fedha

  1. JamiiForums Tanzania Jafari Wambura: Simamieni Fedha Vizuri Msisubiri Ripoti ya CAG

    MHE. JAFARI WAMBURA - SIMAMIENI FEDHA VIZURI MSISUBIRI RIPOTI YA CAG Mbunge wa Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege tarehe 18 Aprili, 2023 amechangia bajeti ya TAMISEMI ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma Mhe. Jafari amesema Rais...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango

    Habari za majukumu. Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu. Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
  3. JamiiForums Tanzania Shamsa Ford: Punguzeni kuniomba fedha

    Mwigizaji Shamsa Ford amesema watu wamekuwa wakimpigia simu na kumtumia ujumbe kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kumwomba fedha. Nyota huyo alisema kuna mtu aliomba amsaidie Sh milioni 22 akamalizie nyumba yake, akisema yeye hana fedha kwani anapambana na mikopo ili maisha yake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania James Dotto Ngosha 2025 gombea ubunge Chato. Rais Samia atakuteua uwe Waziri wa Fedha

    Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund. Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba. Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
  5. JamiiForums Tanzania Sarakasi za Deus Seif na Abubakari Alawi kukisambaratisha Chama cha Walimu Tanzania

    Watajwa hapo juu, Deus Seif aliyekuwa Katibu Mkuu wa CWT na Abubakari Alawi aliyekuwa mwekahazina wa taifa wa CWT mnamo tarehe 28 Juni 2022 walitiwa hatiani na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi, Uchepushaji wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hali...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

    Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo. Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani...
  7. JamiiForums Tanzania Majimbo 214 kuchota bilioni 15.9 kuchochea maendeleo ya wananchi jimboni mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 15.99 kwa ajili ya mfuko wa jimbo kwa majimbo 214 ya Tanzania Bara katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi Bungeni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala...
  8. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Google Play wamenirejeshea fedha zangu zote

    Habari wana JamiiForums, Leo asubuhi niliripoti kukatwa na GOOGLE PLAY kimakosa kutokana na app moja ambayo ilikuwa ina run kwenye android yangu ambayo siku ya jana ilifanya malipo automatically na mimi kupata notification za kukatwa pesa. Nashukuru nimefanya mawasiliano kampuni husika na...
  9. JamiiForums Tanzania Halmashauri zitaacha ubadhirifu wa fedha za umma pale wakurugenzi hawatakuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu

    Kila mwaka hawa wakurugenzi walio wengi wanakutwa na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma kwenye halmashauri zao. Swali: jeuri hii wanaipata wapi? Na aliyewateua mbona kama anawagwaya hivi? Nionavyo mimi ni kuwa wakiondolewa kwenye kusimamia uchaguzi mkuu, ndipo tatizo hili litapungua au...
  10. JamiiForums Tanzania Michango ya mwenge ni sawa na kutakatisha fedha

    Leo nimesikia kwa masikio yangu mwenyewe kiongozi mmoja wa CCM akimkoromea mtendaji wa Kata kwanini hakusanyi michango ya mwenge. Hili jambo limemisikitisha sana kwa kweli. Unajua tangu zamani nilikuwa nasikia walimu wakilalamika kukatwa mishahara kuchangia mafuta ya mwenge nikadhanini...
  11. J

    JamiiForums Tanzania RIPOTI YA CAG:TASAF, TANROADS ZAKALIA MAMILIONI YA FEDHA ZA WANANCHI

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini hundi zilizochacha zenye thamani ya Sh352.12 milioni zilitolewa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kwa waathirika wa miradi miwili mkoani Dodoma. Hali kadhalika, CAG alibaini kuchelewa kulipa fidia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwamba wabunge walipitisha bajeti ya kulisha Vura USA na Leo wanajifanya Wana uchungu na upotevu wa Fedha za umma? Stupid

    Fedha yakuhudumia vyura iliwasilishwa Bunge la bajeti na ikapitishwa Kwa kishindo na wabunge tena Kwa sifa kedekede. Leo TANESCO wamefanya matumizi wabunge wale wale waliopitisha hizo fedha wanashangaa na kujifanya Wana uchungu.....huu ni uzuzu. Kama walikuwa Wana uchungu wangekataa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Chalamila sasa unakwenda kutimia Mawaziri kukopa fedha nje kugombea urais 2025

    RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia
  14. O

    JamiiForums Tanzania CAG abainisha madudu fedha za Uviko-19

    Moshi. Ripoti ya ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika fedha za Uviko-19 imebainisha madudu kadhaa, ikiwemo kwamba bidhaa zenye thamani ya zaidi ya Sh50 bilioni zilizolipiwa fedha hazijapokewa. Septemba 7, 2021 Tanzania ilipokea mkopo wenye masharti nafuu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA amlipua Hayati Magufuli bungeni, asema aliua demokrasia

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo. Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii...
  16. JamiiForums Tanzania Ripoti ya makusanyo ya mapato kwa kipindi cha robo ya tatu (Januari-Machi) mwaka wa fedha 2022/2023

  17. JamiiForums Tanzania Tuwafanyeje wanaofanya ubadhirifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania?

    Tufanye yafuatayo: Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumiwa kukabiliana na wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania. Nne kati ya njia hizo ni: Kuchukua hatua za kisheria: Serikali inaweza kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaobainika kufanya ubadhilifu wa fedha...
  18. JamiiForums Tanzania Madereva acheki kuweka roho za watu rehani, fedha haziwasaidii kitu

    Kuna kitu kimenishangaza sana, nilikua na safari yangu ya kutoka Nilipo kwenda Kigoma, nilisafiri na basi la Adventure, wakati tukiwa tumepita Kibondo dereva akaanza kupiga soga na sisi Abiria tuliokua karibu na yeye kuhusu Makampuni ya Magari namna wanavyodhoofishana. Basi akasema kwamba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu wa fedha za vijana, walemavu na wanawake ni lawama kubwa kwa isiyokwepeka kwa ccm

    Tumesikia kiasi kikubwa cha fedha zilizotengwa kwa vijana, walemavu na wanawake zikiwa zimetafunwa ktka halmashauri, na hili limekuwa likifanyika waziwazi kwa makada wa chama kukopeshana kwa kigezo cha vyama badala ya uwezo wa kibiashara. Leo hii ni deni hili linalowalemea Wananchi. Ccm walipe...
  20. JamiiForums Tanzania Series ya gold mafia inasikitisha sana. Sasa naelewa vyema kwanini Magufuli alibana biashara ya dhahabu na fedha za kigeni

    Hii series inasikitisha sana. Inaeleza jinsi wahuni wanavyotumia biashara ya kuexport dhahabu kutoka Africa kwenda Dubai wanavyotakatisha pesa. Mapastor fake wamejaa humo ndani. .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…