familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. GoLC

    Wife Material ndio yupi?

    Habari za asubuhi wana MMU. Niende kwenye mada. Huwa napita sana humu kwenye nyuzi na kugundua kuwa wengi walioko humu ni Gen Z. Hii ni kutokana na mada zao wanazoanzisha, au kwa namna wanavyochangia. Sasa kwa sisi Gen late 70s tunapatwa ukakasi wa kuchangia mada. Ila kwa kuwa mimi ni mshauri...
  2. Adverse Effect

    Je, unafahamu maisha ya watoto wa familia ya Benito Mussolini baada ya kifo cha baba yao 1945?

    Unafahamu kilichowapata watoto wa Benito Mussolini baada ya kifo chake? Je, walibeba mzigo wa makosa yake? Baada ya kuuawa kwake mwaka 1945, watoto wa Benito Mussolini waliishi maisha yenye mashaka na huzuni tele. Ingawa wao wenyewe hawakuwa wahalifu kama baba yao, walijikuta wakibeba mzigo...
  3. Think2

    Uchumi hauniruhusu kuwa na familia

    kauli ya msanii ommy dimpoz yazua gumzo mtandaoni kwamba hayuko tayari kuwa na familia kwasababu za kiuchumi Kwa msanii mkubwa kama ommy dimpoz kutokuwa vizuri kiuchumi naona kama mwanetu anatupanga ivi maana safari za nje ni nyingi sana dubai, U.k , europa , france kote huko Nahisi ommy dimpoz...
  4. Ritz

    Israeli: Siku ya kuokoa maisha’: Jamaa za mateka na familia zilizofiwa waanzisha maandamano wa nchi nzima

    Wanaukumbi. Hostages Square mjini Tel Aviv inazidi kujaa watu wakiwa wamebeba mabango na kuvaa riboni za njano asubuhi ya maandamano wa nchi nzima ulioitishwa na familia za mateka huko Gaza, wakitaka waachiliwe huru na kukomesha vita. Katikati ya mraba, safu za watembeaji miguu tupu zimepangwa...
  5. H

    Kwanini RC wasipite kuombea kila kijiji au familia wafanikiwe kimaisha?

    Kwanini RC msipite mnaombea kila kijiji au familia waweze kufanikiwa kimaisha,kukiwa na mafanikio ktk kila familia amani itakuja yenyewe tu. Hizo propaganda nyingine ni uhuni tu na kutafuta fedha kupitia sadaka za maombi.
  6. H

    Ni vyema polepole aandamane na familia yake kudai au kupinga

    Ni vyema polepole aandamane na familia yake kudai au kupinga hayo anayoeleza wakiuwawa ndiyo tujue kweli ccm wamebadilika na viongozi wake wameamka sasa
  7. N

    Kuwa na Website sio mpaka uwe na kampuni, biashara unaweza kuwa na website kwaajili ya familia, watoto, wazazi, au hata yako mwenyewe.

    Wakuu, Habari! Watu wengi hufikiri kuwa na website ni kwa watu wenye biashara na makampuni tu… lakini si kweli! Unaweza kuwa na website kwaajili ya familia yako, watoto, wazazi, au hata wewe mwenyewe. Faida za kuwa na website yako: Hifadhi kumbukumbu zako: Picha, video, na mafaili mengine...
  8. Moto wa volcano

    Kufuga mmbwa wa kisasa si mchezo budget yake inazidi familia nyingi

    Ukiona mtu anafuga mmbwa aina ya Germany Shepherd muheshimu gharama yake kuwatunza ni zaidi ya pesa unayomuachia mke wako
  9. N

    Natafuta 'mwananake' mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia

    Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu. Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora pamoja. Elimu yangu ni ya Chuo, nina kibarua cha kunipatia kipato cha kuendesha familia vizuri...
  10. M

    Familia ya Mo Dewji wamechanga Tsh. Milioni 150, GSM peke yake amechanga Tsh. Bilioni 10 halafu utegemee Simba awe bingwa

    Familia ya wamiliki wa Simba kina MO dewji wanasifika kwa ubahili na kubana matumizi kama Wapare, Familia hii inayomiliki club ya Simba huwa wakinunua wachezaji wa Bei Rahis ili kuweza kubana matumizi, hali inayopelekea ushindani na club ya yanga kuwa ndogo, kwani yanga kupitia bilionea GSM huwa...
  11. K

    Naombeni kwa watu wanaojua sheria mnisaidie kwa hili kuna familia inazurumika

    Kuna rafiki yangu alikuwa na mwanamke akafanikiwa kuzaa naye watoto wawili,badaye akaachana na huyu mwanamke akao mwanamke mwingine akafanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja. Bahati mbaya huyu rafiki yangu akafariki huku akiacha watoto watatu,wawili kwa mke wake wa kwanza wa miaka 13 na 11,na mmoja...
  12. haszu

    Umefanana na nani katika familia yako?

    Mimi nimefanana sana na mama, wengi wanaomjua mama wakiniona tu hata kama hawajajua wataniuliza , wewe ni mtoto wa fulani? Huwa wananiambia kua mimi ni mama mtupu. Cha ajabu dada angu yeye kafanana na baba, ila ni mrembo tu ingawa wanasemaga nimeiba uzuri aliotakiwa kupewa dada angu. Wewe...
  13. DR HAYA LAND

    Mzee Cheyo ana familia kweli? na kama ipo wajitafakari kwa hali hii aliyonayo wanamruhusu vipi kufanya siasa badala kupambania Afya yake

    Naomba Familia ya Mzee Cheyo imzuie Ndugu yao kuangaika na mambo ya siasa ambayo hayana tija kwake. Namshauri apambanie Afya yake kwanza. Itakuwa aibu mzee wao kupata madhara na kumsababishia matatizo zaidi ya kiafya. https://www.facebook.com/share/v/1Akh38Vb5f/
  14. Pdidy

    Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo

    Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo UMEELEWA EEH NGOJA TUZIKE KWANZA NTARUDI TENAAAAA
  15. GENTAMYCINE

    Nataka kwenaa kutoa Pole kwa Familia ya Job Ndugai je, niende kwa Mjane Stellah au niende kwa Mjane Fatuma?

    Ukijijua huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi na kunielewa Zanaki, Yao na Tutsi Genius tafadhali achana naa endelea na yako tu.
  16. JanguKamaJangu

    GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Watu huja na kuondoka, utabaki wewe na Familia yako, hata Mti huchipusha nà kupukutisha, Using'ang'anie Watu

    WATU HUJA NA KUONDOKA, UTABAKI WEWE NA FAMILIA YAKO. HATA MTI HUCHIPUSHA nà KUPUKUTIAHA MAJANI. USING'ANG'ANIE WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya kosa ambalo utalifanya ni kutokutambua kuwa watu ulionao sasa hivi wapo lakini hautakuwa nao siku zote. Watu huja na kuondoka. Kanuni...
  18. Kekule Wa Benzene Ring

    Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  19. S

    Familia kwenda bungeni yapo yaliyoficha nyuma ya hulka hiyo inayochukiwa na wengi

    Abedi Pele enzi zake akaichezea timu ya Taifa ya Ghana aliwika vilivyo. Alicheza 9 na 10 naukumbuka wepesi wake na namna alivyowasumbua mabeki. Jina lake la kuzaliwa ni Abedi Ayew lakini mashabiki wakaona wamfananishe na Mfalme Pele mwenyewe. Baada ya kustaafu soka watoto wake wawili wakaamua...
  20. Valencia_UPV

    Familia za Viongozi ni Watanzania wana haki ya kugombea Uongozi

    1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine. 2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba? 3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa...
Back
Top Bottom