familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  2. Kwanini familia masikini zinaamini kujua Kiingereza tu ndiyo kuelimika wakati zinazojiweza zinaamini kwenye maarifa makubwa kitaaluma?

    Kuna Mzazi (Masikini au Mnyonge) Mwenzangu Chumba cha Pili tu nimetoka kumuamlia asimchape mwanae kwakuwa hajui Kiingereza huku akimwambia kuwa ni bora Afeli masomo yote ila siyo Kiingereza ambacho kwake ndiyo Ishara Kuu ya Mtu Msomi. Cha kushangaza sasa huyu huyu Mwanae asiyejua vyema...
  3. Hivi ni kwanini katika kila familia kuna watu hawa?

    Kuna mtoto wa kwanza (kaka au dada), mara nyingi anakuwa hana maisha. Kuna mtoto wa mwisho au wa kati kati, hawa ndio huwa nguzo na hubarikiwa kifedha na kuiinua familia. Kuna mtoto aliye karibu mno na baba au mama. Kikubwa ni hiki, kwanini wanaofanikiwa karibu katika kila familia huwa si...
  4. R

    Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

    Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu. wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao. Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua. Nani...
  5. Mke wangu hajali familia

    Habari wana JF! Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika...
  6. Familia inagoma nisimuoe kwa sababu za kimila na kitamaduni

    Wanajukwaa wapendwa wakubwa kwa wadogo wasalaam.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.. Mimi ni Junior bachelor as niko na 32 sasa ivi.. Sasa katika kutafuta tafuta nikapatana na dada mmoja wa kijiji kwetu sema nilikua simfahamu ila nilimpata kupitia kwa rafiki yangu. Ni yeye...
  7. Hivi umewahi kuhisi kuna upendeleo wa baadhi ya watoto kwenye familia yenu?

    Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa, Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu wengi, kuna ile namna unahisi kabisa kwamba kwenye familia yetu yenye watoto kadhaa, kuna kipenzi...
  8. Prof Sarungi: Mimi ni msafi

    THISDAY CORRESPONDENT Musoma THE former Minister for Defence and National Service, Prof. Philemon Sarungi, has denied any personal involvement or criminal wrongdoing in the controversial dealings surrounding the Buhemba gold mine in Mara Region. Sarungi recently came under sharp criticism...
  9. Hizi familia hizi zina mengi mazito.

    Habari wakuu. Mmebarikiwà sana na Mungu WA Mbinguni. Nilileta thread moja humu kuhusu kutokuwa na mapenzi na mama yangu. Nilipata kitu kikubwa toka kwenu. Ngoja Leo niwashirikishe na hili la Mzee wangu. Mzee wangu alikuwa ananikubali Sana sana kitu ambacho niligundua kulikuwa kinatishia...
  10. Kassim Majaliwa: Wanaopinga chanjo ni wale ambao hawajaguswa na corona kwenye familia

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo. Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu. Wataalamu waliotumika kuchunguza chanjo ni wataalamu wa ndani ambao hawawezi kutaka kuwauza watu wao...
  11. M

    Familia ya Hamza ni ya kulaumiwa siyo kuchekewa

    Mzuka wanajamvi Hii Familia ya Hayati Hamza siyo ya kuchekewa chekewa ni ya kulaamiwa kabisa. Yani hadi napoandika huu uzi hawajaweka mchakato ni jinsi gani tutawapa rambirambi. Yani wakowako tu. Tunawaomba na kuwasihi waweke utaratibu ama namba Mpesa, Tigo Pesa ama Airtel Money ili rambirambi...
  12. D

    Ujinga wa Hamza usizalishe ujinga wa medani; yaliyotokea yasitufanye tukose weledi. Polisi imepoteza wapiganaji, familia ya Hamza imepoteza mtoto

    Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU! Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU! Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto) Kila mtu ana HAKI Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
  13. B

    Je, tutawatambuaje kina Hamza kwenye familia zetu?

    Hamza anaweza kuwakilisha kundi la wakosa haki, anaweza kuwakilisha kundi la watu wenye tatizo la akili, anaweza kuwakilisha kundi la watu wenye msimamo mkali waliokosa cancelling, anaweza kuwakilisha kundi la watu wenye msongo wa mawazo nk. Makundi haya ya watu tunaishi nayo lakini yawezekana...
  14. K

    Kama kwenye familia zetu tuna wakina Hamza tusinyamaze

    Kwenye familia nyingi kuna watu hasa vijana wanaopitia majaribu mengi ya kimaisha wakati wakijaribu kujua na kujiuliza kwanini wapo hapa Duniani. Kwenye kipindi hiki hawa ndugu wengi wakiwa vijana ni wakati mgumu sana kwenye maisha yao. Haya matukio yamekuwa yakitokea kila siku lakini wengi...
  15. J

    Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

    Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la Salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu. Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi. Chanzo: Ayo tv === kutoka Upanga Dar es Salaam kwenye nyumba aliyokua akiishi Hamza, Mwanaume...
  16. F

    Askofu Gwajima, umekosea kujifanya mwamba na mwanaume, uwe mfano kwa jamii na heshimu familia yako. Uliyofanya na unayoyatetea si sahihi

    Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani? Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
  17. Mashabiki walimponza Mwl. Kashasha, aliambukizwa COVID-19

    KIFO ni fumbo. Hutamsoma tena Mwalimu Alex Kashasha kwenye kolamu yake aliyokuwa akiandika kwenye ukurasa wa 12 wa Mwanaspoti kila Jumamosi. Kifo kimemchukua, atazikwa Dar es Salaam Jumatatu. SOMA ZAIDI: Kilichomuua Mwalimu Kashasha hiki hapa Hutasikia tena ile misemo, mbwembwe zake akitangaza...
  18. U

    Kumbukizi Katika Picha: Mzee Ally Hassan Mwinyi, mkewe & watoto wao akiwamo Rais Hussein Mwinyi

    Picha ya kutambo Mzee Mwinyi Akiwa na familia yake
  19. SoC01 Kisa cha Kweli: Mtoto Aliyebakwa na Baba yake kwa Mwaka Mzima

    Jioni baada ya kutoka shule, Faraja* aliingia ndani na kuona jinsi vyombo vilivyokuwa vimevurugwa na kuvunjwa. Maumivu ya kumbukumbu za ugomvi wa wazazi wake usiku kucha wa jana yalimfanya ashindwe kuvumilia na kuangua kilio. Kwa bahati mbaya, mama yake hakuwepo nyumbani kumfariji, kwani alikuwa...
  20. SoC01 Jukumu la kutengeneza ajira lianzie kwenye ngazi ya familia

    Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni, kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri, Hapa nchini kwetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…