"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.
Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania
2. Wanu Hafidh Ameir - Mtoto wake pia Naibu Waziri wa Elimu
3. Mohamed Mchengerwa — Mkwe wake pia Waziri wa Afya.
4. Mwanaenzi Hassan Suluhu - Mdogo wake Rais pia MBUNGE wa Viti Maalum.
Msemaji wa familia ya marehemu Emmanuel Mathias maarufu 'MC Pilipili', Paschal Maingu amesema taarifa aliyoipata kutoka kwa ndugu inasema marehemu amefariki kwa mateso na mwili wake umekutwa na majeraha.
"Mdogo wao wa mwisho aliniambia kapata mateso kabla hajafariki ndio maana mpaka sasa hivi...
Anaitwa Peleus Mshumbu Justinian ni Mwinjilisti wa KKKT mtaa wa ndama Usharika wa Nyabwegira, tarehe 26 October 2025 alikamatwa na Police yeye na mke wake wakiwa nyumbani kwao Ndama. Baada ya kufikishwa kituo cha police Kayanga wilayani Karagwe alihojiwa kwa kuhubiri mahubiri yenye uchochezi...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa
Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama
Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba...
Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana.
Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
Kama walivosema Roma haikujengwa kwa siku moja basi pia ni sahihi kwamba Roma haikuanguka kwa siku moja, ilikua ni process iliochukua muda. Na kama kawaida process yoyote inayochukua muda fulani huonesha wazi dalili za matokeo ya mwisho.
CCM imetawala Tanzania kwa muda mrefu sana, lakini...
Hakuna kiongozi wa serikali na kisiasa aliyepoteza ndugu wa familia au mtoto ktk vurugu zilizopita sasa iwe zamu yao kuandamana/kufanya vurugu wakati ujao.
Za kuambiwa changanya na za kwako
Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa.
Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa.
Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka.
Ufisadi, kujipendelea, wizi wa mali za umma, kudharau wananchi na kuwaona wajinga ni balaa kwa taifa
Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa
Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile.
Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa.
==================
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
SGR tayari imewaumbua huko; chuma imekula vumbi.
Fedheha za wizi na ufisaidi zinazomhusisha bi mkubwa na familia yake hakika hazimithiliki; hata wao naamini wanajiuliza ilikuwaje tukajisahau tukaiba sana hivi?? Imekuwaje “tumekuwa na tamaa ya mali hadi tukaanza kutamani na kunyang’anya mali za...
Hamjambo wanabodi!
1. Nilipewa siku tatu za kuandaa hoja nzito za kwa nini niendelee kutetea Haki mtandaoni na kuwapigania Watanzania.
2. Baada ya siku tatu kuisha. Niiwasilisha hoja zangu mbele ya jopo la wazee wangu wenye umri wa kutosha, elimu isiyo ya Kubabaisha, uzoefu na exposure ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.