familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    NADHARIA Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

    Habarini, Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli? Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha...
  2. Kwanini bangi ikatazwe wakati pombe inaleta madhara pia. Turekebishe Sheria za Kikoloni

    Kama pombe tuijuavyo, inaweza kumfanya mtu ajinyee (mnisamehe kwa luga kali ila imebidi), atapike, azimie (kuzima), kuropoka, kushindwa kujitambua kabisa, hupunguza umakini (rejea mheshimiwa Kitwanga), n.k. licha ya haya yote lakini pombe hii ni halali. Ni utumwa wa fikra huu, tulirithishwa...
  3. House4Rent Nyumba na kiwanja vinauza kwa ajili ya mtu mwenye familia na anaehitaji eneo kubwa Njiro, Arusha

    Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
  4. F

    Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

    Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu.. jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli. Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo Mtoto ukimsimamia...
  5. Watatu wa familia moja wafariki kwa kugongwa na gari Arusha wakipeleka mtoto hospitali

    Watu watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa Kata ya Terat katika Jiji la Arusha wamepoteza maisha papo hapo kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakitoka hospitalini wakiwa wamepakizana kwenye pikipiki. Tukio hilo la kusikitisha limetokea mapema leo Julai 13, 2022, majira ya saa...
  6. Maisha katika chumba kimoja ukiwa na familia

    Inamaana upande moja wa chumba ndiyo kuna kitanda chako na juu ni kitanda cha mtoto au watoto. Wasizidi wawili. Hizi ngazi ndiy pia kabati la kuweka nguo zenu. Upande wa pili kuna soda bed kama ikitokea unapata mgeni. Coffee tabel ndiyo dining table pia. Kuna jiko la gas hapo pembeni...
  7. Kagera: Ajali yaua watu nane wakiwemo watano wa familia moja Julai 12, 2022

    Watu wanane wamefariki Dunia watano wakiwa wa familia moja baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika Barabara Kuu ya kutoka Lusahunga kwenda Nyakahura Wilayani Biharamulo Mkoa wa Kagera, usiku wa kuamkia leo Julai 12, 2022. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, William Mwampaghale amesema...
  8. Kilimanjaro: Kijana apigwa risasi hifadhini, Familia yadai ushahidi unapotezwa

    Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa risasi mwilini kwa mtoto huyo katika hospitali ya awali alikokimbizwa kwa matibabu. Familia ya mtoto...
  9. Miili 6 ya familia moja iliyouawa Kigoma inaweza kufukuliwa, mtoto aliyefariki maziko yake yasitishwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro. Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
  10. M

    Familia ya GSM yote ni Simba, wapo pale Yanga kibiashara tu

    Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi. Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba...
  11. Kigoma: Watu 6 wa familia moja wauawa kikatili usiku wa kuamkia Julai 3

    Watu sita wa familia moja wameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kukatwa na mapanga sehemu mbalimbali za mwili na Watu wasiojulikana katika Kijiji cha Kiganza wilayani Kigoma Mkoani Kigoma. Familia hiyo ya Mussa Cheche kwa sasa waliobaki hai ni Mtoto mwenye umri wa miaka 4 ambaye amejuruhiwa na...
  12. H

    Mwanaume aliyeziacha familia kwenye maumivu

    Wakuu habari zenu, Iko hivi uko kwa Biden bana kuna jamaa aliyefahamika kwa jina la Richard Hoagland, ambaye alimuoa mwanamke aliyetambulika kwa jina Linda Iseler na walibahatika kupata watoto wawili wa kiume. Kwa kipindi chote cha maisha mambo yalikuwa poa kabisa na mahaba niue. Mnamo waka...
  13. Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

    Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
  14. R

    Jihadharini na Wanasiasa Wanaonunulika, Hawafai hata kuwa baba wa familia

    Habari wana JF, Toka siasa za vyama vingi zianze kumekuwa kumekuwa na hama hama sana ya vyama ,wengine wanahama kutokana na migogoro kwenye vyama vyao wengine wanadai wanaunga juhudi za Chama tawala. Binafsi mimi huwa napata tabu sana kuwaamini wanasiasa kinachonishangaza mtu anahama na watu...
  15. Jambo lililojificha kwenye familia changanyikeni...

    Wengi wetu tumepitia maisha haya, kwa kukaa sehemu moja familia changanyika kiasi unakosa hadi mahali pa kulala, kisa tu huenda; Wenye nyumba ndie anauwezo ukoo mzima Anahuruma ya kupitiliza Anapenda jopo la watu n.k Kwahiyo hujikuta wanaishi haya maisha ya ugeni mwingi usio kikomo. Baadhi...
  16. Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

    Habarini Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli? Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama...
  17. MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

    Habari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo. Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma sana, mke wangu ananivumilia na kunipa moyo sana. Nikikojoa huwa naota ndoto nzito halafu kwemye ndoto...
  18. Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

    Harry alimwalika William na mkewe pamoja na watoto wake katika tafrija ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto Lili lakini William na familia yake hawakutokea kabisa. Inaelekea bado kuna mvutani kwenye hiyo familia ya kifalme. Harry na mkewe ilibidi warudi US siku ya Jumapili baada ya kuhudhuria sherehe...
  19. Baada ya vifo vya Said Oswayo na mkewe, Swalha Salum mali zinatakiwa kwenda katika Familia ya Mke au Mume?

    Tukio la Said Oswayo kumuua mkewe, Swalha Salum kisha na yeye kuuawa ikidaiwa amejiua bado ni gumzo Nchini Tanzania. Wivu wa mapenzi ndio unatajwa na wengi kuhusu matukio hayo yaliyotokea ndani ya mwezi huu Mei 2022, lakini hoja yangu hapa siyo kuhusu walivyouawa, nina kitu tofauti kabisa...
  20. Msibani: Mama mzazi wa marehemu Said azuiwa mlangoni na familia ya Swalha kuingia nyumbani kwa mwanae kuweka msiba

    Sekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua. Mama Said amesema yeye na ndugu zake wamelala nje tangu Jumapili na kila wanavyojaribu kuwaambia upande wa pili wamekatalia ufunguo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…