Sosaia Feki (born 9 May 1991), also known by the nickname of "The Factor" is a Tonga international rugby league footballer who plays on the wing for the Castleford Tigers in the Super League.
He played for the Cronulla-Sutherland Sharks in the NRL, and was part of the Cronulla team that won their maiden premiership title in the 2016 season.
UFARANSA: Watu 13 wamekamtwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon.
Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya na kuanza kufoji vyeti vya COVID-19.
===
France Arrests 13 on Suspicion of Faking 60,000 Covid...
Jeshi la polisi mkoa wa Manyara katika operesheni zao, wamegundua kiwanda bubu kilichopo Mtaa wa Ngarenaro mjini Babati, kinachozalisha pombe kali feki zinazofungashwa kwenye vifungashio vya kampuni ya Konyagi.
Jeshi hilo limekamata shehena ya pombe hizo feki huku wakiwaweka wafanyakazi wa...
Nimekuwa napenda sana kuwa kwenye mahusiano na wadada waliofungashia, kiuno nyugwi na sura ya kuvutia; kitu kinachonifanya nikutanapo na yeyote mwenye sifa hizo, najikuta mwili wote unalegea na kukosa amani, na kunilazimu kunadi sera zangu kwake.
Kuna siku nilikuwa Dodoma; ile asubuhi tu...
MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA
Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna hoja 5 katika hoja 80 zilizoibuliwa zinazohitaji uharaka wa kufanyiwa kazi, baada ya mkutano wa wadau...
Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Moja kwa moja niende kwenye mada.
Leo nimeamkua na kukumbuka namna watumishi wa vyeti feki walivyokua wameziba nafasi za ajira kwa wenye sifa. Dhulma hii ikasawazishwa kwa kuondolewa waliobainika kughushi taarifa za ajira hasa kwenye vyeti vya taaluma.
Heko..! Kwa...
Kwa anayejua vipi kuhusu mafao ya sue vyeti feki maana wengine tulikaribia umri kustaafu tukakumbuna na hili dhoruba.sasa nakumbuka mama kama alisema tupewe mafao yetu mifuko ya jamii mpk sasa mbona kimya kuna mwenye taarifa nini kinaendelea maana tunalazwa hospital tunatoka basi tupo tupo mpk...
Sielewi anapambana na nani, kwanini na kwa sapoti ya nani? Na vipi anaweza kutumia vyombo vya habari vya CCM kujenga falsafa binafsi za siasa.
Kama ni mpinga utawala uliopo anangoja Nini kujiondoa CCM.
Kila nikitafakari namuaona ni uvimbe ndani ya CCM.
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.
Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.
Tega sikio hapa hapa bwashee.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Yanga na simba wanajaza mashabiki sana, pamoja na timu nyingine,lakini takwimu zinaonyesha wanaolipia tiketi hawalingani idadi na wanaoingia uwanjani, viwanja vinajaa sana, takwimu zinaonyesha watu wachache ndio wanalipia tiketi.
serikali iingie chimbo, haiwezekani viwanja vijae halafu ionekane...
Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua.
Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka?
Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia...
Umoja wa Mataifa(UN) umesema taarifa zisizo sahihi kuhusu chanjo ya #COVID19 kunarefusha muda ambao ungetumika kudhibiti maambukizi ya Corona.
UN wametoa wito kwa raia kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza taarifa hizo kwa wengine ambazo zinaathiri mapambano dhidi ya Corona.
Wamesema taarifa za...
Dubai inapitia kipindi kigumu cha hali mbaya joto kali. Eneo hilo ndani ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) lina joto kali linalovuka mpaka nyuzijoto 50 na kuhatarisha maisha ya watu zaidi ya milioni 3 wanaoishi katika mji huo.
Hivi karibuni nchini Canada zaidi ya watu 500 waliripotiwa...
Sakata la vyeti feki na wafanyakazi hewa ni moja kati ya suala ambalo lilishika sana vyombo vya habari mwanzoni mwa mwaka 2017. Katika makala haya naangalia kama yalileta matokeo chanya kwa kudhibiti mishahara kwa wasio stahili na mishahara hewa
Mwaka 2019 waziri Mkuchika alisema Serikali ya...
Baada ya kelele nyingi mitandaoni zinazodai chuma kipya cha Daiaond ni feki, nikaamua kuingia mtandaoniili ili nicheki facts maana watalamu wanasema "No research, no data, no right to speak",,,,bila uchunguzi usio na taarifa huna haja ya kufungua mdomo.
Muda sio mrefu nimeingia kwenye account...
Polisi nchini Uganda inawashikilia wahudumu wawili wa afya kwa madai ya kuhusika kuwachoma takriban watu 800 chanjo feki za corona mwezi uliopita.
Mtu mmoja, ambaye ni daktari, anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika kuwachoma watu hao chanjo katika mji wa Kampala kati ya Mei 15 na Juni 17...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.