza ni kusimamia nidhamu, inapotokea...
  17. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tusaidie Wananchi tunaopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege Iringa. Tanroads wanatusumbua sana kutulipa fidia ya mali zetu

    Mheshimiwa Rais tumehangaika mapaka tumeona tukuandikie kupitia jukwaa hili utusaidie sisi wanyonge wa kijiji cha Igingilanyi ambao tumetakiwa kuhama ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Nduli uliopo katika manispaa ya Iringa. Baada ya kuelimishwa wananchi hatukuwa na pingamizi la mradi...
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

    Naona Mabeberu yameingia kazini tena. Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
  19. DPN

    JamiiForums Tanzania Asante Postmaster General kwa kunilipia fidia

    Nawasalimu Wana-JF wote; heri ya mwaka mpya 2021. Mnamo tarehe 07/12/2020 niliandika malalamiko yangu hapa JF kuhusu mzigo wangu kupotelea Posta tangu tarehe 13/3/2020; ambapo hatua za kufuatilia mzigo huo hazikuzaa matunda, mpaka nikafikia hatua ya kuandika malalamiko hayo JF kwenye link hiyo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria. Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya. Kadhalika DC Kihongosi amewaponda...
Back
Top Bottom