Benki Kuu ya Burundi yaagiza kufungwa kwa maduka ya kubadilishia fedha

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Benki kuu nchini Burundi imetangaza kuyafunga maduka yote ya kubadilisha fedha kufIkia siku ya Jumamosi, kwa madai kuwa wamiliki wa maduka hayo wamekuwa wakifanya shughuli zao kinyume na utaratibu uliowekwa na Serikali ni hatua ambayo itasababisha watu kukosa ajira.

Gavana wa Benki kuu nchini humo Jean Chiza, amesema uchunguzi wao umebaini kuwa tangu mwezi Septemba mwaka2019, maduka hayo ya kubadilishia fedha yamekuwa yakipuuza matakwa yaliyowekwa na benki hiyo.

“Maelekezo ni kuwa ofisi hizi za kubadilishia fedha sasa zinafungwa. Wamiliki Wake wanapaswa kuondoa mabango yote waliyoweka. Na sasa benki zote za kibiashara ndizo zitaruhusiwa kubadilisha fedha,” amesema Gavana Chiza.

Uamuzi huu umeonekana kuwashangaza na kuwachukiza wamiliki wa maduka hayo jijini Bujumbura, akiemo mmoja ambaye kwa sababu za kiusalama, hakutaka kufahamika lakini alituambia anachopitia.

“Unapohitaji pesa hizo kwenye beki yoyote hapa haupati! ukienda kwenye benki kuu ya nchi vilevile haupati! Kwa hivyo kwa serikali jinsi vile naona sio tu waseme wenye vituo waheshimishe viwango...na wakati hawajawapa hizo pesa au wawahudumie kwa kiwango wanachohitaji hapa.”

Wataalamu wa masuala ya uchumi wao wanaona kuwa hatua hiyo itaendelea kusababisha hali ngumu ya kiuchumi nchini Burundi.

“Uhaba wa pesa za kigeni itakuwa mojawapo ya shida za kiuchumi Burundi. Kumbuka vyanzo vya sarafu za kigeni vimekauka kutokana mzozo wa kisiasa katika nchi hiyo.Uwekezaji wa ndani pia umeporomoka kwa ukosefu wa utulivu,” amesema Henry Obwocha mtalaam wa masuala ya uchumi akiwa jijini Nairobi nchini Kenya.

Tangu kutokea kwa vurugu za baada ya uchaguzi mkuu uliopita, uchumi wa Burundi uchumi wa nchi hiyo ndogo ya Afrika ya Kati, umekuwa ukisuasua hali ambayo imeifanya sarafu ya Franca kupoteza thamani.
 
Samahani dada,
Kuna pesa yangu iko Burundi yuko nayo jamaa yangu tunaefanya nae biashara ambaye yuko Burundi mimi niko Tanzania. Kuna challenge ya kuibadili pesa hiyo kuwa tsh, banks hawakubali kubadili pesa za burundi kuwa tsh pia nchini Burundi bank hazitumi pesa kutoka Burundi kwenda nje ya Burundi otherwise uwe na a lot of documents kuonyesha kwanini unatuma. Yaani ni usumbufu mkubwa sasa ningependa kujua kama utakuwa unafahamu njia rahisi ya kutuma pesa kutoka Burundi kuja Tz unishauri. Natanguliza shukrani
Nimekutext private kwa sababu niliona uliandika post inayohusu Burundi kufunga maduka ya bureau de exchange
 
Fungua akaunti CRDB Bank ya Burundi ukija Tanzania unachukua hela bila shida.

Fungua akaunti ya Dollar, badilisha Franc kua Dollar kisha njoo Tanzania chukua Dollar badilisha kua tzs.
 
Fungua akaunti CRDB Bank ya Burundi ukija Tanzania unachukua hela bila shida.

Fungua akaunti ya Dollar, badilisha Franc kua Dollar kisha njoo Tanzania chukua Dollar badilisha kua tzs.

Niliongea na jamaa akajaribu kuuliza kuhusu kufungua akaunti ya Dollar yenyewe haina shida. Shida ipo ukienda bank na francs za burundi unataka kuzibadili kuwa dollar anasema wanasumbua sana wakati pia kukataliwa ni kwingi zaidi na kuna limit ya kubadili yaani isizidi $500. Na mimi nataka kufanya regular transactions ya at least 1,000 kwa siku. Kama una fahamu zaidi mkuu naomba nikutext private.
 
Burundi fedha za kigeni zenyewe hawana za kutosha, akiba ya fedha zao za kigeni inakuwaga Haitoshi kuagiza bidhaa za walau mwezi mmoja

Wewe cha kufanya labda uwe unatumia wabadilishaji wa mtaani tu, hasa pale border ya Kobello

Hata mambo yachache vipi wananchi mitaani huwa hawakosi Dollars

Naomba kujua mkuu pale border ya kobello jamaa wanabadili kwa rate kiasi gani? Mfano laki moja ya Burundi napata Tsh ngapi? Kama utakuwa unafahamu nisaidie kujua mkuu.
 
Exchange rate huwa zinabadilika kwa masaa

Cha kufanya we nenda hata Kabanga Kigoma utapata taarifa zote

Naomba kujua mkuu pale border ya kobello jamaa wanabadili kwa rate kiasi gani? Mfano laki moja ya Burundi napata Tsh ngapi? Kama utakuwa unafahamu nisaidie kujua mkuu.
 
Kama mmeuziana rate ikoje isiwe swali wewe jali kwamba utabadili hela yako ? Wananchi wana njia nyingi kuzipata hizo fedha za kigeni haina maana serikali ikiwa haina na wananchi nao hawana

Kubadili mtaani ni uhakika wewe usijali rate ikoje

Poapoa nashukuru mkuu, japo kwa exchange rate za kitaa zinakula almost nusu ya hela ambayo ungeipata kwa kutumia exchange rate za bank. Mfano ukiwa na laki moja ya pesa za Burundi unapata Laki moja na kumi na uchee hivi Tsh, lakini ukienda kitaa laki moja ya pesa za burundi unapata elfu 60 hadi 70 Tsh. Labda kama kutakuwa na sehemu wanabadili tofauti nijuze mkuu na rate hiyo nijuze mkuu.
 
Kama ndio hivyo ukishafanya biashara zile francs nunua madini then uje uuzie Tanzania
Poapoa nashukuru mkuu, japo kwa exchange rate za kitaa zinakula almost nusu ya hela ambayo ungeipata kwa kutumia exchange rate za bank. Mfano ukiwa na laki moja ya pesa za Burundi unapata Laki moja na kumi na uchee hivi Tsh, lakini ukienda kitaa laki moja ya pesa za burundi unapata elfu 60 hadi 70 Tsh. Labda kama kutakuwa na sehemu wanabadili tofauti nijuze mkuu na rate hiyo nijuze mkuu.
 
Kama mmeuziana rate ikoje isiwe swali wewe jali kwamba utabadili hela yako ? Wananchi wana njia nyingi kuzipata hizo fedha za kigeni haina maana serikali ikiwa haina na wananchi nao hawana

Kubadili mtaani ni uhakika wewe usijali rate ikoje

Ni kweli naelewa kuwa kitaa wanabadili hela za kigeni lakini exchange rate yao inaua. Pesa nimeipata kwa kuuza bidhaa flan niliyotoka nayo Tz sasa nimeoka kwa kutumia exchange rate za kitaa yaani faida yote niliyopata inaliwa na hasara juu. But nikitumia exchange rate ya bank kutakuwa na faida kubwa ndio maana natamani kujua kama kutakuwa na wadau wenye kujua namna ya kufanya. Nashukuru lakini kwa ushauri wako nimeuchukua itakapobidi nitafanya ulivyoshauri.
 
Mna matatizo somewhere

Hamuwezi kua mnatawala nchi halafu zinakua mikiani huko...

Mmevuruga Burundi,mmevuruga Tanzania,udikteta na upumbavu mtupu....kuna shida mnayo mahali haiwezekani inapokuja kwenye utawala mnakua mnafeli na mnavamia udikteta wa kipumbavu hivi

Mna something wrong pahala nyie
Ww usiyekuwa na uwezo wa kutawala hizi nchi na unaishia kutawaliwa na hao wahutu huku unalia lia hivyo , wewe ndyo wa kujitathimini kua kuna pahara kichwani pame meguka na utatawaliwa tu na hao wahutu
 
Wahutu bwana

Ongea Kiswahili sanifu,hatuongei Kihutu hapa....andika kwa usahihi

Utawala tumetoa nafasi,the funny thing is you motherfvckers fail too much....

Next uchaguzi tunawaondosha,such a failing bunch....

Burundi ni ya mwisho duniani kwa kila kitu,check yourselves you people....kuna mahala si sawa with nyie!
Just butshut yo'r nonsense , u pussy eti kiswahili fasaha ,Kama ukoo wako mko 8 kwa sisi wajuvi tunajua wahutu ni raia wa TZ , DRC, RWND na BRND na kote huko wapo kwa maelfu sasa wewe toa povu sana still u 'll under their contoll untill Jesus is back
' imbécile '
 
Serikali ina mpango kabambe was kunufaisha uchumi wa nchi tatizo wametumia njia mbovu
 
Muda wa kuishi kama mashetani hapo Burundi umewadia.
Burundi nazani inazidiwa kwa mapato hasa na baadhi ya Manispaa za Tanzania.Life la Burundi kwa rai wa kawaida ni gumu sana, ndo maana wale wakimbizi kule Kibondo na Kasulu na Kakonko hawataki kurudi kwao, wanajua mziki wa kule kwao
 
Back
Top Bottom