Kama Wewe ni mfuatiliaji wa Mambo Mbali mbali, Bila shaka Lazima umewahi Kukutanana Na Majina Kama SWAT, CIA au FBI Wakati Tukipiga Stori za Uongo na Ukweli vijiweni. Sasa Leo Nataka Uzijue Kiundani Taasisi hizi.
1. SWAT
Ni Kifupi Cha Special Weapons and Tactics.
Na ilianzishwa Rasmi Mwaka 1964...