FBI wadai kukuta nyaraka 11 za siri nyumbani kwa Trump, mwenyewe apinga

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,300
5,434
Maafisa wa FBI waliopekua nyumba ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump iliyopo Florida maarufu kwa jina la Mar-a-Lago wamedai kupata nyaraka 11 za siri, zikiwemo ambazo zilistahili kupatikana katika vituo maalum vya Serikali.

Upekuzi huo ulitokana na tuhuma za ukiukwaji wa Sheria ya Ujasusi ya Marekani kuhusiana na uhifadhi haramu wa nyaraka nyeti za ulinzi.

Trump mwenyewe amesema kuwa nyaraka zilizokutwa hazikuwa za siri kama inavyodaiwa na alikuwa tayari kuzikabidhi kwa Idara ya Sheria kama angetakiwa kufanya hivyo.
===

FBI recovered ‘top secret’ documents from Trump’s Mar-a-Lago home

The FBI recovered documents that were labeled “top secret” from former President Donald Trump’s Mar-a-Lago estate in Florida, according to court papers released after a federal judge unsealed the warrant that authorised the unprecedented search this week.

A property receipt unsealed by the court on Friday shows FBI agents took 11 sets of classified records from the estate during a search on Monday. The property receipt is a document prepared by federal agents to specify what was taken during a search.

The FBI search on Trump’s residence was partly based on suspicions of violations of the US Espionage Act related to the illegal retention of sensitive defence documents, the warrant showed.

The seized records include some that were marked as classified and some top secret. The court records did not provide specific details about the documents or what information they might contain.

“Top secret” is the highest level of classification of US government documents. US law prohibits making public or mishandling classified documents.

On Friday, Trump claimed that the documents seized by agents at his Florida club were “all declassified”, and argued that he would have turned over the documents to the Department of Justice if asked.

“Number one, it was all declassified. Number two, they didn’t need to ‘seize’ anything. They could have had it anytime they wanted without playing politics and breaking into Mar-a-Lago,” Trump wrote on his Truth Social platform.

While incumbent presidents have the power to declassify information, that authority lapses as soon as they leave office and it was not clear if the documents in question have ever been declassified.

Source: Aljazeera
 
Anatafutiwa sababu au ni ujinga wake search warrant ya FBI ilipewa baraka na mahakama
Mnakumbuka alivyo fanyiwa figisu angali bado madarakani - Watu hawajui Trump ni binadamu peace sana licha ya Wakati mwingine kutumia mane no ya ukali ukali na vitisho lakini deep down hana neno unlike Biden!!

Kama Trump angeshinda kiti cha Uraisi kwa mara nyingine tena pasingetokea vita huko Ukraine wala hasingeruhusu upelekaji wa silaha nzito nchini Ukraine.
 
Sure, mwamba angekuwepo hii vita ya Russia na Ukraine isingefikia hapo ilipofikia. Kwanza asingetoa hata risasi moja kwa ukraine kama ingetokea
 
kisa anampinga Biden bas unaeza mwita had mmeo
 
Sure, mwamba angekuwepo hii vita ya Russia na Ukraine isingefikia hapo ilipofikia. Kwanza asingetoa hata risasi moja kwa ukraine kama ingetokea
duh yaan unasapoti ujinga wa Putin , yy ni nan wa kupangia wenzake wkt yy alikuwa anakula na hao NATO ila hatak wengine wale na NATO
 
Nahisi hata vile vitisho vya kuuawa FBI Director na AG watampa kesi ya kupanga
 
Back
Top Bottom