familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Prof_Adventure_guide

    PostGE2025 Vijana Tumechoka! Hii Nchi Si Mali ya Familia Zenu, Acheni Utoto wa Power!

    Kuna swali najiuliza daily maze… hivi tuko na wasomi wangapi kwenye hii nchi? Yani unaweza kuangalia youth wa Bongo, watu wamesoma mbaya, wako sharp, wako ready kufanya kazi, lakini guess what? Hawa jamaa hawajawahi kabisaa kukalia kiti cha decision making. Ni like system imekuwa pre-set kuwa...
  2. K

    Spika Zungu familia yake ilipewa passport Ugiriki kwa kudanganya ni wasomali

    Familia yake ilisema wote wamezaliwa na kutoka Somalia wakati sio kweli walizaliwa Tanzania. Document zote zipo. Document zote zimenaswa. Kapewa wiki moja tu kustaafu kabla ya ushahidi kutolewa huko Ugiriki na uraia wa familia yake kuchunguzwa https://youtu.be/rugDxfcjRBE?si=TxtBCPvquHQtM5Hc
  3. Idugunde

    Kwa nini raisa Samia hakubali ukweli kuwa ufisadi na upendeleo wa familia yake na Kikwete ni tatizo kubwa?

    Kuna familia tatu hapa nchini zimegeuza hili taifa kuwa la kisultani. Hili suala linawakera na kuwaudhi watanzania. Hizo familia zinajulikana. Maandamano ya Oktoba 29 watu wengi wamepoteza mali sababu tu zilihisiwa kuwa mali za Ridhiwani Kikwete. Au wataoto wa hayati Mwinyi au Familia ya rais...
  4. Samia atosha tukutane2030

    Hayati Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa

    Mimi huwa sipindishi maneno. Yeyote yule akizingua nambadilikia. Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala. Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere. Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa...
  5. Its Tesha

    Kiapo cha familia ya Rais Samia kitakavyokuwa hapo baadaye ikulu ya Chamwino Dodoma

    Taswira ya kiapo cha baadhi ya mawaziri wa familia moja kitakavyokuwa jijini Dodoma.
  6. Area 56

    Aaah kumbe familia

    Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania 2. Wanu Hafidh Ameir - Mtoto wake pia Naibu Waziri wa Elimu 3. Mohamed Mchengerwa — Mkwe wake pia Waziri wa Afya. 4. Mwanaenzi Hassan Suluhu - Mdogo wake Rais pia MBUNGE wa Viti Maalum.
  7. Just Pray

    Msemaji wa familia: MC Pilipili alipata mateso kabla hajafariki

    Msemaji wa familia ya marehemu Emmanuel Mathias maarufu 'MC Pilipili', Paschal Maingu amesema taarifa aliyoipata kutoka kwa ndugu inasema marehemu amefariki kwa mateso na mwili wake umekutwa na majeraha. "Mdogo wao wa mwisho aliniambia kapata mateso kabla hajafariki ndio maana mpaka sasa hivi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Peleus Mshumbu alikamatwa na Polisi tangu Oktoba 26, lakini familia inazuiwa kumuona na polisi awatoi taarifa

    Anaitwa Peleus Mshumbu Justinian ni Mwinjilisti wa KKKT mtaa wa ndama Usharika wa Nyabwegira, tarehe 26 October 2025 alikamatwa na Police yeye na mke wake wakiwa nyumbani kwao Ndama. Baada ya kufikishwa kituo cha police Kayanga wilayani Karagwe alihojiwa kwa kuhubiri mahubiri yenye uchochezi...
  9. R

    PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  10. Waufukweni

    PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
  11. Pakome

    Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
  12. M

    Kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania, naomba, Familia ya Magufuli itusamehe

    Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba...
  13. October 2pm

    Redcross kwa siri wanaandikisha majina ya familia zilizopoteza ndugu zao. Huku walio ughaibuni kutafuta msaada.

    Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana. Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
  14. Teslarati

    Hivi ukiwa baba au mama wa familia halafu familia nzima inamsikiliza mtu wa nje kabisa na familia utajisikiaje?

    Kama walivosema Roma haikujengwa kwa siku moja basi pia ni sahihi kwamba Roma haikuanguka kwa siku moja, ilikua ni process iliochukua muda. Na kama kawaida process yoyote inayochukua muda fulani huonesha wazi dalili za matokeo ya mwisho. CCM imetawala Tanzania kwa muda mrefu sana, lakini...
  15. ELI COHEN

    Sikujui wala haunijui ila popote ulipo embrace na kuwakumbatia very passionate tena kwa nguvu wana familia wako.

    Uhai ni zawadi, pumzi ni ya kuazima, ipo siku tuitarudisha. WISH U THE BEST GUYS🕊️🕊️🕊️
  16. H

    Maandamano yajayo yawe ni ya viongozi wa kisiasa/uponzani na wanaharakati na familia zao

    Hakuna kiongozi wa serikali na kisiasa aliyepoteza ndugu wa familia au mtoto ktk vurugu zilizopita sasa iwe zamu yao kuandamana/kufanya vurugu wakati ujao. Za kuambiwa changanya na za kwako
  17. Kurunzi

    Napendekeza Uundwe Mfuko Maalumu wa Kuchangia Fedha Familia zilizopoteza ndugu zao au Walijeruhiwa Kwenye Maandamano ya 29/10/2025

    Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
  18. Idugunde

    Kwanini hawataki kukubali kuwa upendeleo wa familia zao na ufisadi umesababisha vurugu?

    Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa. Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa. Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka. Ufisadi, kujipendelea, wizi wa mali za umma, kudharau wananchi na kuwaona wajinga ni balaa kwa taifa
  19. gTurn

    Tetesi: Mbunge ulichaguliwa kimagumashi ukienda bungeni hamia kabisa mle ndani na familia yako

    Misiseme sikuwambia Kuna taarifa nimepata kiukweli watu wameumizwa enyi wabunge magumashi msije kuwalaumu watu Kwa majutoo
Back
Top Bottom