Nimetapeliwa zaidi ya Tsh. 45,000,000 kwa kuuziwa kiwanja feki

Paploman

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,716
3,233
Haya mambo yasikie tu.

Nina siku ya nne leo tangu nigundue kwamba nimepigwa, hata kula vizuri siwezi, nawaonea wivu wenzangu walionunua maeneo madogo kwa bei za 15m kushuka chini. Naona hasara yao ni ndogo kuliko yangu.
 
Nitafutie mbuzi weusi watatu, ng’ombe mmoja awe wa kisasa jike wa maziwa awe amezaa mara moja ndio dawa itashika, kuku wawili mmoja jogoo na jike, nitafutie na mchele wa kyela ndoo mbili kubwa ili kutoa kafara kwa wazee, na vitenge vitatu was original vya kufunikia dawa halafu hela usinipe yoyote ukifanikiwa utarudi kushukuru.
 
Wewe si tapeli kabisa
 
haya mambo yasikie tu.

Nina siku ya nne leo tangu nigundue kwamba nimepigwa, hata kula vizuri siwezi, nawaonea wivu wenzangu walionunua maeneo madogo kwa bei za 15m kushuka chini. Naona hasara yao ni ndogo kuliko yangu.
Mie naona umekuja kuchangamsha jukwaa tu, kutapeliwa Million 45 mda huu ungekuwa na drip au ungekuwa kwenye basi unaelekea sumbawanga kumtafuta Mr Mshana ..
 
halafu utakuta ulikuwa unafanya kwa kifichoo/sirii ... rafiki/ndugu na hata majirani ya ulipoenda nunua wasijueeeeeee..... kisa ni 10% (4,500,000) uliona ni nyingi kuwapa mashahidi halali wa kiwanjaa

Duh pole, anyway siku ingine jitahidi fahamu maeneo unayoenda nunua,
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom