familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Video : Baba Levo Alivyomtilia Shoti Waziri wa Tamisemi Kwenye Familia Yake

    Mtu kaumbuka huku Hadi akalazimika kujitetea hadharani Ili Mke wake asiliamshe timbwili 😂😂😂😂👇👇 https://www.threads.com/@radiomaarifatz/post/DXKlIPljjqq?xmt=AQF0S1U-gBF5xxJ8wC0Ju0Or1znu4YiRDB5E_9pbsApAIoQokX9KopbCuzwusbMZynTJaZxd&slof=1 My Take Mambo binafsi ya kifamilia hayapaswi kuongelewa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini unavumilika ukiwa unajitegemea, hakuna umasikini mbaya kama unapokuwa na familia inayokutegemea halafu huna pesa

    Fikiria mtoto wako, damu yako ameptwa na tatizo la kiafya. Matibabu yake ni shilingi laki 8, lakini huna pesa. Unashuhudia kila pumzi yake ikijaa uchungu, bila kuwa na uwezo wa kumsaidia, ni huzuni ambayo inavunja moyo kwa kiwango kisichoweza kuelezeka. Fikiria familia yako, wakiketi mezani...
  3. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Familia yangu imenitenga kisa ninataka kuoa single mom

    Habari zenu wakuu! Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani. Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea...
  4. medyh99

    JamiiForums Tanzania Nakusanya mawazo kwenu wana familia

    Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
  5. G

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

    Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four. Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa wa kike, nikiongea hao wengine niliamini nitapata kidume nyumbani kwangu. Hawana changamoto yoyote...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Familia nyingi siku hizi hazizidi watoto watatu kutokana na ongezeko la kina mama kujifungua kwa njia ya operesheni

    Familia nyingi sikuhizi kuna watoto wasiozidi watatu, wengi hudhani ni family planning (kuzaa kwa mpango) lakini ukifuatilia kwa ndani ni kutokana na ongezeko la kina mama wanaojifungua kwa operesheni, njia hii huwa inawekewa kikomo cha kujifungua mara chache .
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche aitembelea familia ya Nyalusi Iringa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameitembelea familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Iringa, Frank Nyalusi aliyefariki Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa alipokuwa akipatiwa matibabu. Soma: Frank Nyalus afariki dunia Heche ambaye hakuhudhiria mazishi...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Media za Marekani zilivyoingizwa mkenge na familia hii na jinsi mtoto alivyofichua siri

    Mnamo tarehe 15 Oktoba, 2009, dunia ilishuhudia moja kati ya matukio ya ajabu na ya kushtua zaidi katika historia ya runinga. Tukio hili, ambalo baadaye lilikuja kujulikana kama "Balloon Boy Hoax," lilianza kama uokoaji wa maisha ya mtoto na kuishia kama kashfa kubwa ya utapeli. 1. Simu ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi unatumia AI kwenye kutafuta ushahuri wa haraka na dharula wa kitaalamu kwenye masuala mbalimbali ya kijamii kama afya, familia, biashara nk?

    Matumizi ya Artificial Intelligence (AI) yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika kutoa ushauri wa haraka na taarifa za awali kwenye maeneo kama afya, familia, biashara n.k. AI inaweza kusaidia kutoa mwongozo wa kitaalamu wa msingi, kuelimisha, na kusaidia kufanya maamuzi sahihi na ya haraka...
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Sio lazima kila mtu aanzishe familia

    Naelewa jinsi jamii ya Kitanzania inavyo pressurize watu kuanzisha familia ila kiuhalisia sio kila mtu lazima aanzishe familia (mume, mke au mtoto) Kuna watu hawastahili kabisa kuwa na familia Angalia matukio haya ya 2025/2026 Kuna huyu mwanamke, amemuua mume wake kisa mali, akamfunga kwenye...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, ni aibu kwa mwanaume kuishi kwa kuombaomba kwa watu ili uhudumie familia Yako ujue unatengeza kizazi cha laana

    Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo! Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sheikh Matimbwi hizo Tende za Msaada umezibinafsisha unakula wewe na familia yako tu. Huo ni Ukorofi

    Hili tatizo la ulafi litaisha lini? Tende zimetolewa msaada toka Uarabuni. Sisi hizi ndo zinatufanya tutembee tukisema tumefunga ili tuje zipata. Wewe unakula tende na wake zako na watoto. Unanywea chai, unalia ugali. Si sawa. Hizo tende walitakiwa wapate watu wote. Zigawiwe msikitini hapo...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Familia imara hujengwa na baba dikteta na sio vinginevyo

    Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya nyumba yako afuate utaratibu. Kimsingi ukiwa BABA KATAA DEMOKRASIA NDANI YA FAMILIA. Udikteta ndo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dada, Kaka siyo kila kitu cha kwenye familia yako ni cha kumueleza mwenza

    Ni kweli ni mpenzi wako, lakini siyo kila kitu cha kwenye familia yako au ukoo wako anapaswa kujua vingine vibaki siri ya ukoo wako ili kuilinda heshima yako kwa huyo mwenza wako. Punguza kusema kila kitu kuhusu Wazazi, ndugu zako kwa huyo mwenza wako maana kama hana hekima kuna siku atavitumia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa nzuri ni ambayo mke na mume hushinda wote kwenye utafutaji na kurudi pamoja nyumbani

    Mnaamka wote pamoja asubuhi, mnaenda kwenye ofisi yenu pamoja kwenda kuzitafuta. Mnashinda pamoja mkipambana na maisha, mkisaidiana mawazo na nguvu. Jioni mnarudi pamoja nyumbani, mmechoka lakini mioyo yenu ina furaha kwa sababu mmekuwa timu siku nzima. Hakuna ndoa nzuri kama ile ambayo mke...
  16. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti kutoka familia tajiri au zenye uwezo kifedha hawafanyi challenge za kutingisha makalio mitandaoni?

    Musiki ni therapy, burudani na njia ya kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kuna namna nyingi za kufurahia mziki. Miaka ya karibuni imeibuka hii trend ya mabinti na wanawake kutuma video fupi za kucheza mziki wakitingisha makalio wakiwa wamegeuzia mgongo kamera. Tunaweza tukasema ni burudani tu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  18. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Familia kuendeshwa na mwanamke ni Hali ya kawaida

    Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke Yaani mwanamke ndo anapanga Leo tule Nini na kwa muda gani Siyo hivyo tu kwenye mambo yanayohitaji maamuzi unakuta...
  19. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kijana unaetaka kuanzisha familia kwa mara ya kwanza, achana na single mother

    Tusikae kimya kujifanya hakuna tatizo. Kijana wa kiume kuanza mechi tayari ashapigwa 1-0, bloodline ya ukoo inavulugika, vile vile kuna suala la co-parenting ni manyanyaso ya kihisia na chanzo cha kutiliana mashaka kwenye mahusiano/ndoa. Kuna uzi mwembamba sana unatenganisha co-parenting na...
  20. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuelewa vijana kwanini wamekuwa wagumu hasa linapokuja suala la kuanzisha familia

Back
Top Bottom