Familia ya Baba, Mama, Watoto na Wajukuu.

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
637
Reaction score
1,350
Katika familia inatarajiwa Baba akiyumba, basi Mama amuimarishe Baba, Mama akishindwa na yeye akayumba vile vile, basi Watoto wawaimarishe wazawa wao, lakini kama imeshindikana kabisa watoto kufanya hivyo na wao wakayumba vile vile, angalau basi Wajukuu wawaimarishe hawa ndugu zao.
Je, ikitokea hata wajukuu wakayumba vile vile, nini kitatokea katika familia nzima ya Baba, Mama, Watoto na Wajukuu?
 
Gentleman,
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu, inawezekana kabisa kushinda jaribu hilo zito na la fedheha sana la kiukoo. 🐒
 
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu, inawezekana kabisa kushinda jaribu hilo zito na la fedheha sana la kiukoo 🐒
Mkuu hivi huwa unapata hata muda wa japo kunywa maji kweli. Au ndio ile ulipo tupo.
 
ikiwa uko pointless dhidi ya hoja mahususi mezani, ni muhimu zaidi hata kukaa kimya tu gentleman kuliko kumbwelambwela mambo useless jukwaani 🐒
 
Back
Top Bottom