familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Rombo, Kilimanjaro: Ugomvi wa familia wasababisha kifo

    John Wilbard, mkazi wa kijiji cha Chala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Amedeus Kavishe. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema Wilbard anadaiwa kufanya mauaji hayo wakati wa ugomvi wa...
  2. Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

    The Radford Family Noel (50) na Sue (46) Radford walikuwa mayatima na walikutana wakiwa wadogo. Sue alipata mimba akiwa na umri wa miaka 14 huku Noel akiwa na 18. Walikaa bila kongeza mtoto hadi walipooana binti akiwa na miaka 17. Tangia wakati huo karibu kila mwaka Sue huwa na ujauzito...
  3. Huwa kila siku natafakari umuhimu wa Baba katika maisha ya kila Familia

    Wakati fulani nikisoma shule ya Sekondari, baba alikuja kunitembelea shuleni, nikashangaa kwa nini amekuja kwa miguu na ana mavumbi mengi miguuni? Akanikabidhi TZS 12,000/= yani 10,000/= ya kulipia hostel na 2,000/= ya matumizi. Nikamuuliza mbona leo huna baiskeli? (mara zote alikuwa akiendesha...
  4. Kabudi ni wakati wa kunyamaza; karma ikikunyamazisha familia yako itafedheheka sana

    Kabudi Ni kati ya waasisi wa Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC na ndio wadau wa kwanza wa kudai mabadiliko ya katiba miaka 25 iliyopita since 1995 kilipo anzishwa na kuwa mjumbe wa bodi mpaka alivyoteuliwa kuwa mbunge. Ni muandishi wa machapisho mengi kuhusu katiba pia. Hiki ni kipimo...
  5. Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

    Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...
  6. Mwanaume ukiondoka kwenye familia inabidi pengo lionekane

    Wanaume tujitahidi sana sana kuwapenda wake, wapenzi wetu tunaoishi nao, Busu(kiss) ni siraha tosha ya kuimalisha mahusiano, Asubuhi ukiamka mbusu mkeo, mpenzi wako kwenye paji la uso, shavuni na tumboni, jioni pia ukirejea kazini fanya hivyo hivyo na kumtakia neno "Nakupenda sana mke wangu"...
  7. M

    Msaada: Najiandaa kwenda kutambulishwa ukweni kwenye familia ambayo baba na mkwe ni wakorofi

    Nina week nimebakiza niende kujitambulisha ukweni kwenye familia ambayo kwa jinsi binti alivyonieleza baba na mama mkwe ni wakorofi Sana. Ameniambia pia nijiandae kujibu maswali kwani unaweza kuulizwa maswali ya maudhi yakakutoa kwenye reli au ya kawaida kwani familia yake anailewa jinsi ilivyo...
  8. Ukimuacha Nyerere, makosa ya Marais wetu ni ya makusudi kwa manufaa ya familia zao

    Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku. Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda hovyo hovyo na kujiuzia yeye mwenyewe pia, akagawa Tanesco kwa Netgroup solutions ya SA, akagawa ATC kwa...
  9. B

    Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

    Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa. Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama Maria Nyerere kwenda kwenye familia ya Mama Janeth Magufuli kumkabidhi zawaidi ya kitenge lakini pia...
  10. Wanaume tunapigwa sana kwenye familia

    Habari wadau. Sisi tulio kwenye ndoa tunapigwa sana kwenye familia. Wanawake wamekuwa wabishi kama wenyeviti wa Serikali za Mtaa, yaani hawataki kutusomea mapato na matumizi ya familia. Hivi kwa nini wanawake wa kibongo hawataki kusikia habari za daftari la familia, namaanisha wanatakiwa...
  11. Ally Bananga yupo Sahihi; Familia ndio jambo la kwanza

    ALLY BANANGA YUPO SAHIHI; FAMILIA KWANZA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kwa watu wasiojua maana ya familia, wasiojua maana ya ndoa ni rahisi kumponda na kumkosoa vikali Ally Bananga. Lakini kwa wanaojua maana ya familia, wanaojua maana ya Mke/mume na watoto ambao ndio familia yenyewe watamuunga...
  12. Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

    "Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa nikijiepusha kuvizungumza ni suala hili kwasababu bado maamuzi yako ndani ya chama, Kuliweka hili kwa...
  13. Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

    Habari wadau! Ebu nisaidieni hivi kweli 310,000/= inatosha mtu kufanya kazi na kuishi DAR au unatakiwa kuwa na miundombinu mingine?
  14. N

    Wema sepetu adai mbali na familia kalinyo hakuridhika na stahiki zake yanga

    haya hayaaaaaa fayaaa fayaaaaaa makanjanja hata kumchimba wema sepetu mmeshindwa? mlewesheni basi pombe kali awamwagie ma story ya mzungu kukimbia huko utopoloni? Oh I forgot issues za utopolo huwaga hamzishikii kidedea,wachambuzi takataka
  15. B

    Kwa majina haya ya wateule, vijana jiajirini mpate fedha mtateuliwa kwa hadhi za familia zenu

    Nipo mjini Dsm zamani waliliita jiji la Dsm. Nimekuja na ndege iliyonunuliwa awamu iliyopita na nimepanda madaraja mawili ya awamu ya Tano. Nilipita MFUGALE nikaiona Buguruni kwa chini ikiwa bado chakavu na yenye foleni ya malori. Baadaya nikatoka posta kwenda kunywa kahawa mlimany city nikasema...
  16. Picha: Grigori Rasputin na Familia yake wakiwa St. Petersburg

    Rasputin with his wife and daughter Matryona (Maria) in his St. Petersburg apartment in 1911 Rasputin ni mzaliwa wa Urusi, alikuwa mshika dini sana na alijitangazia uwezo wa kuponya magonjwa. Hii ilikua sababu ya kumuweka karibu na ukoo wa Kifalme. Alimtibu mtoto wa Mfalme Nicholas II ambae...
  17. Familia za VIP's Tanzania tafadhali muwe mnawahi ' Kukanusha ' taarifa za Kuzushiwa 'Vifo' Ndugu zenu kuliko Kuzinyamazia tu

    Kuendelea tu Kunyamaza Kwenu kama sehemu ya ( za ) Familia ni kutoa mwanya kwa Wazushi na Wambea ' Kutudanganya ' Watanzania na kuanza kuishi kwa Taharuki ( Wasiwasi ) kitu ambacho nakiona kama vile hakina Ustawi Kwetu. Ila GENTAMYCINE huwa nikisia Taarifa za chini chini ( za Uzushi ) kuwa...
  18. Asili ya watoto katika familia

    Inawezekana hujawahi kusoma popote maelezo mfano wa haya niloyaandika leo ila utaamini baada ya kunielewa na ukafanya utafiti. Katika maisha ya mke na mume, au hata kama hamjaona ila mnaishi pamoja kama wanavyoishi mke na mume basi maisha hayo yataathiliwa pakubwa na aina ya mtoto mtakaeanza...
  19. M

    Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  20. G

    Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

    Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano Mimi ni mwanamke wa miaka 27, Sina mtoto ninaishi Dar es Salaam. Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia. Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40. Awe christian.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…